IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Napata maswali mengi kichwani mwangu, hebu hili bunge la 10 ni nini hatima yake? Na nini matumaini ya watz kwenye bunge hili?
Iwapo itafanyika reshuffle Ngeleja atakuwa majeruhi, naona aanze kupaki mizigo yake mapema.
Hawa mawaziri wababaishaji wajue Bunge hili ni la vijana wapambanaji tena vichwa! Wakumbuke kufanya homework yao kabla ya kukurupuka na majibu ya kijuujuu.
Hilo la kwamba watamalizana ndani kwa ndani mbona Makinda ameshalisema leo. Soma hii taarifa:utashangaa akileta ushahidi ataambiwa ampelekee spika ofisini!
utashangaa akileta ushahidi ataambiwa ampelekee spika ofisini!
Nimewahi kuonya cdm wajipange na namna spika atavyokuwa anaitetea serikali tena penye uozo.sijui kama cdm wamejipanga kwa hili ili tusionekane wapiga kelele tu!Ndio maana walimuweka makinda walilitambua hili. Pinda kadanganya wamempotezea leo hii Ngeleja kadanganya naye watampotezea.
Kweli mkuu,hawa watawala hawana hofu ya nguvu ya umma,wanaogopana wenyewe! Huwa sipendi kutamka hili lakini mpaka yatokee machafuko mazito nchi nzima ndio wataheshimu umma,wapo wanaodhani hatujafikia that situation kusababisha hayo,sasa sijui wanataka situation gani itokee zaidi ya hapa tulipo.inatia hasira mno udikteta ndani ya "democrasia"Just ask me-self, till when? Right now Tz, sarcastically, has turned everything good into a merely mavi. In most conuntries....uwaziri was/is a title with some dignity attached to it except Tz why? Rais na majority ya mawaziri wake ni aibu, Bunge nalo linaharakisha kukosa uhalali, in short...now ni uhuni mtupu. I'm mercifully tired.
Mapinduzi au mabadiliko chanya yana njia mbili. Aidha yaanzie ndani (yaani watawala, ambayo ni aghalabu sana kutokea) au yaanzie nje (watu/raia, taasisi za kiraia, au wapinzani (ambayo ni kawaida). Sasa CCM na serikali yake nadhani wanahimiza walio nje ya wigo wao wayalete hayo mapinduzi au mabadiliko.... kwa kutazama mambo yalivyo sasa.
...halafu hata hakumuomba hiyo IjumaaSpika amempa hadi Ijumaa ili athibitishe ni kwa vipi waziri amesema uongo, yetu macho!