BBC Africa inasikika Afrika tu mkuu huko majuu watu hawana time na hizi news za Afrika ni malimbukeni tu wa huku ndio hufuatilia hizo news.Majuu watu wanaangalia tu ''utabiri wa hali ya hewa''kama leo kutakuwa na ice ,storm au barabara ina traffic jam n.k.Lissu anamjua tu huyo Kikeke,huyo dada na akina KipanyaNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Mara ya mwisho kgeg*dwa ni lini??Mnajisumbua tu nyinyi wacheza singeli ya lissu mara membe uwiii pathetic dna walahi
umemuona Mwamba huyoooNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
umemuona Mwamba huyooo
haya leteni Jiwe lenu[emoji196] [emoji196] [emoji379] [emoji61] View attachment 995469
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wanastahili lawama, wanastahili kupelekwa mbele ya mahakama wahukumiwe...mwacheni Lissu aeleze yaliyomkuta.
..mwanasiasa yeyote aliyepata matatizo kama ya Mh.Lissu lazima atatafutwa na vyombo mbalimbali vya habari ili wamhoji.
..wanaostahili lawama ni MAGAIDI waliomshambulia, na siyo Mh.Lissu anayeeleza mateso aliyopitia.
BBC Africa inasikika Afrika tu mkuu huko majuu watu hawana time na hizi news za Afrika ni malimbukeni tu wa huku ndio hufuatilia hizo news.Majuu watu wanaangalia tu ''utabiri wa hali ya hewa''kama leo kutakuwa na ice ,storm au barabara ina traffic jam n.k.Lissu anamjua tu huyo Kikeke,huyo dada na akina Kipanya
Siyo wanastahili lawama, wanastahili kupelekwa mbele ya mahakama wahukumiwe.
Tundu lililokuleta dunian lilipata maumivu ya bure kuleta taahira dunian.Atamaliza kuongea afu wazungu watajua ujinga wake mwanzo mwisho. Badae watamtumia kama toilet pepa afu watamtupilia mbali na maisha yataendelea. Naihauri Serikali iachane nae ifanye mambo mengine wala isimjibu.
jiwe lazima nafsi imsute kila akiona huyu jamaa anapumua hakutarajia kuona akiwa hai,ndo maana anafeli kwa mambo mengi ni kwasababu ya damu ya huyu mzalendo wa kweliSiteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uneuaaaUmbumbumbu unakutesa, Hard talk ina global audience, sema Stephen Sucker hawezi kumuhoji mtu anayesema kingereza bomu eti "interprenyuta" mfyuu!
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Napata picha kuwa Mungu alimnusuru kifo katika mazingira Yale ili aje ampe madaraka muhimu baada ya "Sauli" kuharibuWasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?
..kweli.
..michango ya baadhi ya wachangiaji ni kana kwamba wamesahau kuwa Mh.Lissu ni mhanga wa shambulizi la KIGAIDI.
..inashangaza na kusikitisha jinsi baadhi ya wachangiaji wanavyomdhihaki.
Mbona una jambajamba sanaNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...