Tundu Lissu ndiye mpinzani wa kweli, Mbowe katusaliti

Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.

Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.

Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo

Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.

Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.

Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.

Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period
Umetumwa wewe sio bure.
 
Uchaguzi wa Marekani uliomuingiza Donald Trump white house dhidi ya mwana mama Hilary Clinton, yasemekana Urusi ya bwana Putin ilihusika sana kumuhujumu mama Clinton. Wengine tulijiuliza why Urusi ilimpenda Trump badala ya Hillary? Jibu la kizembe ni hili; Trump ameoa msichana/mwanamke mwenye asili ya Urusi, hilo ndio jibu la haraka haraka kuhusu kwanini Putin ali hack computer za NEC ya USA, ukifikiria kwa umakini zaidi utagundua Putin alikua na sababu nzito zaidi ya ushemeji; Trump kwa asili ni mtu wa kukurupuka, sio mtu anae fikiria kwa umakini kabla hajafanya maamuzi, Urusi ilikua ikitaka mtu wa namna hiyo kua Ikulu kuliko mtu makini, anae tulia kwanza kabla hajafanya maamuzi, Hillary hapo alikua anakosa sifa; kwa wenye kumbukumbu, wakati Obama anaelekea kutoka madarakani, vita ya Syria USA ilionekana kufaidika sana na huenda until now rais wa Syria huenda angekua kaisha badirika kwasababu ya mkono wa USA pale; kaingia mwehu Trump, Urusi akaotesha mizizi, kaitawala anga ya Syria, lengo likawa limetimia; sina hakika kama mleta UZI nae anamtaka mtu ambaye ni msoni lakini sio mtulivu wa maamuzi
Tundu ni kichwa, Tundu ni mwana sheria hasa, tena mwana sheria makini but hana UTULIVU when it comes to decision making, Mbowe ni kiongozi, Mbowe anao utulivu hasa when it comes to decision making; isije ikawa mleta UZI umeandika KIMKAKATI
 
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.

Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.

Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo

Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.

Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.

Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.

Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period
Sorry for your ill-intention.
 
Mnajitahidi Sana kuchonganisha CHADEMA Kila siku lakini mnafeli jinsi ya kutengeneza uongo. Katika hili mmefeli Kwa mara nyingine. Mara tu alipotoka mahabusu Mbowe aliongea na Tundu Lissu tena Kwa video call na wengi waliiona clip ile iliyowekwa mitandaoni mara tu baada ya maongezi yale ya zaidi ya dakika 20.

Mbowe si saizi yako maana wewe binafsi hujawahi kuwa mpinzani hata Kwa maoni tu zaidi ya kulamba viatu vya Watawala ukitegemea teuzi au ofa za Watawala.

Kusema Mbowe aliomba msamaha ili atoke mahabusu ni uzushi àmbao hata binti yako mdogo anakushangaa wewe Chawa wa Lumumba. Mbowe hatasujudia Mtu maana hajawahi kufanya hivyo huko nyuma na Jana kaeleza Wazi kilichotokea bila kuacha kitu

Mbowe katusaidia kuondoa utata wa Nani alimhtaji mwenzake baada ya Ile Nolle ya ghafla na Sasa tunaelewa ni Rais Samia aliyempigia simu waonane. Mwenye akili timamu haitaji ubongo wa ziada kujua Nani kwamuomba mwenzake msamaha.

Roho ya kusamehe na utulivu anaoonesha Mbowe tangu awe kiongozi wa CHADEMA unamfanya kuwa kiongozi Bora wa upinzani wa Muda wote sambamba na Maalim Seif ambaye naye alikuwa na misimamo thabiti lakini aliye tayari Kwa majadiliano na Wapinzani wake pale inapopatikana nafasi.

RAIS Samia alianzia mbali kuongea na CHADEMA akianza na Tundu Lissu pale Ubelgiji mwezi uliopita. Akaendelea na Mpango wake Kwa Mbowe alipotoka gerezani. Wapuuzi wenzio walimlaumu hata Lissu Kwa kitendo cha kukutana na Rais Samia huko Ubelgiji lakini wewe umekuja kivingine kumsifu Lissu na kumponda Mbowe.

Hakuna mwana Chadema mahiri atakayeona hili ni tatizo Kwa Chama maana Mbowe alipelekwa mahakamani kama Mbowe lakini sababu ikiwa ni yeye Kwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hivyo hayo Mambo mawili mwenye kuweza kuyabalance ni Mbowe mwenyewe na ameyaweza Kwa kiwango kikubwa.

Mheshimiwa Mnyika si maanasiasa wa mihemko, ni mtulivu na amekibeba Chama mgongoni kwake wakati Mwenyekiti na Makamu wakiwa hawapo Kwa sababu tofauti. Naye kama kawaida hamkuacha kumsakama eti amepoa, kumbewenzenu anaendesha Mambo Makubwa chini Kwa chini na mafanikio ya Chadema digitali yameonekana Kila mahali Hadi kuzaa Kadi za kielektroniki ambazo hata nyie CCM juzi mmeiga.

Kijana John Pambalu ni mpambanaji mwenye Damu inayochemka Sana. Amejidhihirisha kuwa na misimamo mikali katika Mambo mengi kisiasa. Naye mmekuwa mkimsakama maana kwenu CCM Hakuna mwenye jema upinzani Hadi awe mlamba viatu ndo mumuite Mzalendo.

Kwa hili la Mbowe mmefeli tafuteni jingine.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Achana nao hao wachonganishi. Wanatapatapa. Hakuna atayezuzuliwa na hoja za kitoto.
 
Correction Lissu alirushiwa risasi 30+ lakini zilizoingia mwilini mwake ni 16 tuu, Mwenyezi Mungu alimnusuru na zile nyingine.
 
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.

Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.

Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo

Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.

Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.

Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.

Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period
Kawasiliti nyie waoga au mashujaa?
 
Mnajitahidi Sana kuchonganisha CHADEMA Kila siku lakini mnafeli jinsi ya kutengeneza uongo. Katika hili mmefeli Kwa mara nyingine. Mara tu alipotoka mahabusu Mbowe aliongea na Tundu Lissu tena Kwa video call na wengi waliiona clip ile iliyowekwa mitandaoni mara tu baada ya maongezi yale ya zaidi ya dakika 20.

Mbowe si saizi yako maana wewe binafsi hujawahi kuwa mpinzani hata Kwa maoni tu zaidi ya kulamba viatu vya Watawala ukitegemea teuzi au ofa za Watawala.

Kusema Mbowe aliomba msamaha ili atoke mahabusu ni uzushi àmbao hata binti yako mdogo anakushangaa wewe Chawa wa Lumumba. Mbowe hatasujudia Mtu maana hajawahi kufanya hivyo huko nyuma na Jana kaeleza Wazi kilichotokea bila kuacha kitu

Mbowe katusaidia kuondoa utata wa Nani alimhtaji mwenzake baada ya Ile Nolle ya ghafla na Sasa tunaelewa ni Rais Samia aliyempigia simu waonane. Mwenye akili timamu haitaji ubongo wa ziada kujua Nani kwamuomba mwenzake msamaha.

Roho ya kusamehe na utulivu anaoonesha Mbowe tangu awe kiongozi wa CHADEMA unamfanya kuwa kiongozi Bora wa upinzani wa Muda wote sambamba na Maalim Seif ambaye naye alikuwa na misimamo thabiti lakini aliye tayari Kwa majadiliano na Wapinzani wake pale inapopatikana nafasi.

RAIS Samia alianzia mbali kuongea na CHADEMA akianza na Tundu Lissu pale Ubelgiji mwezi uliopita. Akaendelea na Mpango wake Kwa Mbowe alipotoka gerezani. Wapuuzi wenzio walimlaumu hata Lissu Kwa kitendo cha kukutana na Rais Samia huko Ubelgiji lakini wewe umekuja kivingine kumsifu Lissu na kumponda Mbowe.

Hakuna mwana Chadema mahiri atakayeona hili ni tatizo Kwa Chama maana Mbowe alipelekwa mahakamani kama Mbowe lakini sababu ikiwa ni yeye Kwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hivyo hayo Mambo mawili mwenye kuweza kuyabalance ni Mbowe mwenyewe na ameyaweza Kwa kiwango kikubwa.

Mheshimiwa Mnyika si maanasiasa wa mihemko, ni mtulivu na amekibeba Chama mgongoni kwake wakati Mwenyekiti na Makamu wakiwa hawapo Kwa sababu tofauti. Naye kama kawaida hamkuacha kumsakama eti amepoa, kumbewenzenu anaendesha Mambo Makubwa chini Kwa chini na mafanikio ya Chadema digitali yameonekana Kila mahali Hadi kuzaa Kadi za kielektroniki ambazo hata nyie CCM juzi mmeiga.

Kijana John Pambalu ni mpambanaji mwenye Damu inayochemka Sana. Amejidhihirisha kuwa na misimamo mikali katika Mambo mengi kisiasa. Naye mmekuwa mkimsakama maana kwenu CCM Hakuna mwenye jema upinzani Hadi awe mlamba viatu ndo mumuite Mzalendo.

Kwa hili la Mbowe mmefeli tafuteni jingine.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Ume fail, ummefail pakubwa, Mbowe is here to stay!
 
Back
Top Bottom