Tundu Lissu ndiye mpinzani wa kweli, Mbowe katusaliti

Shida ni kwamba mnazani mbowe au Cha dema ndio itawaleteeni maendeleo yaan ni big no sio chadema Wala ccm itawaletea maendeleo usipokua wananchi wenye uchungu na nchi wasio jari mafumbo Yako na wenye akili ndio watafanya Tanzania ipate maendeleo harisi
 
Umeficha sura,umeficha jina,umetaja kijiji cha rafiki yako,bado unajiona shujaa kuandika matapishi,mwenzio ANATUMIA JINA LAKE NA JELA ANAKAA YEYE,jaribu wewe na uwe na msimamo katika moja tu ya aliyoyapitia Mbowe,halafu urudi na uzi kuhusu hilo.
 
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.

Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.

Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo

Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.

Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.

Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.

Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period
Ccm mnapiga ramli chonganishi !!
Yaani leo mnamsifia Lisu !!!!
 
huyo Arafat mtoe aiseee ukitaka kumjua kasome the son of hamas
 
Mnajitahidi Sana kuchonganisha CHADEMA Kila siku lakini mnafeli jinsi ya kutengeneza uongo. Katika hili mmefeli Kwa mara nyingine. Mara tu alipotoka mahabusu Mbowe aliongea na Tundu Lissu tena Kwa video call na wengi waliiona clip ile iliyowekwa mitandaoni mara tu baada ya maongezi yale ya zaidi ya dakika 20.

Mbowe si saizi yako maana wewe binafsi hujawahi kuwa mpinzani hata Kwa maoni tu zaidi ya kulamba viatu vya Watawala ukitegemea teuzi au ofa za Watawala.

Kusema Mbowe aliomba msamaha ili atoke mahabusu ni uzushi àmbao hata binti yako mdogo anakushangaa wewe Chawa wa Lumumba. Mbowe hatasujudia Mtu maana hajawahi kufanya hivyo huko nyuma na Jana kaeleza Wazi kilichotokea bila kuacha kitu

Mbowe katusaidia kuondoa utata wa Nani alimhtaji mwenzake baada ya Ile Nolle ya ghafla na Sasa tunaelewa ni Rais Samia aliyempigia simu waonane. Mwenye akili timamu haitaji ubongo wa ziada kujua Nani kwamuomba mwenzake msamaha.

Roho ya kusamehe na utulivu anaoonesha Mbowe tangu awe kiongozi wa CHADEMA unamfanya kuwa kiongozi Bora wa upinzani wa Muda wote sambamba na Maalim Seif ambaye naye alikuwa na misimamo thabiti lakini aliye tayari Kwa majadiliano na Wapinzani wake pale inapopatikana nafasi.

RAIS Samia alianzia mbali kuongea na CHADEMA akianza na Tundu Lissu pale Ubelgiji mwezi uliopita. Akaendelea na Mpango wake Kwa Mbowe alipotoka gerezani. Wapuuzi wenzio walimlaumu hata Lissu Kwa kitendo cha kukutana na Rais Samia huko Ubelgiji lakini wewe umekuja kivingine kumsifu Lissu na kumponda Mbowe.

Hakuna mwana Chadema mahiri atakayeona hili ni tatizo Kwa Chama maana Mbowe alipelekwa mahakamani kama Mbowe lakini sababu ikiwa ni yeye Kwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hivyo hayo Mambo mawili mwenye kuweza kuyabalance ni Mbowe mwenyewe na ameyaweza Kwa kiwango kikubwa.

Mheshimiwa Mnyika si maanasiasa wa mihemko, ni mtulivu na amekibeba Chama mgongoni kwake wakati Mwenyekiti na Makamu wakiwa hawapo Kwa sababu tofauti. Naye kama kawaida hamkuacha kumsakama eti amepoa, kumbewenzenu anaendesha Mambo Makubwa chini Kwa chini na mafanikio ya Chadema digitali yameonekana Kila mahali Hadi kuzaa Kadi za kielektroniki ambazo hata nyie CCM juzi mmeiga.

Kijana John Pambalu ni mpambanaji mwenye Damu inayochemka Sana. Amejidhihirisha kuwa na misimamo mikali katika Mambo mengi kisiasa. Naye mmekuwa mkimsakama maana kwenu CCM Hakuna mwenye jema upinzani Hadi awe mlamba viatu ndo mumuite Mzalendo.

Kwa hili la Mbowe mmefeli tafuteni jingine.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kwa sasa katiba mpya na tume huru sio kipaumbele tena. Mbowe ameshakubaliana na mama, ehee ninyi nyumbu mnasemaje sasa?
 
Hii nchi ina unafiki mwingi sana, watu wanapenda vya bwerere ,wanataka mapambano wafanye wengine waneemeke wao,
Alipokuwa Gerezani hakuna la maana walioufanya zaidi ya kupiga domo tu, ametoka wanataka wampangie cha kufanya na lawama juu
 
Huyo Lissu yuko wapi, aje uwanjani apambane.

Mmeanza vijimaneno, kura tulimpigia na akakimbia nchi, hata angepita urais lissu angetukimbia
Apambane? Na nani? Huko kijani hoja ndio yaonekana zimewakimbia. Lissu baada ya kuthibitishiwa usalama wake YUAJA.
 
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.

Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.

Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo

Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.

Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.

Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.

Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period
Wewe utaanza kuwa mpinzani wa kweli lini?
 
kwani mamaenu bado hajawarudishia mishipa ya akili?
1646982983436.png
 
uthibitisho tafadhali aliomba msamaha lini.
 
Back
Top Bottom