GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ulisomea masomo ya mwandiko maana hayo masomo yenu yanawasadia sana kuweza kuandika ila hakuna kitu cha maana unaweza kuandika watu wakaelewa zaidi ya kurudia kile kile.
Wewe kama huelewi waachie watu nje ya nchi wakiwemo wazungu wanaelewa nilichoandika
 
Ccm inahangaika na Lissu bure, bora upinzani wa Lissu kuliko upinzani wa ndani ya chama hicho unaozidi kuibuka kwa kasi ya ajabu kila uchao. Waachane na Lissu wakashughulikie nyufa mbaya chamani kwao
Mipasuko ndani ya CCM ni kila Uchaguzi. Hao bwana hata wakiparagana vipi wakikumbuka tu upinzani unaweza kuchukua nchi basi wanakaa chini na kumuunga ht wasiyempenda
 
Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
Unaliwa wewe....
 
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma"

"Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani amekamatwa amepewa Kesi ya Uhaini si kwasababu ni mhaini ni kwasababa ya Siasa, ili Watu waende kwenye Uchaguzi wasisumbuliwe na No Reforms, No Election"

"Nchi yetu imechafuka kwasbababu ya Kesi hii"

Bofya hapa: Kujuya Yanayojiri Kesi ya Uhaini ya Lissu Julai 15, 2025 Mahakama ya Kisutu

Lisu hajielewi anahutubia mahakamani badala ya kujenga hoja kwa vifungu vya sheria

Anamtishia hakimu kuwa aogope kwa kuwataja European union sijui UN nk

Kaishiwa hoja za kisheria anakuja na intimidation

Hakimu anakijikita kwenye ushahidi na vifungu vya sheria tu sio hizo porojo za Bunge la European Union au UN nk

Lisu kajisahau kuwa yuko mahakamani kuwa ajikite kwenye hoja za kisheria

Mawakili msaidieni mteja wenu hapo katoka nje ya reli ya kisheria kabisa

Anapuyanga porini
 
Madaraka yamekuwa matamu mpaka watu wamesahau kwamba wataondoka kama walivyokuja, wamesahau mafundisho ya madrasa na vipaimara ili wakue wakiijua dini, wamuogope na kumheshimu Mola kwa kutenda haki.

Walllah siku inakuja watanuka mbele ya dunia kabla hawajafa, wapambe wao watawakimbia na kujitenga nao, mioyo yao itaungua kwa uchungu wakitafuta muda WA kutubu na hawataupata.
Hata wakiondoka wanaweza watoto wao kulinda uovu
 
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Ona Lisu hapo kaona kuna watu wa nje mzuka wa kiingereza umempanda ili wamsikie kwa Lugha ya kwao .Hapo kichwa chake na mdomo viko nje ya nchi haviko Tanzania

Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe
CCM inakopata pesa unapajua?
 
Aache kutapata ulimwengu ndio nini, ulimwengu ndio umemtuma akinukishe? Aache kulialia alijitakia huyo lofa. Alishaajiandaa ndio maana ameshahamishia familia yake Ulaya na inahudumiwa na wazungu kwa gharama ya kukinukisha ili wazungu wachukue walichokubaliana. Huyo ni adui wa Taifa.
Familia yake iliogopa baada ya shambulio la risasi ila yeye si yupo anatetea haki na yupo magereza
 
Lisu hajielewi anahutubia mahakamani badala ya kujenga hoja kwa vifungu vya sheria

Anamtishia hakimu kuwa aogope kwa kuwataja European union sijui UN nk

Kaishiwa hoja za kisheria anakuja na intimidation

Hakimu anakijikita kwenye ushahidi na vifungu vya sheria tu sio hizo porojo za Bunge la European Union au UN nk

Lisu kajisahau kuwa yuko mahakamani kuwa ajikite kwenye hoja za kisheria

Mawakili msaidieni mteja wenu hapo katoka nje ya reli ya kisheria kabisa

Anapuyanga porini
Una level gani ya Elimu?
Unaelewa maana ya kujittetea mahakamani?
una elewa CHADEMA TECHNIQUE walioitumia baada ya kufungia mikutano yao?
 
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Ona Lisu hapo kaona kuna watu wa nje mzuka wa kiingereza umempanda ili wamsikie kwa Lugha ya kwao .Hapo kichwa chake na mdomo viko nje ya nchi haviko Tanzania

Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe
Porojo ndefuu pumba tupu
 
Lisu hajielewi anahutubia mahakamani badala ya kujenga hoja kwa vifungu vya sheria

Anamtishia hakimu kuwa aogope kwa kuwataja European union sijui UN nk

Kaishiwa hoja za kisheria anakuja na intimidation

Hakimu anakijikita kwenye ushahidi na vifungu vya sheria tu sio hizo porojo za Bunge la European Union au UN nk

Lisu kajisahau kuwa yuko mahakamani kuwa ajikite kwenye hoja za kisheria

Mawakili msaidieni mteja wenu hapo katoka nje ya reli ya kisheria kabisa

Anapuyanga porini
Vifungu Gani wewe,hivi mnafikiri watu wote ni watoto?
Huyo hakimu mwenyewe haelewi hata anachofanya hapo.
Anashindwa kumwambia DPP alete ushahidi au wameona ushahidi ni wakuokoteza na watahadhirika?
Yani lazima Kuna mtu kamyingiza Chaka mama TU na sasa wengine wanahaha na kuhadhirika.
Hii case next time itamfanya DPP ajue ulimwengu wa sasa si ule wa sabini.
 
What does it mean to have a strong emotion then? Andika tu Kiswahili Mkuu, kwenye kiingereza bado sana.
Having a strong emotion means experiencing a powerful feeling that can influence your thoughts, behaviors, and interactions. Strong emotions can be positive (like joy, excitement, or love) or negative (like anger, sadness, or fear). They can motivate you to take action, make decisions, or connect with others.
Eti kwenye kiingereza bado sana, bado sana ya wapi. Punguza ujuaji bwana mdogo
 
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hixi

1.Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema inawaamini watu wa nje zaidi.

2.Vyama vingine huhangaika kujinadi kwa watanzania wawaelewe kuwa wanaweza kushika dola.Chadema hujinadi zaidi kwa watu wa nje kuwa kinaweza kushika dola na kutaka wawaelewe

3.Vyama vingine vinaamini kuwa kura ya watanzania ndio inaweza kuwapa dola Chadema wanaamini kuwa mashinikizo ya kimataifa ndio yaweza kiwezesha kushika dola

4.Chadema haiamini vyombo vyetu vya sheria kama mahakama zetu na wanasheria wetu wanaamini zaidi wa nje tofauti na vyama vingine

5.Vyama vingine vinaamini katika kufanya propaganda za nguvu za kisiasa ndani ya nch kujijenga i wakati Chadema inaamini kufanya propaganda za kisiasa nje ya nchi zaidi kujijenga nje ya nchi na kwa watu nje

Ndio maana unakuta hata kesi ya Lisu Wanachadema na Lisu mwenyewe wakiona kuna watu wa nje ya nchi mahakamani huwa wehu kwa kufurahi kuwa watu wa nje wamo mahakamani hujisikia kama wako mbinguni.Ona Lisu hapo kaona kuna watu wa nje mzuka wa kiingereza umempanda ili wamsikie kwa Lugha ya kwao .Hapo kichwa chake na mdomo viko nje ya nchi haviko Tanzania

Wakati vyama vingine vyote vilivyobaki wala haviwahitaji wawemo mahakamani kukiwa na kesi zao

6.Chadema huamini zaidi kwenye mifumo ya kisiasa ya nje kama ya mataifa ya ulaya huko au Kenya nk wakati vyama vingine vyote huamini kuwa mifumo ya kisiass sio uniform kuwa lazima ifanane na nje

7.Chadema huamini zaidi kupata fedha kutoka nje wakati vyama vingine huamini zaidi kupata fedha kutoka ndani ya nchi

8.Chadema huviamini zaidi vyombo vya habari vya nje kuliko vyombo.vya habari vya ndani tofauti na vyama vingine

Kifupi Chadema ni foreign imported product kutoka nje ya nchi kwa manufaa ya watu wa nje wakati vyama vingine vyote vya siasa ni locally grown product ilizolishwa na watanzania wenyewe kwa ajili ya watanzania wenyewe

Hayo yanatoka kichwani au mdomoni, ingekuwa hivyo serikali isingehangaika na chadema. Kuna Chama Dora na na Chama Cha wananchi, sisi tusio na upande tunaona hivyo, Tanzania kwanza ushabiki pembeni. Unaposema vyama vyote VP hivyo. Mbona kama vile chadema ndo Chama pekee Cha upinzani ,Kwa sababu POLISI mahakama na wasiojulikana wanadili na chadema hata Komredi makalla katika ziara yake yotel anaizungumzia chadema, Polepoole Mpina na gwajima wanahoja wasikilizwe. Inawezekana wakaikoa Tanganyika .OLIGWA?
 
Having a strong emotion means experiencing a powerful feeling that can influence your thoughts, behaviors, and interactions. Strong emotions can be positive (like joy, excitement, or love) or negative (like anger, sadness, or fear). They can motivate you to take action, make decisions, or connect with others.
Eti kwenye kiingereza bado sana, bado sana ya wapi. Punguza ujuaji bwana mdogo
Bwana, kubali tu kwamba kusema "you have a weak emotion" is wrong grammatically wrong and does not make sense. Najua Kiingereza sio lugha yako, just admit uko wrong. It has nothing to do with your age.
 
Back
Top Bottom