Wewe unaombea mabaya tuu kwa Lissu huku unamuombea mema mama bibi yenu aliye Muhimbili. Hapo unadhani maombi yenu yatasikiwa?
BTW vipi Hali yake inaendeleaje? Sisi tunamuombea kheri
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?
yaani ungejijua unachokiongea Mungu anakuona na anakusikia ulivojaza unafiki moyoni mwako bila kujua unapata faida gani weweLOFA pamoja na vibaraka wenzio mlioombea LISSU Akutwe na umauti. lakini utambue tu kuwa SHETANI KAMWE HAWEZI SHINDANA NA MUNGU.Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
ni SHEITWAAAAN FIRRAUNnikimuonaga anavyokuwa kanisani amepiga magoti huku amefunga mikono..utafikiri ni mtu anaemaanisha.
Jibu swali wewe, sio unaanza tantalila zako.Wewe unaombea mabaya tuu kwa Lissu huku unamuombea mema mama bibi yenu aliye Muhimbili. Hapo unadhani maombi yenu yatasikiwa?
BTW vipi Hali yake inaendeleaje? Sisi tunamuombea kheri
Kwa hiyo tufanyeje,HARDtalk inafanywa na watu mbalimbali mkuu ni kipindi tu kama kilivyokuwa Kiti Moto cha Pascal MayalaYule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Naona umejitekenya na unacheke mwenyewe pole sana!!Mwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
Kumbe wewe ni kiazi hakuna mfano, na inapaswa wenye akili kuku ignore maana ni upumbavu kujibishana naweMwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
niambie uliona wapi binaadam akaweka maisha kwenye kambi ya fisi[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji379] [emoji61] [emoji236] [emoji216] [emoji216]Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?
Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Atamaliza kuongea afu wazungu watajua ujinga wake mwanzo mwisho. Badae watamtumia kama toilet pepa afu watamtupilia mbali na maisha yataendelea. Naihauri Serikali iachane nae ifanye mambo mengine wala isimjibu.
Weka akiba ya maneno hawezi kuhongwa na mzunguNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Font fedNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Ona aibu kuandika hilo neno NEGRO. Ni tusi kwa mtu mweusi. Pia HARD TALK siyo ya BBC swahili.Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...