broo unadhani kuna hoja basi hapo. ni binadamu kufanya kila mbinu kukuchonganisha na ndugu zako wa karibu. viongozi wa Chadema maarufu karibu wote wanagombea. Mnyima ndio secretary kuratibu michakato yote. Mwalimu ndiyo huyo. Sijui alitaka nini,btw kwani hao wanaozunguka na Lissu sio viongozi?..Mwenyekiti wa Cdm anagombea ubunge.
..Makamu Mwenyekiti ni mgombea mwenza wa Tundu Lissu....
..Mwenyekiti wa Cdm anagombea ubunge.
..Makamu Mwenyekiti ni mgombea mwenza wa Tundu Lissu.
..amebaki Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ambao wanaratibu kampeni zote.
..Viongozi wa kanda, mikoa, na wilaya, wamefanya kazi nzuri na inaonekana ktk kampeni hizi.
..Mwaka huu hatujashuhudia kampeni ya mgombea Uraisi ikikwama au kuvurugika kama ilivyokuwa ikitokea mwaka 2015.
JK alifungua kampeni huko Lindi, Magula anazunguka Kanda ya Nyanda za Juu (Mbeya, Iringa, Rukwa, Songea na Katavi), Mwinyi yuko Zanzibar, Makamu wa Rais Mstaafu leo yupo Kawe. Unataka wengine wapi sasa?Ila ninaona sio kwa TL peke yake hata hao wengine hawajasaidiwa na viongozi wastaafu jambo ambalo sio kawaida.
Sijajua mkwamo huo umesababishwa na nini
broo unadhani kuna hoja basi hapo. ni binadamu kufanya kila mbinu kukuchonganisha na ndugu zako wa karibu. viongozi wa Chadema maarufu karibu wote wanagombea. Mnyima ndio secretary kuratibu michakato yote. Mwalimu ndiyo huyo. Sijui alitaka nini,btw kwani hao wanaozunguka na Lissu sio viongozi?
Kwani amekana kua alilewa?Chadema kabla ya kurejea Lisu ilikuwa imejaa hofu na kukata tamaa. Lisu ameleta ujasiri na ndiyo maana anapata mapokezi ya nguvu Sana.
Bila Lisu, Magufuli angeacha kupiga kampeni maana alikuwa ameshafanikiwa kuwatisha viongozi wote wa Chadema.
Dakika za mwisho kabisa Mbowe akavunjwa mguu na kumpakazia kuwa alilewa.
Mpunga toka kwa beberu, kama 2015 waliuzaTUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA
Inasikitisha sana kuona TL akifanya kampeni zake bila viongozi wa kuu wa chama, wale wanao gombea ubunge tunajua hawawezi kuwepo kila pahali, lakini wangeweza kujumuika naye sehemu muhimu kwa muda mdogo au siku moja, pia kuna wale wasio gombea ubunge, kama akina Mnyika na wazee wakiostaafu. Watu wengi wanjiuliza kuna nini kinachoendelea.
Siasa zinakuwaga na mambo mengi ya kimiujiza na mbinu nyingi za kukwamishana na kusaidiana, Hata hivi sasa hatuoni Chadema na ACT wakijengana.
Lakini kitu tunachokiona na kushangazwa nacho, ni kuwa LISSU amekuwa A ONE MAN SUPER SHOW, anafanya kampeni zako kwa ufanisi na ameweza kuwavutia watu zaidi ya hata CHADEMA ikiwa na viongozi wake wa juu.
Hii inaonyesha kuwa Chadema bila Mbowe inawezekana, Hata iwapo Lissu atashindwa kwenye kura, basi wanachama wa chadema, safari hii wanaweza kumlazimisha Mbowe amuachie Uwenyekiti wa Chama Lissu, na chama kitoke majombo ya Kilimanjaro na Arusha, na kiwe cha Kitaifa, kama kampeni za LISSU zilivyo.
Well done Lissu, kwa kuwaonyesha viongozi wa juu Chadema, kuwa umefanikiwa kukipeleka chama kwa wananchi kila kona ya nchi hii.
Hahahaha! Hana haja ya kukanusha uwongoKwani amekana kua alilewa?