Tundu Lissu rudi Shule

Hamna kitu mkuu huyo ni mbumbumbu tu mropokaji.

Wapuuzi kama wewe huwa tunawapuuzia kama mlivyo wapuuzi hakuna mwanasheria ndani ya ccm mwenye uwezo kujua sheria kama Tundu Lissu muuliza makinda atakuambia wewe mpiga debe wa ccm humu Jf huwezi kujua.
 
Hachana nae mshadadiaji hasie jua lolote huyo mkuu,wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kutoona umuhimu wa elimu
 
Kamulize Micheal wambura alipokiuka Masharti ya familia walimfanyaje? na yuko wapi siku hizi????
Yule jamaa aliteseka sana yule alikuwa anataka kugombea uraisi wa sijui wa TFF
 
Chama cha wakristo

Mmetoka kwenye chama cha wachaga mmehamia sera ya chama cha wakristo hizi ni siasa za maji taka uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana tunakupuuzia .
 
kuwa kwa msajili haina maana iko sahihi!!

If it is void what is the meaning of evaluation and acceptence kwa kila katiba ya kila chama,maana.kuna kuwepo na jopo la wanasheria wanapitia vifungu zote hili hiwe ligally acceptable ndipo chama kina exist so kwa mujibu wa viwango mkaguzi wa vyama amekubali katiba yao.
 
nyie msiokuwa mawakili wasomi kaeni kimya kama hamjui sheria, sio mnakashfu tasnia za watu
 
Mihemkoo at work,,yeye alipeleka kesi kuzuia kufukuzwa sasa kashindwa kesi unataka asifukuzwee!!
 
Hivi mbona mi sielewi.iweje zitto apeleke kesi mahkama kuu wkt anajua katiba ya chama cha chadema kikisema atakaye enda kufungua kesi huku si mwanachama tena? Na hii kesi mbona lissu hakutamka mapema kama ni kosa kwa mujibu wa katiba na nijuavyo hii kesi ina muda usopungua miaka 3.na mahkama pia kwanini ilipokea kesi kwani nijuavyo hata mahkama lzm ijue katiba ya chama cha siasa na wangemshauri arudi kwy mahkama za chini.na iweje kwa vuguvugu kubwa ulokwepo wa siasa mtu abanwe na katiba ya chama eti asiende kufungua kesi na wamalize ndani ya chama? Ama kweli kwa maono yangu huu ni usomi ubabaishaji?
 
Wapuuzi kama wewe huwa tunawapuuzia kama mlivyo wapuuzi hakuna mwanasheria ndani ya ccm mwenye uwezo kujua sheria kama Tundu Lissu muuliza makinda atakuambia wewe mpiga debe wa ccm humu Jf huwezi kujua.

Najua una mahaba na Tundu Lissu nami nakupuuza kama huyo mropokaji asiekuwa na mbele wala nyuma.
 
Najua una mahaba na Tundu Lissu nami nakupuuza kama huyo mropokaji asiekuwa na mbele wala nyuma.

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana nakupuuzia siwezi kushindana na mwehu kama wewe
 
Ukiangalia ulicho kiandika hapo ndiyo utagundua kuwa wewe ni funza maana hata neno "correct and Illigality" kisheria linakusumbua tatizo mnasoma vyuo vya kando kando.
(Kauli ya mzee mkono hii ntaikumbuka daima)
 
Nimesoma aya moja nimegundua ni ujinga tu... Kiufupi ni kwamba katiba ya CHADEMA inatambulika mpaka kwa msajili wa vyama then who are you?

kwahiyo ikitambulika kwa msajiri ,Katiba ya nchi ni kubwa kuliko sheria yoyote
 
Mihemkoo at work,,yeye alipeleka kesi kuzuia kufukuzwa sasa kashindwa kesi unataka asifukuzwee!!
ALiweka pingamizi asijadiliwe na kamati kuu mpaka liitishwe baraza kuu akatoe utetezi.

kamati kuu haikuheshimu pingamizi wakamfukuza kimyakimya.
 
Kweli Tanzania tuna wasomi. Hivi wewe mleta mada ni msomi au unajita msomi?
Msomi gani hujui jinsi ya kuandika?
Unaandika utadhani ni mwanafunzi wa darasa la 6 tena la 6 C!
Hujui kuwasilisha mawazo yako!
Hujui kupangalia hoja zako!
Afu unajiita msomi.
Una fikra nzuri but umeshindwa kufikiri.
Kichwa kimejaa akili but unakataa/unashindwa kuzitumia msomi wetu.
Rudi kajipange upya.
 
Rudi shule Ndugu yangu! Kama vile hujaelewa Issue nzima ilivyo!

Siku ambayo Chadema wanaota kutawala nchi nina uhakika mhimili wa MAHAKAMA hautakuwepo.Kwa kuwa katiba yao haitambui mahakama kama chombo cha kusimamia Haki.

Siku ikitokea muujiza huo Hakika Lema a.K.a Mali ya Mungu atajipa cheo cha Mkuu wa Ujasisi na utesaji atawaua wote ambao ni wapinzani wa mbowe.
 
Ukiangalia ulicho kiandika hapo ndiyo utagundua kuwa wewe ni funza maana hata neno "correct and Illigality" kisheria linakusumbua tatizo mnasoma vyuo vya kando kando.
(Kauli ya mzee mkono hii ntaikumbuka daima)

Lugha na Taaluma ni vitu viwili tofauti, Kuna wasomi wenye PHD na maprofesa hawajui kingereza, wachina 80% hawajui kingereza lakini wana wanasayansi wengi hakuna Mfano, wapo Wasomi. Wafaransa, waspain, Wajerumani, nk Lakini hawajui kingereza na maisha yanaendelea , Lugha na Taaluma haviendani, mfano wale wazaliwa wa London wote wanajua kingereza japo wengi wangi Si Wasomi, l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…