Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

Lissu aendelee kuwa chomachoma mdogomdogo hadi hawa dhalimu waishe wote.
Na wanakwendraa,mmoja baada ya mwingine.
 
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa

Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka
Kwani Hamza alifufuliwa ili atoe ushirikiano kwa polisi kukamilisha uchunguzi ya kuwa yeye hamza ni gaidi mfia dini?
 
basi unamsongo wa mawazo sio bure

Mwenye msongo ni wewe unayetafuta haki kwa kurusha maneno mitandaoni. Hivi mnajielewaga kweli🤣🤣

Au wewe ndio yule anayejiita Dr Kumbuka 😅😅
 
Anajifanya mjuaji sana

yeye anataka respwct wakati hatoi respect

he is kind of a diva

Watu washachoka na maneno yasiyokua na actions. Mtu ameumizwa, watanzania wakaumia kwa jambo lake halafu hatoi ushirikiano ili mambo yawe wazi!? Ana maana gani

Siku zinavyozidi kwenda Tundu analazimisha watu wenye akili wamuwazie vitu vingine....

Na ataishia kuonekana kama huyu jamaa

👣👣👣👣👣👣👣👣
 
Kwani Hamza alifufuliwa ili atoe ushirikiano kwa polisi kukamilisha uchunguzi ya kuwa yeye hamza ni gaidi mfia dini?

Unamlinganisha muuwaji mwenye silaha aliyeuwawa na Tundu aliyevamiwa na kupigwa risasi????

Hebu kuwa serious kidogo
 
Watu washachoka na maneno yasiyokua na actions. Mtu ameumizwa, watanzania wakaumia kwa jambo lake halafu hatoi ushirikiano ili mambo yawe wazi!? Ana maana gani

Siku zinavyozidi kwenda Tundu analazimisha watu wenye akili wamuwazie vitu vingine....

Na ataishia kuonekana kama huyu jamaa

👣👣👣👣👣👣👣👣

Kweli kabisa
 
Kama karma ilivyomtafuna wa chatto basi kuna siku kila kitu kitakuwa wazi ni swala la mda tu, makaburi yote yaliyofukiwa yatafukuliwa,

Kama kifo ni karma basi unataka kutuambia huyo karma aliamua aanze na kumtafuna Maalim Seif ndio baadae aende chatto eeeeh🙄🙄🙄

Halafu sijui na wewe karma anakufikia lini maana na wewe utakufa tuu hauna ujanja😂😂😂
 
Kama kifo ni karma basi unataka kutuambia huyo karma aliamua aanze na kumtafuna Maalim Seif ndio baadae aende chatto eeeeh

Halafu sijui na wewe karma anakufikia lini maana na wewe utakufa tuu hauna ujanja

tuwe na subira tu kila kitu kitakuwa wazi hakutakuwa na JIWE litakalo salia juu ya JIWE jingine,
 
Watu wenye matamanio ya kufanya uhalifu lazima wawachukie polisi wazuri, iko hivyo siku zote maana wanajua ni kikwazo kwao. Na huyu Lissu alifanya juhudi nyingi kujaribu kuwaprovoke polisi na watu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa kampeni zake 2020, lakini aliambulia patupu/olaa. Walienda naye mdogo mdogo hadi dakika za majeruhi wakampitia na ule mtama unakufanya uangukie kisogo au kidefu. Mengine ni historia.
Kama wewe ni polisi kwa nini usihamasishe polisi kufanya yao kwa Mujibu was sheria na kupambana na wahalifu, Huku wanasiasa wakiachwa wakipambana kwa hoja!?
 
Kama kifo ni karma basi unataka kutuambia huyo karma aliamua aanze na kumtafuna Maalim Seif ndio baadae aende chatto eeeeh🙄🙄🙄

Halafu sijui na wewe karma anakufikia lini maana na wewe utakufa tuu hauna ujanja😂😂😂
Maalimu Seifu alisababisha wafuasi wake wengi kupata mateso na matatizo, Ghafla akaunga juhudi apate ulaji!! Unafikiria karma itakuacha bure bure!!!
 
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini

Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa

Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka
Kapike uji unye akili zikurudi 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom