Mama yako ndiye amemwagiza akubloku,yule Bi Fatma wa MakondaLissu kanipiga block twitter hata sielewi kosa languView attachment 1599876
Mataga bana!TUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA
Inasikitisha sana kuona TL akifanya kampeni zake bila viongozi wa kuu wa chama, wale wanao gombea ubunge tunajua hawawezi kuwepo kila pahali, lakini wangeweza kujumuika naye sehemu muhimu kwa muda mdogo au siku moja, pia kuna wale wasio gombea ubunge, kama akina Mnyika na wazee wakiostaafu. Watu wengi wanjiuliza kuna nini kinachoendelea...
Unahoji masuala ya CHADEMA unaacha ya chama chenu cha CCM? Rais wenu si ndiye aliyesema kwamba kila mtu afanye siasa kwenye jimbo lake au unajisahaulisha kwa makusudi? Acha mambo yako wewe!TUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA
Inasikitisha sana kuona TL akifanya kampeni zake bila viongozi wa kuu wa chama, wale wanao gombea ubunge tunajua hawawezi kuwepo kila pahali, lakini wangeweza kujumuika naye sehemu muhimu kwa muda mdogo au siku moja, pia kuna wale wasio gombea ubunge, kama akina Mnyika na wazee wakiostaafu. Watu wengi wanjiuliza kuna nini kinachoendelea...
Wewe unataka Tundu Lissu afungiwe?
Wewe hujazisikia kanuni zao za NEC zinazosema kuwa ni marufuku, kwa mtu mwingine ambaye siyo wa jimbo hilo kufanya kampeni kwenye eneo hilo
kwahiyo munataka wote wawe kwenye msafara kila mahali ilihata mkitaka kuwa hujumu muwamalize wote siyo,chadema ni akili kubwa ni watu wa mikakati na intelijensia kubwa acheni uboyaTUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA