Wazungu wana data zote mpaka sasaNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Analingabisha kipaji uelewa , akili na utajiri matajiri mbona wako wengi na wengine ni mataahira. Achana na hao watu wasiyo na uelewa usiwajibu maana hawawezi kukuelewaUna Stresses za maisha wewe jikombe upewe buku 7 yako uishi vyeo vimeisha.
Watu kama Lissu wanazaliwa Mara chache sana ktk Dunia.Mungu alimlinda na wauaji kwa makusudi yake
Hapa Ikungi Chadema wanatangaza kwamba kuanzia saa3 watu watakusanyika Bar maarufu kuangalia mahojiano ya BBC na kipenzi chao.
Kuna mbibi wanazunguka nae anasema "hatutaki maccm tunamsubiri Lissu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mgonjwa wa akili.Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Sasa Itabidi ufanyike utaratibu kumtafsiria jamaa yetu maana atatoka kapa na PhD yake ya kuunjunga.Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Barbarossa=Barbarian. Uncouth, uncultured, uneducated barbaricNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Hamna kipindi kibaya kama hiki . Trump hata washiriki zake hata kuwasaidia na sera zake hazina kipaumbele kwa Afrika. Hadi leo Marekani haina balozi Tanzania. UK inahangaika na Brexit. EU ina matatizo na Urusi, Brexit na kwa kifupi pale amebaki Mjerumani na Mfaransa ambao hawana ushawishi huku. Inabidi ajiulize kwanini yale matukio makubwa yalishindwa kushawishi hao wazungu na asipokiwa makini akifeli CCM watammaliza kisiasa.
Magonjwa Mtambuka umetumwa kuja kuharibu huu uzi???