Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Ukiwa CCM ni kweli unakuwa na akili kama za MAITI ndio maana haya maCCM yanaichukulia kauli hii kama yanavyoisikia, labda niwaulize hivi kauli ile ya Mh. Lissu kuwa anamshukuru Rais Magufuli na kumtuma Makamu wa Rais ampelekee salam nyingi je mliielewa?
 
Back
Top Bottom