Mheshimiwa huyu wa Singida asipoangalia vema umaarufu wake utamomonyoka vibaya. Mfano. kwa kitendo chake cha jana bungeni kuomba bunge liahirishwe kwa kuwa jaji amem-issue summons ni kituko cha ajabu kuweza kufanywa na mwanasheria na msomi mahiri kama yeye.
Ili kuweza ku-maintain status yake ni lazima afanye utafiti kwa kila anachotaka kukifanya na kukiongea ktk ulimwengu huu wa siasa. Akitanguliza ushabiki na kutaka kujenga jina haraka haraka inawezekana mwaka 2015 jimbo lake likawa na mbadala.
Aige mwenendo wa Bosi wake Dr Slaa. Kila alichokuwa anataka kukiongea(Bungeni) alikuwa anafanya utafiti wa kina na akikiongea kinakuwa na mashiko.
Ni ushauri tu lakini
pumba tupu jinga wewe
Tundu Lisu ni mashuhuri hata kabla ya kuwa mbunge,jina keshajenga siku nyingi sana wala hataki hilo leo.Hiyo advice yako peleka chooni kawaambie inzi sio watu wenye akili.Huwezi kuissue summons kwa mbunge aliyeko bungeni hiki ni kituko ni kinyume cha katiba
Fikiria kabla hujasema;;takataka
saini yako nimeipenda sana. Inaongelea mtu mwenye busara. Kama wewe ni mfano wa mtu mwenye busara twafaaa!! Ni msiba katika nchi yetu.
Kama mtu mwenye busara"kama wewe" anatumia maneno ya namna hiyo hadharani, sijui!! Anyway, ni kweli ku-issue summons ni kituko, lakini kutaka bunge liahirishwe kwa kuwa mbunge kapewa summons ni kituko kikubwa katika karne hii na ninahisi bado vituko vitaendelea kuonekana kama tunatafuta umaarufu kwa nguvu
hii sred imezeeka naomba uchungulie sio kukurupuka na kurudia sred za leoleo. Au ndio kwanza umeamka na uzanduzandu manake labda jana umekosa usingizi ukiwaza namna spika anavyonyonga demokrasia
KWA HIYO KUKU ANZAAA YAI AU YAI LINAZAA KUKU??KATI YA SUMMONS NA KUOMBA MUONGOZO WA SPIKA NINI KILIANZA??
UNAUDHI
UNAKERA
UNALETA HASIRA
NYAMBAFUUUUUU
HIZI NDIZO BUSARA ZANGU ZAKWAKO ZIKOWAPI??WEWE
I may be wrong, but I am always right. Siku nyingine usiwe unakimbilia tu ku-qoute maneno ya watu. Kabla huja-quote jiweke katika midhania kama unarandana nayo.
hii sred imezeeka naomba uchungulie sio kukurupuka na kurudia sred za leoleo. Au ndio kwanza umeamka na uzanduzandu manake labda jana umekosa usingizi ukiwaza namna spika anavyonyonga demokrasia
Shida ya humu ndani ni ushabiki tuu, hawana ushauri kabisa kwa hao wanaowashabikia, huo si urafiki maana rafiki ni yule anayekushauri na kukuaripia kwa mabaya uyafanyayo.
Son of soil, wabunge wana immunity ya kutoshiakiwa kwa mambo tuu waliyayazungumza ndani ya bunge. Nje ya bunge, nao ni kama raia wengine, sawa na mimi na wewe hivyo mahakama has the right kutoa summon kwa mbunge wakati wowote, ila aliyepewa summon, alitakiwa amsubiri nje baada ya bunge kuahirishwa ndipo kumsainisha. Kitendo cha kumletea summon asaini ndani ya bunge, ni kulidharau bunge lakini sio sababu ya kuiahirisha kwa sababu hiyo..Huwezi kuissue summons kwa mbunge aliyeko bungeni hiki ni kituko ni kinyume cha katiba
Mheshimiwa huyu wa Singida asipoangalia vema umaarufu wake utamomonyoka vibaya. Mfano. kwa kitendo chake cha jana bungeni kuomba bunge liahirishwe kwa kuwa jaji amem-issue summons ni kituko cha ajabu kuweza kufanywa na mwanasheria na msomi mahiri kama yeye.
Ili kuweza ku-maintain status yake ni lazima afanye utafiti kwa kila anachotaka kukifanya na kukiongea ktk ulimwengu huu wa siasa. Akitanguliza ushabiki na kutaka kujenga jina haraka haraka inawezekana mwaka 2015 jimbo lake likawa na mbadala.
Aige mwenendo wa Bosi wake Dr Slaa. Kila alichokuwa anataka kukiongea(Bungeni) alikuwa anafanya utafiti wa kina na akikiongea kinakuwa na mashiko.
Ni ushauri tu lakini
Mwanzoni nilidhani labda Mhe Lissu angekuwa mbadala wa Dr pale bungeni. Lakini kwa sasa nadhani nilikosea na dhana zangu hazikuwa sawa.