Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Angerudi ningemfuta kwenye list ya watu wanaoni influence,maana angekuwa amekubali kufa kizembe!!!

Tanzania haina huruma na watanzania wazalendo!!!kubali Tu kuitwa mkimbizi wa kisiasa!
 
Tulijua tangia siku nyingi kwamba harudi. Ni baada ya kutemwa na mabwana zake. Hawana kazi naye tena! Kwa akili zake nilifikiri Lissu anayajua hayo. To them- he is a toilet tissue. He was used now discarded, he is in a bad situation than Mr. Kambona.
You wish
 
Mi nilijua ile mitusi na kashfa alizomwaga ilikua mbinu tu ya kuomba ukimbizi.
Karibu kwenye box mheshimiwa huko nako miaka 5 tu utanyooka.
Hamna longolongo huko.
Box kwa wasio na elimu kuna ma lawyer ma GP,na kadhalika elimu yako tu. Usifikiri wote walioko ulaya ni wabeba box unaota
 
Apambane against nini? Against SGR, STIGLERS GORGE, FLY OVERS, NDEGE, BARABARA ZA LAMI TANZANIA NZIMA, MELI TANO: NYASA, TANGANYIKA NA VICTORIA, UPANUZI WA BANDARI: DAR, TANGA NA MTWARA, MABASI YA MWENDO KASI, COMMUTER TRAIN, REA UMEME VIJIJINI, UDHIBIT WA RASILIMALI ZETU, UVUVI HOLELA, MIGOGORO YA ARDHI, NIDHAM KWA WATUMISHI WA SERIKALI, HOSPTALI, ELIMU BURE, VIWANJA VYA NDEGE, RELI YA ARUSHA, TERMINAL III AIR PORT DAR, VIWANDA, UCHUMI WA KATI, AMANI, KUTOKOMEZWA KWA RUSHWA na kadhalika na kadhalika?
Wabongo malimbukeni kweli mnashangaa na mambo ya kawaida tulitakiwa tuwe nayo miaka30 iliyopita . Kweli washamba kama rais wetu. Kwahiyo kwa washamba wetu hatujali uhai au watu wanakula nini sisi tunafikiria hedge ambao ni 1% ya wstanzania watapanda
 
Hata sisi hatumuhitaji akae hukohuko kwa waliomtuma. Amesha tuchafua sana kama nchi. Anataka ulinzi kama nani? Kaa huko huko tumekuchoka!
 
Box kwa wasio na elimu kuna ma lawyer ma GP,na kadhalika elimu yako tu. Usifikiri wote walioko ulaya ni wabeba box unaota
kuna lugha hapo we bwege,uadhani huko aliko hamna malawyer?wapo na ni wazawa na wana hicho kipaji na upeo na lugha hiyo wanaiongea km kiswahili.
sheria zenyewe tofauti unafkiri kule ni km kisutu.lazima apractise si chini ya miaka miwili mi3 mpaka aingie kupata mteja wakwanza atakua kasota sana,
Unafkiri kuna anayejua huyu ni TL kule?.
hata akiwajulisha sana sana watamuuliza ok,so what?
muulize slaa ilikuwaje alienda kuuza supermarket.
 
Kuna watu madereva bwana

Mtu anaendesha FORD RANGER na anabadili gia gari

ikiwaa kwenye mwendo bila kudondosha gari wala kusababisha ajali

acheni watu na vipaji vyao bwana.
 
Mnaporopoka mkumbuke kuweka na akiba ya kesho

Ulidhani kesho haitofika? haya sasa kesho imeshafika RUDI shujaaa wao

Mnamchukulia RAIS kama mwenyekiti wa kijiji naona

Saivi ndio mnaona ardhi ya TZ ilivyo ya moto

Wanasiasa roporopo mjifunze kupitia huyu baba

Rais wa Waropokaji TZ
 
Apambane against nini? Against SGR, STIGLERS GORGE, FLY OVERS, NDEGE, BARABARA ZA LAMI TANZANIA NZIMA, MELI TANO: NYASA, TANGANYIKA NA VICTORIA, UPANUZI WA BANDARI: DAR, TANGA NA MTWARA, MABASI YA MWENDO KASI, COMMUTER TRAIN, REA UMEME VIJIJINI, UDHIBIT WA RASILIMALI ZETU, UVUVI HOLELA, MIGOGORO YA ARDHI, NIDHAM KWA WATUMISHI WA SERIKALI, HOSPTALI, ELIMU BURE, VIWANJA VYA NDEGE, RELI YA ARUSHA, TERMINAL III AIR PORT DAR, VIWANDA, UCHUMI WA KATI, AMANI, KUTOKOMEZWA KWA RUSHWA na kadhalika na kadhalika?
Hayo yote mjerumani alishafanya ccm ikaviua kama inavyoua mwendokasi sasa hivi.
Posta Mnazi mmoja Kivukoni ni mwendo wa Bajaj tuu sasa hivi
 
Lissu

Lissu

Lissu

Lissu

watu umetuchania mikeka huku,tulibet wenzio unarudi

ona sasa muhindi katugeuza kitoweo

Fresh lakini Kigeu geu mkubwa wewe
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Haja foka kama alivyozoea kwa sababu sasa hivi hana ile kinga ya kibunge iliyokuwa inamfanya achonge ngenga.
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Fanya uje karibia tunachagua Mwenyekiti.
 
Nani amhakikishie?

Chama chake au vyombo vya ulinzi asivyokuwa na imani navyo?

Zile kauli za "Narudi nyumbani kupambana" naona zimeisha,sasa anaongea uhalisia.
Inawezekana huwa mnachagua ya kusikia na kuyasemea ambayo yanatukuza upumbavu wenu! Nani mwenye dhamana ya kulinda raia? Unauliza nani wa kumhakikishia usalama wakati yeye amemtaja!!! Amesema hawezi kuwa rais daima, hii sentensi inamaana gani?
 
Kufuatia taarifa za wasiojulikana kumfuata Lissu ughaibuni ashtuka aaihirisha kuja nchini ajipanga zaidi kwa siku zijazo. Shetani hana rafiki. Mungu atamlinda dhidi ya wabaya wake. Source idhaa ya Kiswahili BBC, India.
 
Siyo kweli, usishuhudie uongo! Amesema usalama wake una mashaka. Siyo kuwa wamemfuata ughaibuni!
 
As long as wale watesi wake hawajakamatwa, ni risk kubwa kurudi Tanzania. This time hatosurvive
 
Pole Pole Sasa Kila Kitu Ni Copy&paste From Rwanda

Ila Siku Ya Kung'olewa Atasema Kila Kitu Nawaonea Huruma Anawatuma Wakati Hawana Kinga"
 
Back
Top Bottom