Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Kusema mtu anawaza kama "nyumbu" ni tusi na sio fact kwamba haijawahi kuwa mwanasheria wao? Kwani alichokuwa anaongea hadharani kuwatete alikuwa anafanya hivyo kama Mwanasheria wao au mwanasiasa, naomba unieleweshe inawezekana in this instance Mimi nimefikiria au kuandika kama "nyumbu"

Sasa Kama jibu unalo kwamba alikuwa Wakili, suala la siasa hapo linakujaje na tusi juu?
 
U ought to be ??? Wapi nimeandika kama alikuwa mwanasheria wao?,, au na wewe unaleta "utoto"

Angalia nwenyewe maswali yako. Sasa unataka nikutafutie hata comment zako?

Sasa utoto na na unyumbu ya nini?

Kutoka kwenye hoja Sasa unanishambulia binafsi
 
Naomba majibu ya hili swali hadi leo sijapata.

Kwanini Lissu alikiwa anawetetea sana Barrick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikuwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila jambo?

Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
 
Unajielewa kweli ama umeamua kuandika tu. Kwa nini atake kuwakalisha wahujumu uchumi wakati yeye alikuwa muwakilishi wa wananchi tayari? Aliacha kazi za kibunge na kufanya za kilaghai?
Wahujumu uchumi ambao nani aliwaleta? Nani alisaini mkataba? We ndo hujielewi hata kidogo.
 
Muda bana huwa hauongopi

Ni miaka mitatu sasa watanzania tumeshachamnua pumba na mchele kuhusu mada aliyoitoa lisu naona kimyaaa....
 
Back
Top Bottom