Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.

Lakini lisu sio mwanasheria pekeyake. Yeye nimwanasheria na mwanasiasa. Na mwanasiasa yeyote lazima aongee ndio afanikiwe. Lisu anafanya siasa kwa kutumia sheria na hakuna kosa maana watu wengi wanajifunza kutoka kwake wakati unaona anataka sifa
 
Mzee wa watu njaa imemshika Haswaaa!!! Namuonea huruma kwa kweli ila ndio maisha apambanane tu haina jinsi
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Duuuuuh. Kweli wewe unamjua. Hongera kwa kumgundua maana hata kesi zake zinasikika sana kuliko zingine. Sijui anawaita waandishi waziandike. Uchambuzi wako makini kwelikweli
 
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Bunda, Steven Wassira katika moja ya vikao vya Bunge Mjini Dodoma.
View attachment 490430
Lissu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusu maisha yake binafsi na mambo mbalimbali ambayo amewahi kukutana nayo, ambapo alielezea pia kesi ambazo zinamkabili, maisha ya mahabusu, familia yake, burudani anazopenda pamoja na uhusiano wake na watu mbalimbali.

Mbunge huyo alisema Wassira alitaka kumpiga baada ya maneno makali aliyomtolea bungeni wakati akichangia hoja. Miongoni mwa maneno yaliyomkwaza Wassira ni baada ya Lissu kumwambia kuwa alijiunga upinzani akidhani kuna fedha na alipogundua hakuna ndipo akakimbia kurudi CCM.

“Alichukia sana. Sasa nimetoka pale naenda chooni, nikamkuta akiwa na wabunge wengine wa CCM. Aliponiona akaanza kunifuata akiniambia kuwa atanipiga,“ alisema Lissu

Lissu alisema kuwa alimuona Wassira akizidi kumkaribia ambapo alikuwa akielekea kwenye kona ili ampate vizuri. “Na akikasirika anakuwa mkubwa kweli, alafu mimi mdogo. Nikawa nawaangalia wale wabunge wengine wa CCM kama wataingilia kuamua, naona hakuna anayetaka kumzuia.”

Akisimulia tukio hilo Lissu alisema, Wassira alirusha ngumi ya kwanza akaikwepa, aliporusha ya pili ikamkosa huku Wassira anazidi kusogelea, akawaza kuwa akipiga hatua nyingine moja atampiga teke, wakati anaugulia maumivu yeye atakimbia. Lakini Wassira aligeuka na kuondoka zake.

Chanzo: Mtandaoni
Tatizo laTundu Lisu ana "Abrasive Personality" And Overly annoying.
Uchokozi chokozi tu siku zote sijui ataongozaje TLS yake hiyo.
 
Hawanaga masihara watu wa huko,ukizingua utapigwa tu.Muulize Tumbili alivyotaka kutwangwa bungeni alipomzingua AG aliyepita.
 
Ikiwa mnaemuhita wakili msomi anaongea pumba kama hizo itakuwaje kwa nyumba asiejua haki zake?
Kwanini asisubili apigwe ngumi ili ampeleke mahakamani?

It's called flight response, it's a natural instinct when threatened...u can't see another man hitting you & don't fight back like a pu.s.s.y.
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Wakiwa kimya wanatusaidia nini?
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
wewe nawe boya mwingine
 
Back
Top Bottom