ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,291
- 4,967
Mungu akamnyoosha mwendazake sasa hivi yupo jehanam 🔥 📛 akiwa katibu muhtasi wa LuciferJPM alimjua na alimnyoosha
Tundu bhana hahaha akabaki analilia makinikia haha
Mungu akamnyoosha mwendazake sasa hivi yupo jehanam 🔥 📛 akiwa katibu muhtasi wa LuciferJPM alimjua na alimnyoosha
Tundu bhana hahaha akabaki analilia makinikia haha
😁😁😁aiseeee!Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854
-Bachelor of business administration in international business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publications;-
-Assessment on the effects of microfinancing on Poverty reduction.
Inawezrkana unaumwa.Kwa kiingereza unaitwa mutamwa.Usilinganishe kile chuma JPM na Tundu hata siku moja
umeisema kwa uchungu mkali sana. na mim nitoe langu. kwa mwandish jins alivomalizia lisu hawez kuwa magu labda labda .wapo akiba ya vijana ndan ya ccm ambao wakipewa rungu magu huyu hapa.mfano Polepole, makonda na majaliwa.hivyo vyuma ni bas tu ila ni namba ngumu sana hizoNimesema sana na sitachoka kurudia tena na tena. Tafadhali sana Mwamba Magufuli asilinganishwe na vitu vya kishenzi na vya kipumbavu!! Tafadhali sana!!
Jpm alikuwa chuma kwa nyie walamba viatu wa ccm na wapika majungu kama kinaa MakondaUsilinganishe kile chuma JPM na Tundu hata siku moja
Dogo endelea kusoma, huu mjadala hauhitaji watoto wa shuleNimesema sana na sitachoka kurudia tena na tena. Tafadhali sana Mwamba Magufuli asilinganishwe na vitu vya kishenzi na vya kipumbavu!! Tafadhali sana!!
mama D hapa umechemka mamaYeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini
Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
Kumbe kuna Muda Mapepo yanaweza kumvamia Mchungaji.Yeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini
Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
Mungu akamnyoosha mwendazake sasa hivi yupo jehanam 🔥 📛 akiwa katibu muhtasi wa Lucifer
HaiwezekaniKumbe kuna Muda Mapepo yanaweza kumvamia Mchungaji.
mama D hapa umechemka mama
Magufuri aliyesema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz ili nchi iwe ya chama kmoja at last leo ndo haya tuyaonayo, magu aliyekuwa akfka kwny majmbo ya wapnzan anawananga watz kwmb wakiwachagua hawatapata maendeleo akasahau majmbo mengi yalikuwa yako chn ya chama chake na hakukuwa na maendeleo hayo aliyokuwa anayasema, magu wa kuzuia mapanki ya madini wkt minofu ya madini ikawa inaenda ulaya kama kawa au mwngne, uzalendo wa kudanganya watz anatumia pesa za ndan wkt ni mikopo na misaada au mwngne, bwawa la nyerere lina msaada gn ikiwa bei ya umeme ni ileile, tunaanza nunua umeme ethiopia, umeme wa mgao, SGR hasara tu hakuna faida, ndege hasara hakuna faida huu si ni upuuz huu.
Kama uko chuo naweza kuwa Supervisor wako wa PhD Thesis on Political Economy! Ahahahahaha!!Dogo endelea kusoma, huu mjadala hauhitaji watoto wa shule
Mungu fundi alietaka atawale miaka 30 akatawala miaka 5 leo Iisu anaishi muuaji mwendazake katangulia kufa. Kutoa uhai wa mtu muachieni Mungu shenzi taypuMungu hanyooshi watu unavyodhania
Kifo ni ahadi hata wewe utakufa
Hahaha sawa mtoto wa shule. ila sasa mimi chuo nilisoma zamani sanaKama uko chuo naweza kuwa Supervisor wako wa PhD Thesis on Political Economy! Ahahahahaha!!