Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Bunda, Steven Wassira katika moja ya vikao vya Bunge Mjini Dodoma.
FB_IMG_1491158476346.jpg

Lissu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusu maisha yake binafsi na mambo mbalimbali ambayo amewahi kukutana nayo, ambapo alielezea pia kesi ambazo zinamkabili, maisha ya mahabusu, familia yake, burudani anazopenda pamoja na uhusiano wake na watu mbalimbali.

Mbunge huyo alisema Wassira alitaka kumpiga baada ya maneno makali aliyomtolea bungeni wakati akichangia hoja. Miongoni mwa maneno yaliyomkwaza Wassira ni baada ya Lissu kumwambia kuwa alijiunga upinzani akidhani kuna fedha na alipogundua hakuna ndipo akakimbia kurudi CCM.

“Alichukia sana. Sasa nimetoka pale naenda chooni, nikamkuta akiwa na wabunge wengine wa CCM. Aliponiona akaanza kunifuata akiniambia kuwa atanipiga,“ alisema Lissu

Lissu alisema kuwa alimuona Wassira akizidi kumkaribia ambapo alikuwa akielekea kwenye kona ili ampate vizuri. “Na akikasirika anakuwa mkubwa kweli, alafu mimi mdogo. Nikawa nawaangalia wale wabunge wengine wa CCM kama wataingilia kuamua, naona hakuna anayetaka kumzuia.”

Akisimulia tukio hilo Lissu alisema, Wassira alirusha ngumi ya kwanza akaikwepa, aliporusha ya pili ikamkosa huku Wassira anazidi kusogelea, akawaza kuwa akipiga hatua nyingine moja atampiga teke, wakati anaugulia maumivu yeye atakimbia. Lakini Wassira aligeuka na kuondoka zake.

Chanzo: Mtandaoni
 
teh teh teh
Watu wa mkoa wa Mara suluhu ya kila kitu huwa ni kutandikana tu, iwe ni kwa ngumi au mapanga.

Hii hulka huwa haiishi.

Nakumbuka jamaa mmoja naye wa Mkoa wa Mara alikuwa msaidizi wa Mwalimu Nyerere miaka hiyo bado Rais, wakati vugu vugu la chokochoko za Uganda limepamba moto alitaka kumkaba Idd Amini mkutanoni amtandike makonde hadharani.

Ilibidi Mwalimu amkataze, neno alilomwambia ni "Mbeh"
 
Lisu kweli chiriku na kasuku anaongea sana , mbona hayo kawaida sana kwa siasa za Bongoland!
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
 
teh teh teh
Watu wa mkoa wa Mara suluhu ya kila kitu huwa ni kutandikana tu, iwe ni kwa ngumi au mapanga.

Hii hulka huwa haiishi.

Nakumbuka jamaa mmoja naye wa Mkoa wa Mara alikuwa msaidizi wa Mwalimu Nyerere miaka hiyo bado Rais, wakati vugu vugu la chokochoko za Uganda limepamba moto alitaka kumkaba Idd Amini mkutanoni amtandike makonde hadharani.

Ilibidi Mwalimu amkataze, neno alilomwambia ni "Mbeh"
 
teh teh teh
Watu wa mkoa wa Mara suluhu ya kila kitu huwa ni kutandikana tu, iwe ni kwa ngumi au mapanga.

Hii hulka huwa haiishi.

Nakumbuka jamaa mmoja naye wa Mkoa wa Mara alikuwa msaidizi wa Mwalimu Nyerere miaka hiyo bado Rais, wakati vugu vugu la chokochoko za Uganda limepamba moto alitaka kumkaba Idd Amini mkutanoni amtandike makonde hadharani.

Ilibidi Mwalimu amkataze, neno alilomwambia ni "Mbeh"
mbeh!!
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Sawa uzuri wao wanatumiaje au mpaka kifo uzuri wao utajwe kwenye wasifu
Halafu fisiemu mnapenda sana uzuri wa kwenye makaratasi kama mnavyo saini Mikataba feki huku mnakuja kulialia wenyewe
 
Back
Top Bottom