Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Lisu ni mwanasheria na kikawaida swala la maisha ni nyeti sana.Huwez acha kwenda kuripoti sehem husika et polisi wafanyie kazi mattz yako.Una ushahid usiotia shaka kuna ugumu gan kwenda polisi?Wajibu wa lisu ilikua kupeleka taarifa polisi na kuona inafanyiwa Kaz au lah.Kuliibuka wimbi la wabunge kila mtu kusema anatishiwa maisha lkn hata siku moja hatujawah sikia wamefika polisi kupeleka malalamiko yao.Mimi naamn UHAI wa mtu ni kitu cha thaman sana na mtu hupaswi kuchezea. Hivyo basi wangekuwa sio wapenda KIKI naamn break ya kwanza ni kituoni na baada ya hapo ndo labda waitishe press conference.
Kama taarifa za mdomo hazina tija Kwa polisi wanasubiri had waletewe! Mbona lissu kakamatwa Mara nyini bila kibari?
 
Kama taarifa za mdomo hazina tija Kwa polisi wanasubiri had waletewe! Mbona lissu kakamatwa Mara nyini bila kibari?
Hukamatwa kwakua ye ndo huwa mtenda kosa.Na wanampuuza kwa malalamiko yake coz hayawaathiri chochote zaid wanajua ni KIKI tu ka angekua serious angeenda kufungua jarada la malalamiko. Mkuu yan ww unaleta mzaa na maisha yako unategemea polisi waangaike?
 
Lisu ni mwanasheria na kikawaida swala la maisha ni nyeti sana.Huwez acha kwenda kuripoti sehem husika et polisi wafanyie kazi mattz yako.Una ushahid usiotia shaka kuna ugumu gan kwenda polisi?Wajibu wa lisu ilikua kupeleka taarifa polisi na kuona inafanyiwa Kaz au lah.Kuliibuka wimbi la wabunge kila mtu kusema anatishiwa maisha lkn hata siku moja hatujawah sikia wamefika polisi kupeleka malalamiko yao.Mimi naamn UHAI wa mtu ni kitu cha thaman sana na mtu hupaswi kuchezea. Hivyo basi wangekuwa sio wapenda KIKI naamn break ya kwanza ni kituoni na baada ya hapo ndo labda waitishe press conference.

..mwana usalama anayeijua kazi yake anatakiwa awe "macho" wakati wote.

..hata kama amepokea taarifa 99 na zote zikawa za uongo hatakiwi aipuuzie taarifa nambari 100.

..kwenye issue ya TL vyombo vyetu "vilisinzia" na ndiyo maana shambulizi likafanyika mchana wa saa 7 kwenye makazi ya viongozi.

..na waliofanya shambulio lile WAMEVIDHARAU vyombo vyetu. Wangekuwa wanaviheshimu wangechukua tahadhari na kufanya uovu wao kwa kujificha.

..hii ni AIBU kubwa sana kwa taifa letu kwa watu kupanga shambulizi lile na kufanikiwa.
 
Mbowe ndio ameshushuka sio au?
Halafu ndie anayejua wenzake waliohusika.
hii comment yako kama inaonyesha chuki vile?waambie polisi kuwa wenzke mbowe wanahusika kwenye shambulio la tundu lisu.
 
..hebu twende taratibu kidogo.

..TL aliitisha press conference ambapo alizungumzia suala la kufuatiliwa na watu aliodai ni usalama wa taifa, pamoja na suala la kukamatwa kwa ndege yetu Canada.

..sasa jambo la kushangaza alihojiwa kwa masuala ya kukamatwa ndege yetu Canada, lakini suala la kufuatiliwa wahusika hawakushughulika nalo.

..Serekali ilikuwa bize kujibu suala la ndege kukamatwa ambalo kwangu siyo suala kubwa, kwasababu serekali kudaiwa siyo jambo la ajabu. Lakini serekali hawakujibu kuhusu tuhuma dhidi ya jeshi la polisi na idara ya usalama wa taifa kwamba kuna watu wao wanamfuata-fuata TL kila anapokwenda.

..Kwa hiyo mimi ndiyo maana nime-conclude kwamba wahusika huko Polisi na usalama wa taifa "dropped the ball" au walizembea kushughulikia "tip" waliyopewa kwenye press conference TL na matokeo yake ndiyo haya ameshambuliwa.

..Polisi na Usalama wa Taifa wanatakiwa wawe "machale" saa zote. Hawatakiwi kusubiri kwenye madawati yao waletewe taarifa za Kiinteligensia. Madai kwamba Polisi hawakupewa "taarifa rasmi" ofisini kwao kuhusu TL kufuatwa-fuatwa na hivyo hawakushughulika na taarifa hizo naamini zinaleta picha isiyo nzuri kuhusu utendaji/umakini wa jeshi letu.
Mkuu,
Unapotumia lugha kama "Machale"....wewe ume-conclude inanifanya nijiulize kwa nini nina sumbuka na wewe!!!!?
Usipende kutumia mihemko kwenye mambo ya msingi,haswa yanayohusu au kugusa Maslahi yaTaifa na Watanzania kwa ujumla.
 
Sasa kama mhusika anasema ivo nitashangazwa na Povu la mbowe kutafuta kiki za Ajabu
Nitashangazwa na povu la boya wa lumumba polepole kuita press kunena pumba
 
Mbona wabunge mawaziri spika wakiumwa hadi kulazwa hailimishwi hivi kwenda kuonwa? Ukilazimisha kuonwa ukiwa mgonjwa unatafuta sifa ambazo anaekuja kukuona haitoki moyoni mwake kakuridhisha tu ili uwe na amani moyoni mwako
 
Unajifariji
Wewe kilikuwa kinakuuma nini iliposemekana Lisu aliwatambua waliomshambulia? Whether alikuwa anaituhumu serikali au individuals wasiwasi wako ulikuwa ni nini? uchunguzi huru si ungetengua kitendawili hicho? Punguani hueleweki kabisa.
 
Mboe alisema ni ccm
 
Back
Top Bottom