Tundu Lissu ni Simba. Samia alikiri hili jambo yeye mwenyewe. Na yeye ni Chura Kiziwi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,163
Reaction score
22,739
Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote.

Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge.

Alikuwa akizunguka zunguka mle ndani kibabe na kutisha. Hapo samia akauliza yule simba anaitwa nani? Sikumbuki walijibu nini. Ila nakumbuka akasema haraka apewe jina la Tundu Lissu. Tundu Lissu ana roho ya Simba.

Hata Fisi miamoja Simba atapigana nao na hata wakimshinda kuna fisi nao watakuwa na hali mbaya sana.

Lakini pia wakati huo huo rais samia alisema yeye ni chura. Tena siyo chura tu wa kawaida. Yeye ni chura kiziwi. Hatujui tena chura huyo ana udhaifu gani mwingine. Ila sasa unapata picha katika ulimwengu wa roho. Nini kilimsukuma samia aseme hayo maneno?

Au watu wake walimshauri vibaya?au waandishi walimwandikia maneno vibaya? Yeye Chura na Tundu Lissu Simba?

Tuendeleeni kumwombea rais katika changamoto anazopitia na Mnyaazi Mungu atusikie sisi waja wake. Kama ilivyokuwa jana iwe na leo pia.
 
Nimecheka sana,kina Tundu Lissu wengi wako ndani ya familia zetu,ni watu wenye misimamo,siyo jina la kumpa mtoto mlevi au chawa kama Mwaijaku
 
Ifikie hatua ukiambiwa neno SIMBA uelewe
Simba 💯
LISU yuko mahabusu lakini jumanne au jumatano 15au16 atatolewa bila mashart tutaambiwa serikali haina haja ya ku endelea na kesi. Lisu Au samia 2025 hawawezi kushika urais. Utabiri wangu
 
Ngoja tuone
 
Si majina peke yake, hata kwa brain Lissu ni mlima k'njaro wakati chura kiziwi ni sawa na kichuguu!
 
Back
Top Bottom