dinomwaluko
Member
- Jun 11, 2015
- 83
- 26
Acha dharau, kaukweli ndio nini!Kuna kaukweli
We hayp mabadiliko ulikuwa huyataki? Yalikuwa yanatakiwa na UKAWA tu?Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Walaumu walio baki bungeni wakala hela zetu....Kikubwa ni UTAIFA KWANZA. Mi nadhani waliobaki mule ndani wakayaponda maoni yetu ndio walaumiwe.Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Ni kweli kabisa! Mtu anaapa kulinda katiba lakini kila siku iendayo kwa Mungu anaivunja.Mlinzi Wa katiba yetu ndio mbomoaji namba moja! Bunge limekuwa kama idara fulani ya Ikulu.Kwani katiba ya sasa na sheria zetu si zinatambua demokrasia na haki ya vyama kufanya siasa?, lakini mbona hawaiheshimu? Nakuhakikishia hata kama ingekuwa katiba ya Warioba, wangeamua kutoiheshimu wasingeiheshimu tu.
Ktk Bunge lenye utawala wa Chama kimoja chenye kutoa miongozo nini wabunge na wateule wake wafanye, wasingeweza. Hata angewashawishi wabaki kwa uwezo wangu wa kawaida wa kuona mambo wangeshindwa tu. Maana anything from upinzani kingepingwa tu.
Mkuu kuna nchi ikithibitika tu kuwa Polisi wamepokea maagizo kabla ya kuchukua hatua
hao polisi wanaweza kuondolewa moja kwa moja na hata kupelekwa mahakamani
ndio mymain point here
ukiwabana polisi kisheria hawana jinsi
Mkuu tatizo kuu lilikuja Kuna baadhi ya watu waliingia mle wamekwisha ambiwa nendeni mkapinge kile kisipite na kile mkubali kipite kwa njia yoyote ile. Natumai mifano unayo, na hata refaa wa mchezo (speaker) nadhani unakumbuka jinsi alivyokua, ilikua inahitaji uwe na jicho la 3 kujua alikua upande upi?Hoja za tume huru ya uchaguzi haikufika
walitoka kabla....
Mkuu ni vile hukuwa unajua mikakati yao tu, toka hawali.Ugomvi mkubwa wa CCM ulikuwa ni Tanganyika
tume huru hakuna haikujadiliwa kabisa
Umenena kweli, na hapa ndipo kuna tatizo kubwa sana huwa najiuliza mpaka kesho sipati jibu, kua tatizo ni "shule" au "nidhamu ya uoga" inayolisishwa kizazi na kizazi.Ile rasimu ya warioba ilikua haiwezi kupita kwa jinsi ilivyokua inaweza kuleta uwiano sawa na kupunguza nguvu za madaraka ya raisi sidhani kwa uelewa wa watanzania wakubwa kuna kiongozi angeweza kuruhusu lile swala lipite pia asilimia kubwa ya wawakilishi bungeni ni wafuata mkumbo maana uelewa wao ni mdogo au hata kama mtu akiwa na uelewa mkubwa kwa ulevi wa madaraka anapotosha hata kile anachoamini rejea aliekataa thesis yake ya Phd...
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Umeongea! Ukweli ni kuwa Tanzania si nchi huru bado, kinachoendelea ni unafiki tu lakini wananchi hawana uhuru. Bahati mbaya kujua ukweli huo ni kazi kwa sababu wanaaminishwa kuwa wako huru kwa maneno.Ni kweli bt si kwa gemu ambayo refa wao uwanja wao hata mpira ni wao ukiwafunga wanagomea matokeo ukiwashtukiza bao la dk ya mwisho wanaweka mpira kwapani kama Jecha alivyofanya pande zile
Hapa inaitaji nguvu ya umma uliochoka na kukubali kwa lolote wakina Tundu ni wachache kuwin hili battle