cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,999
- 79,190
Dikteta Magufuli hana nafasi tena mioyoni mwetu.Narudia tena, hatuwezi kuuza Nchi.
Hamuwezi kutuyumbisha hata kidogo.
Nyie wazee wa mihemko.
Tunawajueni vizuri sana, kama hamkujifunza kipindi cha Edward Lowassa, hamtoweza kujifunza tena.
Mkishikwa akili kidogo mnafuata mkumbo
Ninyi mnajua aina ya watu waliokuwa wanajazana kwenye mikutano yake ya kampeni. Ni kundi la watu wanaoshabikia matukio na vituko. Wameona na kufurahia vituko, wakacheka, kuzomea na kupiga miluzi.Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
Ni zaidi ya Nyerere. Huyu atamtoa mkoloni mweusi
Wakati uo uo unamaanisha nini? Kama kiswahili Chako ndio hicho basi nimeshajua wewe ni aina gani ya kiumbe!!Sasa unataka abarikwe wakati uo uo ana mtumia wakili Amsterdam ambaye ameolewa, yeye mwenyewe Lisu ana pambana ili watu wa mapenzi ya jinsia mmoja wasibugudhiwe, Wakati uo uo ana beza Mungu alivyo iponya Tanzania na Corona. Mbona Kama mnaji changanya.
Kwenye selikali ya kidicteta, usiwengeweza hata kuandika haya uliyoyaandika,Dikteta Magufuli hana nafasi tena mioyoni mwetu.
View attachment 1614220
Wacha uongo wewe, hakuna mwanasiasa aliyezuiwa kufanya siasa kama alifuata tafatibu za nchi. Vyombo vya habari vilivyokiuka sheria pia zilifungiwa, hilo sio geni miaka yote. Huyo mnayemuita shujaa ndio huyohuyo aliyekuwa akiwakingia kifua a acasia na mikataba yote ya hovyo ya wawekezaji wa nje iliyokuwa ikilitia Taifa hasara.Kwa NEC hii - tawi la CCM - hata apate kura zote hawawezi kumtangaza kuwa mshindi. Lakini kwangu mimi ninaona alichofanya katika kipindi hiki cha kampeni ni USHINDI wa aina ya pekee...
Hujui unachoongea. Raisi aliyeko madarakani akishinda uchaguzi wa awamu ya pili haapishwi kwa mara ya pili. na pia awamu haibadiliki atabakia kuwa wa awamu ya 5 siyo 6. Nawaonea huruma wazazi wako waliouza mifugo kusomesha ngombeUmechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa MAGUFULI, karibu kwenye sherehe ya kuapiswa Rais uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.
Wewe endelea kutoa ushuzi...leo ndio leo tunaenda kumpa Magufuli USHINDI wa KIHISTORIA. Congratulations in advance President MagufuliShujaa wa kuwatesa watu kama sasa kazima Whatsapp ili afanye unyama wake Duniani wasijue nini kinaendelea
Kama alikuahidi wizara ya kazi, jinsia na watoto nashauri uendelee na unesi tu...
What an empty nut..Huwa sipigi kura kama hakuna mgombea anaekonga moyo wangu. Huko nyuma Dr. Slaa alinitoa nyumbani na nikampa kura yangu. 2015 sikupiga kura nilizira. 2020 nasubiri kwenda kituoni kwani ashinde asishinde Lissu anakitu cha kuwapa watanzania. Ni YEYE.
Ndio umemaliza?What an empty nut..
Kuna mahali umeona nimeanza mpaka nimalize?Ndio umemaliza?
Kwa taarifa yako this "empty nut" as you called him has already voted and his precious vote went to none other than Hon. Tundu Lissu.Kuna mahali umeona nimeanza mpaka nimalize?
SIBISHANI NA WATOTO KAMA WEWE CHA KUFANYA SUBIRI UTAPATA MAJIBU MOJA KWA MOJA TOKA DODOMA< UNAKARIBISHWA KUJA KUONA>Hujui unachoongea. Raisi aliyeko madarakani akishinda uchaguzi wa awamu ya pili haapishwi kwa mara ya pili. na pia awamu haibadiliki atabakia kuwa wa awamu ya 5 siyo 6. Nawaonea huruma wazazi wako waliouza mifugo kusomesha ngombe