Tundu Lissu: Ngeleja amelidanganya bunge

Smartboy

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,110
128
Mh. Tundu Lissu amemwuliza Ngeleja kuhusu kampuni ya madini ambayo imechukua maeneo ya wakazi wa Singida Mashariki bila fidia na kujenga kiwanja cha ndege kwenye mashamba ya wananchi.

Na akamwuliza kwanini serikali haijachukua hatua ikiwemo kuwafungulia mashtaka hao wawekezaji. Ngeleja amekanusha na kusema kampuni imemilikishwa kisheria.

Lissu ameomba mwongozo na kutaja kifungu kinachohusu kudanganya bungeni na kusema waziri amedanganya. Kama kawaida Anne Makinda amemwambia akafanye uchunguzi alete huo uongo bungeni.

Hapa patamu ngoja tuone au wataizima kama ile ya Lema.
 
Duh,afu kuna mjinga mmoja anasema haoni maana kulumbana bungeni,eti yeye ni bora waache uongo upite siku iende na wizi uendelee
 
Shida hapa kwetu ni kwamba ukisema uongo watu wanakupigia makofi ukisema ukweli wewe mbaya..

Ngeleja kadanganya bunge makinda apeta ila itakuwa ngumu sana huko baadaye kwenye hilo....

Lissu usikubali hadi kieleweke...
 
Kama kawaida ya BUNGE letu nadhani imefika wakati kwa taifa letu kukataa mahamuzi yanayotokana na BUNGE kwani BUNGE limepoteza haki ya kuitwa chombo cha uwakilishi wa wananchi bali ni chombo cha kuviwakilisha vyama vya siasa na kwasasa ni wakati mzuri wa kulikataa na ikibidi kwenye katiba mpya watu wadai uwepo wa mabunge mawili madogo yanayoweza kuwa na wabunge 80 kila moja badala ya kuwa na Bunge kubla la wabunge zaidi ya 300.

Bunge letu halina hadhi ya kuendelea kubeba dhamana ya wananchi na ni jukumu la wananchi kuchukua dhamana waliolikabidhi kwani limeshindwa kazi na kubaki muhuri wa mabwanyenye
 
C umchape makofi huyo mjinga? Ni mjukuu wa EL nini? Manake ni mjnga kwel kwel.
Duh,afu kuna mjinga mmoja anasema haoni maana kulumbana bungeni,eti yeye ni bora waache uongo upite siku iende na wizi uendelee
 
Analo hilo mchuma janga hula na wenzake.....CDM sio watu wa kukurupuka sasa angoje evidence ndio ajue sasa.....:rip:CCM.
 
Wakuu nami pia nimemsikia huyo waziri amezoea kulazimisha majibu kama alivyotaka kulazimisha malipo ya Dowans,tuone apambane na Lisu sasa
 
Watabana sn, mwsho wa cku itabd wanyoshe mikono. Wameligeuza bunge ni mali ya CCM, Huyu spika anapnda kuwabana wbnge wa Cdm, angekuwa ni wa Ccm kasema wazr kadnganya wla acngeambiwa athbtshe! Kwnza hakn mwny ubav wa kumsema wazr! Wanalindana!
Wakuu nami pia nimemsikia huyo waziri amezoea kulazimisha majibu kama alivyotaka kulazimisha malipo ya Dowans,tuone apambane na Lisu sasa
 
Ndio hili bunge kina Cheyo wanasema liachwe lijadili muswaada wa katiba mpya? Hamna kitu kabisaaa!!
 
Hawa wabunge wa CCM aispokufa mmoja bungeni kwa swali kuwa gumu na amedanganya sijui................
 
Wapamabanaji tuko na nyie simamieni ukweli kwani kweli itatuweka huru.

Tuko tayari kwa ajili ya nchi yetu .
 
Mh. Tundu Lissu amemwuliza Ngeleja kuhusu kampuni ya madini ambayo imechukua maeneo ya wakazi wa Singida Mashariki bila fidia na kujenga kiwanja cha ndege kwenye mashamba ya wananchi.

Na akamwuliza kwanini serikali haijachukua hatua ikiwemo kuwafungulia mashtaka hao wawekezaji. Ngeleja amekanusha na kusema kampuni imemilikishwa kisheria.

Lissu ameomba mwongozo na kutaja kifungu kinachohusu kudanganya bungeni na kusema waziri amedanganya. Kama kawaida Anne Makinda amemwambia akafanye uchunguzi alete huo uongo bungeni.

Hapa patamu ngoja tuone au wataizima kama ile ya Lema.

Alafu huyu spika wa bunge mbona kama amepitisha uwongo upite na eti kama mtu anamashaka ukajadiliwe kwenye kamati kati ya Ngeleji na Tundu Lisu ili wapatane.
Swali langu ni Tundu Lisu anawakilisha wananchi kwanini huyu Ngeleji atuambie sisi wananchi kwa kupitia bunge na tumuhukumu sisi wananchi.
 
Ngoja Tusubiri ukweli upelekwe Bungeni halafu Makinda Amlinde Waziri, ila suku inakuja pale ukombozi wa kweli utakapopatikana, naelewa watu wengi na hasa viongozi wa CCM wanaamini Watanganyika hawawezi kufanya lolote kwa kuwa bado wamelala ila wanaamka kwa kasi na siku wakisha nawa uso itakua balaa kweli kweli hapa TZ.
 
Kujadili ukweli ni kupoteza mda tuna mambo mengi ya kufanya namnukuu Spika wa Bunge Anna Makinda.
Wabunge wa ccm wanapiga makofi na huku wakitabasamu.
Ila mpiganaji wetu Tundu Lisu kaza buti kwani ndio wanapokupa ujasiri mpaka kieleweke tupo pamoja.
 
Ngeleja kwa Lisu kama Yanga kakutana na Aston villa patachimbika labda spika aizime. LISSU LAZIMA AWAPIGANIE WAPIGA KURA WAKE KWA GHARAMA YOYOTE ILE. Af nawashauri mawaziri wa ccm wakiulizwa swali waangalie nani kauliza sio kupurumuka kujibu wabunge wengine ni wafuatiliaji sio kama hao wenzao wa ccm wanaopiga weza siku inaisha lazima wajipange.
 
Back
Top Bottom