Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

Lisu si ungemkata ngwala moja yule na lile tumbo angeenda chini asingeamka tena hao wabunge wenzake wangekuja kumuokota.
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Haya sawa.
 
Lissu sio size yako mkuu,acha wivu wa ke !
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Nikweli inakua ngumu kumjua na kumuelewa mwanaume mwenzako hilo analiweza mkewe tu wanaolala kitanda kimoja sasa sijui wewe ni mama lissu
 
Ikiwa mnaemuhita wakili msomi anaongea pumba kama hizo itakuwaje kwa nyumba asiejua haki zake?
Kwanini asisubili apigwe ngumi ili ampeleke mahakamani?
 
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Bunda, Steven Wassira katika moja ya vikao vya Bunge Mjini Dodoma.

Lissu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusu maisha yake binafsi na mambo mbalimbali ambayo amewahi kukutana nayo, ambapo alielezea pia kesi ambazo zinamkabili, maisha ya mahabusu, familia yake, burudani anazopenda pamoja na uhusiano wake na watu mbalimbali.

Mbunge huyo alisema Wassira alitaka kumpiga baada ya maneno makali aliyomtolea bungeni wakati akichangia hoja. Miongoni mwa maneno yaliyomkwaza Wassira ni baada ya Lissu kumwambia kuwa alijiunga upinzani akidhani kuna fedha na alipogundua hakuna ndipo akakimbia kurudi CCM.

“Alichukia sana. Sasa nimetoka pale naenda chooni, nikamkuta akiwa na wabunge wengine wa CCM. Aliponiona akaanza kunifuata akiniambia kuwa atanipiga,“ alisema Lissu

Lissu alisema kuwa alimuona Wassira akizidi kumkaribia ambapo alikuwa akielekea kwenye kona ili ampate vizuri. “Na akikasirika anakuwa mkubwa kweli, alafu mimi mdogo. Nikawa nawaangalia wale wabunge wengine wa CCM kama wataingilia kuamua, naona hakuna anayetaka kumzuia.”

Akisimulia tukio hilo Lissu alisema, Wassira alirusha ngumi ya kwanza akaikwepa, aliporusha ya pili ikamkosa huku Wassira anazidi kusogelea, akawaza kuwa akipiga hatua nyingine moja atampiga teke, wakati anaugulia maumivu yeye atakimbia. Lakini Wassira aligeuka na kuondoka zake.

Chanzo: Mtandaoni
Hahaha!!! Makamanda wa ukawa
Kama ma dem makelele mengi lakini wakitetemeshwa kidogo wanyea ndo
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.

Mbona hushangai Makonda kutafuta sifa kila siku wakati kuna wakuu wa mikoa wengi tu Waziri wapo kimya?
 
Wacha naye ajiajili,maana wakiwa kwenye system,ni mabigwa sana Wa kusema vijana mjiajiri.
 
Ngumi ya Wassira kwa Lissu imemurudia mwenyewe kwa kupigwa za uso na wanabunda.
 
Kama humjui wasira utakufa kabla ya muda wako, yule ukimsogezea sura yako anaipa nakozi. Bora ucheze na Magufuri kuliko Wasira!!!...atawanyoosheni!!!
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Hater!
 
Back
Top Bottom