Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Tundu Lissu: Siwafahamu walionipiga risasi

Tundulisu ni mwanasheria bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania,anaposema kuwa hawajui waliomshambulia anamanisha kuwa hata kama akiwataja waliomshambulia mwandishi hana cha kuwafanya zaidi ya kuandika umbeya wake ili kuuza gazeti.
 
Mungu amuponye haraka, kweli kapitia kapindi kigumu katika maisha yake
 
Nimeongea na makada wa juu wa chama chakavu na bila kumungunya maneno wala kupepesa macho wamekiri kuwa mwenyekiti anahusika kwa namna moja ama nyengine na shambulio hilo
Mboe anahusika??
 
Huwezi kusema unawajua bila ya kutoa ushahidi unaothibitisha unachokidai.

Mimi naamini kweli hawajui hao watu.

Ila pia naamini kuna anaowahisi kuwa ndo wahusika, kwa namna moja ama nyingine.

Suala la kujua linahusiana na ushahidi na uthibitishaji. Sasa anaweza kweli kuthibitisha endapo atasema huyu na yule ndo wahusika? Ngumu sana!

..I agree with u 100%.

..TL angekuwa ameshambuliwa na rafiki yake, jirani yake, ...ndiyo angeweza kusema kwa hakika kabisa anamfahamu aliyemshambulia.

..vinginevyo alichokisema TL ndiyo ukweli wenyewe ila wa-Tz hatutaki kukubaliana nao.

..lakini pia sijui kwanini wahusika hawaonyeshi kuwa na interest ya kujua kilichomo kwenye CCTV cameras za Mh.Kalemani.

..waTz tumekuwa kama jamii ya watu tusiopenda kujua ukweli. Jinsi baadhi ya wa-Tz wenzatu wanavyo-behave ni sawa na kuniambia Wamarekani kutokuwa na interest pale ilipogundulika kwamba kuna "Nixon/White House tapes" wakati wa kashfa ya Watergate.

..binafsi nilitegemea kuwa CCTV cameras zitachunguzwa, tena kwa kuhusisha a third and independent party, na baada ya hapo tutaelezwa kama kuna ushahidi relevant na tukio lile au la.

..maelezo ya dereva hayatakuwa na tofauti sana na maelezo ya TL. na sidhani kama ni ya msaada mkubwa kwa Polisi.
 
Mara paap Lisu katimkia CCM...900 itapendeza bavicha wote wataharisha siku hyo 😀😀😀😀😀
Mmekuwa wa kushinda macho juu mkisubiri ndondokela. Kwani humo wanaofaa wameisha? Ndo mlikofikia poleni sana.
 
..I agree with u 100%.

..TL angekuwa ameshambuliwa na rafiki yake, jirani yake, ...ndiyo angeweza kusema kwa hakika kabisa anamfahamu aliyemshambulia.

..vinginevyo alichokisema TL ndiyo ukweli wenyewe ila wa-Tz hatutaki kukubaliana nao.

..lakini pia sijui kwanini wahusika hawaonyeshi kuwa na interest ya kujua kilichomo kwenye CCTV cameras za Mh.Kalemani.

..waTz tumekuwa kama jamii ya watu tusiopenda kujua ukweli. Jinsi baadhi ya wa-Tz wenzatu wanavyo-behave ni sawa na kuniambia Wamarekani kutokuwa na interest pale ilipogundulika kwamba kuna "Nixon/White House tapes" wakati wa kashfa ya Watergate.

..binafsi nilitegemea kuwa CCTV cameras zitachunguzwa, tena kwa kuhusisha a third and independent party, na baada ya hapo tutaelezwa kama kuna ushahidi relevant na tukio lile au la.

..maelezo ya dereva hayatakuwa na tofauti sana na maelezo ya TL. na sidhani kama ni ya msaada mkubwa kwa Polisi.
Dereva amefichwa na mboe
 
Watu hawajamuelewa,
anasema hawafahamu,lakini haina maana akiwaona hatawajua,
anasema siku moja walikuwa wanamfuatilia,akaenda akawauliza kwanini wanamfuata?,
so anaweza kuwa kawaona,lakini hawafahamu,

sasa sioni sababu ya mleta uzi kusherehekea na kuchinja mbuzi eti kwasababu amesema hawafahamu,
huyo mtu alikuwa under attack na hakukua na mda wa kunyanyua kichwa kuwaangalia ni kina nani wanamshambulia
 
Kuna watu hawagusiki wanafanya uhalifu halafu wanaogopwa kufanyiwa investigation.
 
Maswa 1 , Siyabonga101 , dudus,

Lissu alisema wiki tatu kabla ya shambulio hilo alilalamika hadharani kwamba anafuatiliwa kila anapokwenda na siku moja aliwasimamisha watu hao katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro na kuwauliza sababu za kufanya hivyo.

“Niliwauliza kwa nini wananifuata na kama kuna mtu kawatuma, mwambieni mimi si mhalifu. Lakini sikupewa ulinzi wowote,” alisema.
Kwa hiyo kwa akili yako pevu mkuu kila anayefuatiliwa na watu wasiojulikana anafuatiliwa na serikali ya JMT!!??? Common sense is not common to some folks at times.
Kama anawajua waliomfuatilia au aliowatuma hao wafuatiliaji angewataja kwa majina. Till then propaganda za Kiki Hazina nafasi katika awamu hii mkuu. Stay focus.
 
..I agree with u 100%.

..TL angekuwa ameshambuliwa na rafiki yake, jirani yake, ...ndiyo angeweza kusema kwa hakika kabisa anamfahamu aliyemshambulia.

..vinginevyo alichokisema TL ndiyo ukweli wenyewe ila wa-Tz hatutaki kukubaliana nao.

..lakini pia sijui kwanini wahusika hawaonyeshi kuwa na interest ya kujua kilichomo kwenye CCTV cameras za Mh.Kalemani.

..waTz tumekuwa kama jamii ya watu tusiopenda kujua ukweli. Jinsi baadhi ya wa-Tz wenzatu wanavyo-behave ni sawa na kuniambia Wamarekani kutokuwa na interest pale ilipogundulika kwamba kuna "Nixon/White House tapes" wakati wa kashfa ya Watergate.

..binafsi nilitegemea kuwa CCTV cameras zitachunguzwa, tena kwa kuhusisha a third and independent party, na baada ya hapo tutaelezwa kama kuna ushahidi relevant na tukio lile au la.

..maelezo ya dereva hayatakuwa na tofauti sana na maelezo ya TL. na sidhani kama ni ya msaada mkubwa kwa Polisi.

Ila hizi CCTVs za kibongo zinafanyaga kazi kweli?
 
Akihojiwa jioni hii, mbunge Tundu Lissu amelilaumu sana bunge kwa kumtelekeza bila matibabu.

=========

Mwanasheria kuu wa chama upinzani Chadema nchini Tanzania Tundu Lissu, ambaye amekuwa akipokea matibabu Nairobi tangu alipopigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma mwezi Septemba, amesema anaamini kushambuliwa kwake kulihusiana na siasa nchini humo.

Akizungumza na BBC, mbunge huyo wa Singida Mashariki amelilaumu Bunge la nchi hiyo akisema halijachukua hatua zozote kumsaidia tangu kulazwa kwake hospitalini.

Makamu wa Rais wa Tanzania Bi Samia Suluhu alimtembelea hospitalini mapema wiki hii.

Bw Lissu amesema anaendelea kupata nafuu vyema.

Juhudi za BBC za kuwasiliana na msemaji wa Bunge la Tanzania kuhusu tuhuma za Bw Lissu hazijafua dafu.

Amezungumza na mwandishi wa BBC John Nene.
 
Kwa hiyo kwa akili yako pevu mkuu kila anayefuatiliwa na watu wasiojulikana anafuatiliwa na serikali ya JMT!!??? Common sense is not common to some folks at times.
Kama anawajua waliomfuatilia au aliowatuma hao wafuatiliaji angewataja kwa majina. Till then propaganda za Kiki Hazina nafasi katika awamu hii mkuu. Stay focus.

..kwanini serekali hawakuchunguza watu waliokuwa wakimfuatilia TL ni wakina nani?

..TL alikamatwa na kuhojiwa kwa mambo aliyoyasema kwenye press conference aliyotoa taarifa kuwa anafuatiliwa.

..sasa kwanini Polisi wakawa selective kumhoji kwa masuala mengine, lakini wakaacha hili la kufuatiliwa na watu asiowajua?

..kwa maoni yangu TL aliwapa polisi taarifa za kiinteligensia[kufuatiliwa], ambazo kama wangezifanyia kazi huenda zingemuokoa na shambulizi hili.
 
Tunaimani kwa uwezo mwenyezi mungu utapona jembe langu tundu lisu na nakuahidi utaishi maisha marefu ya kumpendeza mungu sema ameeeen
 
Ila hizi CCTVs za kibongo zinafanyaga kazi kweli?

..ni swali zuri hilo.

..na polisi wangekuwa na busara kuwahusisha a third and independent party ku-verify kama CCTV za Dr.Kalemani zinafanya kazi au la.

..labda Dr.Kalemani anaamini analindwa na hizo camera kumbe ni makajanja tu.
 
Akihojiwa jioni hii, mbunge Tundulisu amelilaumu sana bunge kwa kumtelekeza bila matibabu.

Ni lini mara ya mwisho Babako au Mamako aliwahi kukutoa machozi? Au ndo hivyo umeguswa sana eeh? by the way unaonaje ukitoa mshahara wako na kumpelekea atibiwe, labda akipona atakukumbuka, who knows?
 
Back
Top Bottom