GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bwana, kubali tu kwamba kusema "you have a weak emotion" is wrong grammatically wrong and does not make sense. Najua Kiingereza sio lugha yako, just admit uko wrong. It has nothing to do with your age.
Sure, I was wrong. I was post to write, "You have weak emotions." Are you happy now ?
 
Mbona mgogoro wa Serikali vs CDM ni mdogo sana. Hapa katikati si upande wa Serikali au CDM kumekosekana watu kadhaa wenye hekima ya kuwakalisha chini na kuwashauri.

Huu mgogoro ni mdogo sana
Wamebakia wazee wahuni ambao hawana hekima wezi wa rasilmali ndo wamebaki wanamuogopa Lissu kama Ukoma
 
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma"

"Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani amekamatwa amepewa Kesi ya Uhaini si kwasababu ni mhaini ni kwasababa ya Siasa, ili Watu waende kwenye Uchaguzi wasisumbuliwe na No Reforms, No Election"

"Nchi yetu imechafuka kwasbababu ya Kesi hii"

Bofya hapa: Kujuya Yanayojiri Kesi ya Uhaini ya Lissu Julai 15, 2025 Mahakama ya Kisutu

Hahaha Lissu anajua kupiga kwenye Kidonda sio mshono tena
 
Hii nchi hata akitokea mtu akaipindua na akaongoza kwa haki nitamuunga mkono...naona tunakoelekea ni giza sana especially kwenye mambo ya partism
 
Sure, I was wrong. I was post to write, "You have weak emotions." Are you happy now ?
Sio suala la mimi kuwa happy. Hata kusema "you have weak emotions" ni wrong. Suala ni kwamba wewe ulitaka kusema nini?

Kwa sababu kwa mfano, mtu anaweza kwenda harusini penye furaha au msibani penye huzuni, na katika sehemu hizo mbili bado ikawa right kusema he did not show strong emotions (better than to say he showed weak emotions)

Lakini ukisema "you are emotionally weak" ina maana wewe ni mtu ambae unaweza kuwa unaonyesha emotions kirahisi, yaani hata kitu kidogo kinakuliza tu kama taahira, au you cant control your emotions, whether za furaha au za huzuni

Na kusema "you have strong emotions about things" ni kwamba wewe hata vitu vidogo unahemuka tu, you make big issues out of small things na kuwa mtu wa kukazia mambo sana, whether unapokubaliana au usipokubaliana na kitu

Sasa angalia kwamba it is not right to say "you have weak emotions" , lakini it is right to say "you have strong emotions"

Sasa nilipe tuition fee.
 
Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
Condom ingesaidia kabisa kutokuwa na vilaza kama wewe, wasted sperm.
 
Sio suala la mimi kuwa happy. Hata kusema "you have weak emotions" ni wrong. Suala ni kwamba wewe ulitaka kusema nini?

Kwa sababu kwa mfano, mtu anaweza kwenda harusini penye furaha au msibani penye huzuni, na katika sehemu hizo mbili bado ikawa right kusema he did not show strong emotions (better than to say he showed weak emotions)

Lakini ukisema "you are emotionally weak" ina maana wewe ni mtu ambae unaweza kuwa unaonyesha emotions kirahisi, yaani hata kitu kidogo kinakuliza tu kama taahira, au you cant control your emotions, whether za furaha au za huzuni

Na kusema "you have strong emotions about things" ni kwamba wewe hata vitu vidogo unahemuka tu, you make big issues out of small things na kuwa mtu wa kukazia mambo sana, whether unapokubaliana au usipokubaliana na kitu

Sasa angalia kwamba it is not right to say "you have weak emotions" , lakini it is right to say "you have strong emotions"

Sasa nilipe tuition fee.
Asante, nipe lipa namba au bank acc,
 
Kabla ya kukinukisha una nn wewe kama taifa ambacho wazungu wakitaka wanakikosa? We hata vyoo vya shule unajengewa na wazungu una bwabwaja nn hapa
Mkuu huyo hata akili tu ya kuwaza mema Hana. Anachojua ni kumtesa mtu na kulazimisha kumuabudu saa90 sababu yeye anaamuabudu
 
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Ona Lisu hapo kaona kuna watu wa nje mzuka wa kiingereza umempanda ili wamsikie kwa Lugha ya kwao .Hapo kichwa chake na mdomo viko nje ya nchi haviko Tanzania

Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe
Umemsahau mama ako alikua anafungua nchi... Au alikua anafunua chupi ulimwenguni??

BldnFck
 
Back
Top Bottom