Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,771
Reaction score
4,913
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga

Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.

Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru

Aliutumia Kwa bidiii kipaji chake Cha ualimu na uongozi kuwatoa kuleta ukombozi wa fikra za watanzania

Watanzania wengi wako tayari kwenda uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya simba na Yanga kabla ya kufuatilia mambo muhimu ya Taifa lao

Taifa la watu wenye upeo mkubwa hawawezi kuwa na vipaumbele vya ajabu ajabu

Ni zamu yako Lisu kama Nyerere kuwatetea watu wa taifa hili wenye vipaumbele vya aina yake

Lakini usikate tamaa hata kama asilimia 20 ndo wanakuelewa tutashirikiana kuwaambukiza wengine mpaka waelewe

Miaka 27 ya Nelson Mandela gerezani akashinda MAADUI zake Hadi Leo hawezi kusahuulika
 
labda ni kama stivu nyerere alivyokua anawapigani wanamziki wa hiphop na bongo fleva :pedroP:
 
Hizo ni propaganda za Nyerere mwenyewe, aliwadogosha wapigania uhuru wote na kujinyanyua yeye tu.

Hata hiyo ya kuleta demokrasia kwani nani aliiondoa? Yaani uue demokrasia mwe
mwenyewe alafu baadae akishamaliza utamu wa madaraka ndio ujifanye 'hero' kwa kurejesha tena ikiwa imejaa vyama mapandikizi ya ikulu?

Huyo mzee amechangia sana sisi kuwa hapa tulipo.

Lissu is a true hero.
 
Ukiona mtu anatetea Democracy huyo hakuna haja ya kumpima akili, ni mbumbumbu tayari. Ni hatari sawa na ile ya wasio wazalendo kupewa madaraka.

Kwa jamii yetu HAKUNA option ya kutokabidhi nguvu kubwa kwa wachache, ila shida IPO wanaokabidhiwa ni kina nani na wenye uzalendo kiasi gani.

Mpe nguvu mzalendo na mwenye dhati na hekima kwa Taifa uneemeke na kufurahia, au mpe nguvu mpumbavu mmoja, dhaifu na qkitekosq uzalendo mbaki kulia na kusaga meno.
 
Ni mada chokonozi; inayovuruga akili (kwa uzuri kwa wenye akili timamu).

Unachoeleza hapa ni kwamba, wakati wa Nyerere palikuwepo na wajinga wengi; hili nakubaliana na wewe, kwa sababu elimu ilikuwa nadra kwa wengi.
Mada yako haijaeleza ni vipi wakati huu wa leo. Hawa "wajinga" wengi wanatoka wapi/wanasababishwa na nini?

Wakati wa Nyerere alipambana na wakoloni, ambao hata kama walitumia njia za kukwamisha juhudi zake; hakuna popote inapoonyesha juhudi hizo za wakoloni kumkwamisha Nyerere zilifikia hatua hata robo tu ya hawa akina Samia kukwamisha juhudi za Tundu Lissu kuwaondoa ujinga waTanzania.

Kwa hiyo kuna tofauti kubwa, ndiyo maana nikasema toka mwanzo, mada yako ni chokonozi kwa wenye kutumia akili kutafakari.

Binafsi siwaoni waTanzania wa leo kuwa wajinga. Tusiwatwishe sifa hiyo kwa sababu tu hatutaki kutumia akili zetu kuchunguza sababu halisi zinazofanya waonekane kama wajinga.
 
Ukiona mtu anatetea Democracy huyo hakuna haja ya kumpima akili, ni mbumbumbu tayari. Ni hatari sawa na ile ya wasio wazalendo kupewa madaraka.

Kwa jamii yetu HAKUNA option ya kutokabidhi nguvu kubwa kwa wachache, ila shida IPO wanaokabidhiwa ni kina nani na wenye uzalendo kiasi gani.

Mpe nguvu mzalendo na mwenye dhati na hekima kwa Taifa uneemeke na kufurahia, au mpe nguvu mpumbavu mmoja, dhaifu na qkitekosq uzalendo mbaki kulia na kusaga meno.
Wewe haya ya "demokrasi" ndio nongwa kwako; Unaamini hapawezi kuwepo na demokrasi na mambo yakaenda sawa? Demokrasi kwako ni kitu gani?

Kwa maoni yako, Samia ndiye mfano wa "mzalendo na mwenye dhati na hekima kwa taifa"?
 
Hizo ni propaganda za Nyerere mwenyewe, aliwadogosha wapigania uhuru wote na kujinyanyua yeye tu.

Hata hiyo ya kuleta demokrasia kwani nani aliiondoa? Yaani uue demokrasia mwe
mwenyewe alafu baadae akishamaliza utamu wa madaraka ndio ujifanye 'hero' kwa kurejesha tena ikiwa imejaa vyama mapandikizi ya ikulu?

Huyo mzee amechangia sana sisi kuwa hapa tulipo.

Lissu is a true hero.
Umechanganyikiwa!

Hao unaosema "kuwadogosha" ndio hao hao wanaowasurubu waTanzania leo.
 
Wewe haya ya "demokrasi" ndio nongwa kwako; Unaamini hapawezi kuwepo na demokrasi na mambo yakaenda sawa? Demokrasi kwako ni kitu gani?

Kwa maoni yako, Samia ndiye mfano wa "mzalendo na mwenye dhati na hekima kwa taifa"?
Huo upuuzi wa Demokrasia ndio uliomuingiza huyo Samia na genge lake.
Achaneni na Viini Macho!
 
Kwamba akina Kikwete na Samia walikuwa 'wapigania uhuru' wenzake na Nyerere??

Vijana punguzeni bhange.
Unaonekana akili yako imelala na hujitambui kabisa. kama hata hao uliowasema wewe "kudogoshwa" nao huwajui!
Hizo siyo bhange pekee, bali pamoja na uchizi ndani yake.
 
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga

Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.

Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru

Aliutumia Kwa bidiii kipaji chake Cha ualimu na uongozi kuwatoa kuleta ukombozi wa fikra za watanzania

Watanzania wengi wako tayari kwenda uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya simba na Yanga kabla ya kufuatilia mambo muhimu ya Taifa lao

Taifa la watu wenye upeo mkubwa hawawezi kuwa na vipaumbele vya ajabu ajabu

Ni zamu yako Lisu kama Nyerere kuwatetea watu wa taifa hili wenye vipaumbele vya aina yake

Lakini usikate tamaa hata kama asilimia 20 ndo wanakuelewa tutashirikiana kuwaambukiza wengine mpaka waelewe

Miaka 27 ya Nelson Mandela gerezani akashinda MAADUI zake Hadi Leo hawezi kusahuulika
Huyo Lissu mwenyewe mjinga tu sawa na hao watanzania unaowaona wajinga.

Huwezi kutishia kukinukisha yaani unaongea bila ya kupima madhara ya ukubwa wa kauli ile ya uchochezi.

Pia ajiangalie watakapokuja hao jamaa wa ICC wanaweza kuondoka nae kwa kauli yake ya hatari, ambayo imerekodiwa na video yake inatembea instagram.
 
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga

Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.

Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru

Aliutumia Kwa bidiii kipaji chake Cha ualimu na uongozi kuwatoa kuleta ukombozi wa fikra za watanzania

Watanzania wengi wako tayari kwenda uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya simba na Yanga kabla ya kufuatilia mambo muhimu ya Taifa lao

Taifa la watu wenye upeo mkubwa hawawezi kuwa na vipaumbele vya ajabu ajabu

Ni zamu yako Lisu kama Nyerere kuwatetea watu wa taifa hili wenye vipaumbele vya aina yake

Lakini usikate tamaa hata kama asilimia 20 ndo wanakuelewa tutashirikiana kuwaambukiza wengine mpaka waelewe

Miaka 27 ya Nelson Mandela gerezani akashinda MAADUI zake Hadi Leo hawezi kusahuulika
USIPOTOSHE!
Nyerere aliwakuta wazee wa Dar-es-alaam wapo ndani ya harakati za kudai uhuru wakiwa na chama cha TAA. Alikaribishwa tu
 
Huo upuuzi wa Demokrasia ndio uliomuingiza huyo Samia na genge lake.
Achaneni na Viini Macho!
Wewe utakuwa na uelewa potofu juu ya demokrasia kama unafikiri Samia kaingizwa hapo alipo kwa kufuata matakwa ya demokrasia.
 
Hizo ni propaganda za Nyerere mwenyewe, aliwadogosha wapigania uhuru wote na kujinyanyua yeye tu.

Hata hiyo ya kuleta demokrasia kwani nani aliiondoa? Yaani uue demokrasia mwe
mwenyewe alafu baadae akishamaliza utamu wa madaraka ndio ujifanye 'hero' kwa kurejesha tena ikiwa imejaa vyama mapandikizi ya ikulu?

Huyo mzee amechangia sana sisi kuwa hapa tulipo.

Lissu is a true hero.
Nyerere ndo mkosi wa nchi hii
 
USIPOTOSHE!
Nyerere aliwakuta wazee wa Dar-es-alaam wapo ndani ya harakati za kudai uhuru wakiwa na chama cha TAA. Alikaribishwa tu
Hakuna hata kumbukumbu ya kikao kimoja tu cha hao wazee zinazoonyesha hayo mnayowainua juu yake zipo.

Hao wazee hata Magomeni mapipa walikuwa hawajulikani uwepo wao wala shughuli za kisiasa mnazoozisifia.

Hawa walikuwa ni watu wa kijiweni tu wakinywa kahawa na kupiga soga nyingi hapo hapo Kariakoo.
 
Back
Top Bottom