LAMOLAMO
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 246
- 228
itaendelea.... ?Akihojiwa jioni hii, mbunge Tundulisu amelilaumu sana bunge kwa kumtelekeza bila matibabu.
itaendelea.... ?Akihojiwa jioni hii, mbunge Tundulisu amelilaumu sana bunge kwa kumtelekeza bila matibabu.
Akihojiwa jioni hii, mbunge Tundulisu amelilaumu sana bunge kwa kumtelekeza bila matibabu.
DuhHela imeanza kukata,lazima awe mpole tu.
Katika maisha yangu yote mpaka hapa nilipofikia utu wa makamo nimekuwa mtu wa kujiweka mbali na kuepuka sana na tabia au habari za Ubazazi (Speculation). Na imenisaidia sana maishani...kwanini serekali hawakuchunguza watu waliokuwa wakimfuatilia TL ni wakina nani?
..TL alikamatwa na kuhojiwa kwa mambo aliyoyasema kwenye press conference aliyotoa taarifa kuwa anafuatiliwa.
..sasa kwanini Polisi wakawa selective kumhoji kwa masuala mengine, lakini wakaacha hili la kufuatiliwa na watu asiowajua?
..kwa maoni yangu TL aliwapa polisi taarifa za kiinteligensia[kufuatiliwa], ambazo kama wangezifanyia kazi huenda zingemuokoa na shambulizi hili.
Kama kaongea kuhusu mkewe kwamba ni mke anayejali Lisu awe na aibu na awe mkweli nitakuambia usemi unaosema hawara mume wa mutu akiondoka akikukimbia kwenda nyumba ndogo akipata tatizo LA kuuguzwa atakutimua kuwa nenda kwa mkeo hapa kwangu.sio wodi ya wagonjwa.Ndicho alichofanya Lisu.Pole mama Lisu.Mungu akupe uvumilivu na imani.Pole mama.Uguza poleNa wewe umeamini hilo?
Lisu siyo wa pipiMara paap Lisu katimkia CCM...900 itapendeza bavicha wote wataharisha siku hyo 😀😀😀😀😀
Mkuu lisu kaongea ambacho hamkutaka kukisikia na sasa mnajitaid kutafuta maana ya maneno yake kujipoza nafsi zenuMkuu Lissu ana akilisana, hata mimi siwezi kukiri hadharani kwamba nawafahamu wakati naona karibuni nitatoka hospitali kurudi kwa hao watu. Ikitokea wakakutana ghafla wakati alishawataja unafikiri usalama ukoje? Acha asiwafahamu tu ila mimi nimeelewa kwa nini hawafahamu. Hapa TZ wanaitwa wasiojulikana.
Katika maisha yangu yote mpaka hapa nilipofikia utu wa makamo nimekuwa mtu wa kujiweka mbali na kuepuka sana na tabia au habari za Ubazazi (Speculation). Na imenisaidia sana maishani.
Je una hakika pasipo na shaka ya kuwa Tundu Lissu aliwasilisha ushahidi Stahiki kwa vyombo vya ULINZI na Usalama halafu akapuuzwa!? Una uhakika gani ya kwamba "Polisi walikuwa selective kumhoji kwa masuala mengine"!?
Naomba majibu mkuu.
Mkuu tuhuma au malalamiko yyt kama sio kiki au kutaka umaarufu wa kisiasa huripotiwa polisi sio kuitisha press conference. Hata ww ukitishiwa maisha hukusanyi wanakijiji na hata ukikusanya wanakijiji na kuwaambia umetishiwa maisha maoni utakayopewa ni kwamba peleka hayo madai polisi sio kwamba waseme we tulia tu polisi itasikia na itafanyia Kaz...hebu twende taratibu kidogo.
..TL aliitisha press conference ambapo alizungumzia suala la kufuatiliwa na watu aliodai ni usalama wa taifa, pamoja na suala la kukamatwa kwa ndege yetu Canada.
..sasa jambo la kushangaza alihojiwa kwa masuala ya kukamatwa ndege yetu Canada, lakini suala la kufuatiliwa wahusika hawakushughulika nalo.
..Serekali ilikuwa bize kujibu suala la ndege kukamatwa ambalo kwangu siyo suala kubwa, kwasababu serekali kudaiwa siyo jambo la ajabu. Lakini serekali hawakujibu kuhusu tuhuma dhidi ya jeshi la polisi na idara ya usalama wa taifa kwamba kuna watu wao wanamfuata-fuata TL kila anapokwenda.
..Kwa hiyo mimi ndiyo maana nime-conclude kwamba wahusika huko Polisi na usalama wa taifa "dropped the ball" au walizembea kushughulikia "tip" waliyopewa kwenye press conference TL na matokeo yake ndiyo haya ameshambuliwa.
..Polisi na Usalama wa Taifa wanatakiwa wawe "machale" saa zote. Hawatakiwi kusubiri kwenye madawati yao waletewe taarifa za Kiinteligensia. Madai kwamba Polisi hawakupewa "taarifa rasmi" ofisini kwao kuhusu TL kufuatwa-fuatwa na hivyo hawakushughulika na taarifa hizo naamini zinaleta picha isiyo nzuri kuhusu utendaji/umakini wa jeshi letu.
Mkuu tuhuma au malalamiko yyt kama sio kiki au kutaka umaarufu wa kisiasa huripotiwa polisi sio kuitisha press conference. Hata ww ukitishiwa maisha hukusanyi wanakijiji na hata ukikusanya wanakijiji na kuwaambia umetishiwa maisha maoni utakayopewa ni kwamba peleka hayo madai polisi sio kwamba waseme we tulia tu polisi itasikia na itafanyia Kaz.
..Polisi na Usalama wa Taifa wanatakiwa wapate taarifa kwa njia "rasmi" na njia "zisizo rasmi."
..Mtu anadai anafuatwa-fuatwa na jeshi la polisi na usalama wa taifa halafu watu hawashughuliki naye unaona ni jambo la kawaida?
..kwanini hawakumshughulikia kwa kushfa dhidi ya jeshi la polisi na usalama wa taifa?
..they just dropped the ball in this case na hawataki tu kukubali kwamba walifanya uzembe.
cc Nyani Ngabu
I have a feeling waliohusika will get away with it!
Think about it....more than two months have gone by and there’s not even a person of interest let alone a suspect or suspects....
Lisu ni mwanasheria na kikawaida swala la maisha ni nyeti sana.Huwez acha kwenda kuripoti sehem husika et polisi wafanyie kazi mattz yako.Una ushahid usiotia shaka kuna ugumu gan kwenda polisi?Wajibu wa lisu ilikua kupeleka taarifa polisi na kuona inafanyiwa Kaz au lah.Kuliibuka wimbi la wabunge kila mtu kusema anatishiwa maisha lkn hata siku moja hatujawah sikia wamefika polisi kupeleka malalamiko yao.Mimi naamn UHAI wa mtu ni kitu cha thaman sana na mtu hupaswi kuchezea. Hivyo basi wangekuwa sio wapenda KIKI naamn break ya kwanza ni kituoni na baada ya hapo ndo labda waitishe press conference...Polisi na Usalama wa Taifa wanatakiwa wapate taarifa kwa njia "rasmi" na njia "zisizo rasmi."
..Mtu anadai anafuatwa-fuatwa na jeshi la polisi na usalama wa taifa halafu watu hawashughuliki naye unaona ni jambo la kawaida?
..kwanini hawakumshughulikia kwa kushfa dhidi ya jeshi la polisi na usalama wa taifa?
..they just dropped the ball in this case na hawataki tu kukubali kwamba walifanya uzembe.
cc Nyani Ngabu