Tundu Lissu: Paper Tigers wanatushauri tususie chaguzi zijazo ili CCM wapite bila kupingwa

Mandela mwenywe na busara yake kuu, kuna wakati aliamua kutumia mabomu dhidi ya makaburu. Wewe ongea peaceful means kwa CCM ya Magufuli uone kama utapata kitu 2020.
 
Tuanze na ufafanuzi huu wa Lissu. "Mgombea anatakiwa kuwasilisha fomu ya uteuzi kabla ya saa kumi, SIKU MOJA kabla ya SIKU YA UTEUZI"
Rejea clip ya kiongozi wa kanda Chadema, kwa nini wagombea walirudisha fomu Siku ya uteuzi na si siku moja kabla ya siku hiyo?
 
waliomshambulia TL wamepata walichokitaka,walitaka kuipiga sehemu ya ubongo inayohusika na reasoning ili jamaa hashindwe kujenga hoja,sijaona kitu cha muhimu alichoongea jamaa tokea aende Nairobi then Brussels.MBOWE SIO MTU
 
Kweli, Wanajaribu mbinu zote za kunyong'onyesha mwili, akili na roho ili Wapinzani wagive up!

HAKUNA KUGIVE UP, ni kushiriki mwanzo mwisho ili Wananchi wajionee kwa macho yao bila kuhadithiwa udhalimu, uoga na ushenzi wa Fisiemu. Hii itasaidia kujenga cadre ya watu ambao siku wakisema enough is enough basi itakuwa enough kwelikweli!

Acha Fisiem kwa udhalimu wao na kiburi chao waendelee kujaza kikombe cha ghadhabu za wananchi, Siku watakapolazimishwa kukinywea hakuna atakayewaonea huruma au kuwafuta machozi!

HAKUNA KUJITOA KATIKA CHAGUZI, WACHA FISIEMU WAFANYE WANAYOFANYA ILI WANANCHI WAJIONEE WENYEWE!
 
kwakweli!
 
Ajabu kwa kweli mtu aliyepo kwenye matibabu nje ya nchi eti ndio anona anaujua ukweli kuliko waliokuwepo eneo la tukio. Halafu hii mindset ya kuona Chadema haikoseagi hata siku moja ndio inayowamaliza kila siku.
Technology si lazima uwepo eneo la tukio,sawa na wwe ulivokuwa ukiuchambua mpira worldcup urusi ukiwa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ni kufanya maamuzi magumu.

Bila na wao kupata misukosuko, kamwe hawawezi kuja kwenye meza ya mazungumzo wala kuona umuhimu wa kutusikiliza(these people are callous and therefore they are enjoying what they are doing).

In short, this regime is worse and needs special treatment(they deserve similar treatment).
Weupe sana sema wanategemea polis na kitu kingine walishajipanga haya na wana jua hakuna cha kuwatisha kumbuka pale mwanzo uhakiki wa silaha ulifanywa nchi nzima wee unafikiri ilikuwa lengo gani kufanya vile
 
Tuanze na ufafanuzi huu wa Lissu. "Mgombea anatakiwa kuwasilisha fomu ya uteuzi kabla ya saa kumi, SIKU MOJA kabla ya SIKU YA UTEUZI"
Rejea clip ya kiongozi wa kanda Chadema, kwa nini wagombea walirudisha fomu Siku ya uteuzi na si siku moja kabla ya siku hiyo?
Labda ndo maelekezo waliyopewa hata ccm walirudisha siku hio hio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si vyema kurumbana na mgonjwa...bora kukubali kila anacho sema
 
Back
Top Bottom