Tundu Lissu na hoja za kutaja watu majina

Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Kama bado ni kijana, niamini kuwa utakuwa mchawi uzeeni. Wewe!
 
Kwanza wewe ni mwongo usiyemwogopa hata Mungu na ni mnafki sana sana.

1.Lissu hajasema popote kua Dr Mpoki ndiye aliyeamrisha apelekwe Nairobi, ukibisha weka ushahdi.
2.Hakuna mahali popote Lissu amesema kua anapewa taarifa na Usalama, ukibisha tuwekee ushahidi usipotoshe. Unaandika kinafki na kichonganishi.
3.Hakuna clip wala mahali popote panaonesha kua Lissu amemshutumu mkuu wa kaya kua alitoa maagizo, weka ushahidi hapa. Vinginavyo umeandika kinafki na kichonganishi.
4.CCTV huchukua matukio yote ndani tukio husika, zikiwepo husaidia kwenye uchunguzi.
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Mungu amemuweka hai ili kuonyesha utukufu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu bado unajiulizaga viswali uzushi kama hivyo,!? eti kwnini dereva wake hakupatwa hata na risasi moja, kwani mlengwa alikua dereva!? nyie majambazi hata mjibiwe hovyo mtakuja na swali kwanini risasi zote 38 hazikumuua? na mwishoni mtasema lissu hakupigwa risasi!
 
Katika watu ambao weshawahi kuchangia hii habari ya TL kweli M54 unaweza ukawa nambari 1 kabisa. Hakuna mtu aliyewahi kuchangia mchango wa HOVYOOOO kama wewe.
Yaani unataka kutuaminisha kabisa kabisa kwamba Serekali yetu tukufu ndiyo iliyohusika kikamilifu katika kumtungua TL!!! Hii sio haki kabisa. Kama kuna mtu aliikosea heshima serekali weye ndio namba moja.
Huoni umuhimu wa serekali kujisafisha huko huko anakopitia TL bali unakuja na ngonjera kwamba akamatwe aletwe Bongo kuja kufikishwa mahakamani kuja kujibu tuhuma alizoituhumu serekali!! It is a shame man. Haiwi hivyo!! Unataka kuipalia mkaa serekali kuwa inawagandamiza watu wake?? Vip bwanaaa. Acha ujinga.
Tuiombe serekali ili kumzima TL kabisa, serekali imfuatilie huko huko ikajibu maneno ya TL kule kule alikosimama kama vile BBC HardTalk. Dw na hata huko marekani. Sisemi kuwa mkuu wa nchi aende huko HAPANA. Awatume tu wawakilishi hata kama atamtuma AG wetu ambaye naye ni mwanasheria ka TL. Tumchangie nauli aende huko akabishane na mwanasheria mwenzake. AG anaitetea serekali yake inayomlipa mshahara kwani ikichafuka au ikiaibika ajue ndo kula yake imeharibika. Hukumuona Masilingi alivyoitetea hata kwa kufoka??
AG aende na majibu ya ufasaha kuhusu hoja zake Lissu. Asiende kama comedian bali kama mwanasheria anayejua afanyacho. Naomba msimtishe Lissu kuwa tunaweza kumteka huko huko tukamleta nyumbani. Hili nasema hamtaweza wala hamtathubutu. Angekuwa anasema kuwa kuna watu walimpulizia risasi 38 wala hata moja haikumpata hapo saa hii angelikuwa Kisutu. Lakini, kwa kitendo chakumpulizia risasi 38 zote zikamwacha hai, serekali imtafute huyo mtu aliyefanya kitendo hicho halafu nashauri akiisha kukamatwa naye Lissu apewe AK47 iliyojaa naye akasimame pale pale aliposimama muuaji wake kwa kuwa Lissu anasema alimwona, amlipulie zote 38 tuone ka sio muujiza je huyu atapona??
Acheni ushamba. Serekali imkamate muhusika na mambo yaanze kwenda mahakamani ndipo mseme Lissu aje kutoa ushahidi.
Vinginevyo mnavyozidi kuchelewa ndivyo mnaeleweka vibaya.
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Hiyo no 3 ni sawa na kuuliza ni kwanini jiwe hajui kiingeleza wakati kafika level ya PHD

Mavi yameshaanza kuwabana sasa,majina yapo na ushahidi upo.

Wewe Sio Mtu mwema, Trust me .
 
Heshima kwako Mk54.
Nakubaliana na wewe kuhusu kufikishwa mahakamani kutoa ushahidi wake maana ni tuhuma ametoa na ni haki yake kutoa ushahidi.

Suala la Familia yake kuwekwa chini ya ulinzi itakuwa kinyume cha haki za binadamu. Kwanii iwekwe chini ya ulinzi. Kwa vigezo vipi? Wana kosa gani kwa jamhuri?

Majibu kuhusu dereva kutokupatwa na risasi akiulizwa nahisi hatakuwa na jibu lenye maana sababu alikuwa upande wa wanaoshambuliwa. Labda kama useme unahisi ni igizo alilolipanga yeye, Ila kwa hali aliyokuwa nayo wazo la igizo mm kwa upande wangu nalitoa

Kusimamisha account zake zisitoe fedha au kuingiza fedha kutampa political milage

Miradi kusimamishwa kutampa political milage

Kwanini mahakama isifanye njia ya kutafuta utaratibu official wa kumwita nchini kwa kushirikiana na nchi anazotembelea? Hakuna utaratibu wa kumuomba raia wetu kwenye nchi nyingine? Utaratibu rasmi usio wa majukwaani? Hili liambatane na uhakika wa ulinzi kwake hata kama anaituhumu serikali. Alindwe, afike mahakamani, atoe ushahidi.

TL ni nafasi nzuri sana kwa nchi yetu kuonyesha Dunia na Jumuiya ya kimataifa namna tunavyoshughulikia makosa ndani ya nchi.
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Huu ni wazimu! Bure kabisa!
 
Wewe Sio Mtu mwema, Trust me .
Wewe ndiyo mtakatifu kabisa. I trust yuuu. Unaleta ujinga wako hapa tusikusute?? Unaishauri serekali izidi kutoka nje ya mstari izame zaidi kwenye matope kisa ni chuki yako kwa Lissu?? Kwa nini mtu mmoja tu atuzamishe matopeni kwa hoja zake kama zinajibika zisijibiwe haraka and fast??
 
Unakumbuka shuka wakati kumeshakucha!! Ushauri wako ulipaswa uutoe wakati ule mara tu TL alipopigwa risasi, lakini kuja kuutoa leo umeshachelewa. Unapojikwaa usilauumu ulipoangukia bali laumu kisiki kilichosababisha ujikwae. Siku zote unapaswa ushughulike na chanzo na sio matokeo. Tukio la kupigwa risasi kwa TL ndio chanzo, na anachofanya TL sasa hivi ni matokeo. Angalia ushauri wako usije ukaongeza madhara zaidi maana unajaribu kukabiliana na matokeo wakati ulipaswa kukabiliana na chanzo. Yaani mtu amiminiwe risasi 16 mwili, usimtibu wala hata kumpa pole, akilalamika unamwambie kaa kimya, unachafua nchi!!!??? It is too late, it is time to face the consequences
 
Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

All the way ktk uandishi wako kujaribu kumtetea Jiwe na serikali yake, umefika tu hapa na kuandika hiki, nikatambua uko kwenye "frustration"ya kiwango cha juu sana....

Nikacheka sana na nikaikumbuka story hii kwenye Biblia Takatifu kuhusu Yesu Kristo dhidi ya watesi wake (Serikali ya Watawala wa Kirumi na mkakati wao wa MAROEGA - Make Roman empire Great Again.......by Eliminating Jesus Christ, The King of Jews) walipomtundika juu ya msalaba afe wakidhani ndiyo ushindi wao, mwisho wa Yesu...

Huku wakicheeeeka na kugongeana glass za mvinyo walimdhihaki wakasema, nanukuu:

Luka 23:34 - 36

"....34Yesu akasema, Baba uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawana mavazi yake, wakipiga kura. 35Watu wakasimama wakitazama. WALE WAKUU WAO WALIKUWA WAKIMFANYIA MZAHA, WAKISEMA, ALIOKOA WENGINE, NA AJIOKOE MWENYEWE, KAMA NDIYE KRISTO WA MUNGU, MTEULE WAKE. 36 wale askari nao wakamfanyia dhihaka, wakimwendea na kumletea siki, 37huku wakisema KAMA WEWE NDIYE MFALME WA WAYAHUDI, jiokoe mwenyewe....... "

Kwa hiyo mleta mada, wanamageuzi wengi duniani and the most and THE GREATEST EVER OF ALL TIMES BEING JESUS CHRIST, wamepitia hizi dhihaka zenu na wakapita na kushinda tena zaidi ya kushinda....

Nikukumbushe tu, kuwa, Mungu muumba wa Mbingu na nchi, hafanyiwi mzaha, hadhihakiwi na hayuko likizo. He's at work all the time. Haivumilii kamwe roho ya kishetani ijiinuayo juu ya NGUVU na MAMLAKA na UWEZO wake milele......

Ameichukua hii dhihaka yako na ataifanyia kazi. Kabla hayajakufika mabaya, unayo nafasi ya kutubu naye ni mwingi wa Rehema, atakusamehe bila masharti yoyote....

Mimi ni mjumbe tu, nimekufikishia ujumbe wako na pia wote waliokutuma kuudhihaki uwezo wa uponyaji/wokovu wa Mungu aliye juu mbinguni ktk Jina la Yesu Kristo... Amen
 
Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.

Duuuuuh,Lissu atawafanya mchanganyikiwe!Angalia aya ya mwisho mleta mada anavyomuhoji Mungu maswali!!!!!!!!!!!
Aiseeeeeeeeeee!
 
All the way ktk uandishi wako kujaribu kumtetea Jiwe na serikali yake, umefika tu hapa na kuandika hiki, nikatambua uko kwenye "frustration"ya kiwango cha juu sana....

Nikacheka sana na nikaikumbuka story hii kwenye Biblia Takatifu kuhusu Yesu Kristo dhidi ya watesi wake (Serikali ya Watawala wa Kirumi na mkakati wao wa MAROEGA - Make Roman empire Great Again.......by Eliminating Jesus Christ, The King of Jews) walipomtundika juu ya msalaba afe wakidhani ndiyo ushindi wao, mwisho wa Yesu...

Huku wakicheeeeka na kugongeana glass za mvinyo walimdhihaki wakasema, nanukuu:

Luka 23:34 - 36

"....34Yesu akasema, Baba uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawana mavazi yake, wakipiga kura. 35Watu wakasimama wakitazama. WALE WAKUU WAO WALIKUWA WAKIMFANYIA MZAHA, WAKISEMA, ALIOKOA WENGINE, NA AJIOKOE MWENYEWE, KAMA NDIYE KRISTO WA MUNGU, MTEULE WAKE. 36 wale askari nao wakamfanyia dhihaka, wakimwendea na kumletea siki, 37huku wakisema KAMA WEWE NDIYE MFALME WA WAYAHUDI, jiokoe mwenyewe....... "

Kwa hiyo mleta mada, wanamageuzi wengi duniani and the most and THE GREATEST ONE BEING JESUS CHRIST, wamepitia hizi dhihaka zenu....

Nikumbushe tu, Mungu muumba wa Mbingu na nchi hayuko likizo. He's at work. Ameichukua hii dhihaka yako na ataifanyia kazi. Kabla hayajakufika mabaya, unayo nafasi ya kutubu....

Mimi ni mjumbe tu, nimekufikishia ujumbe wako na pia wote waliokutuma kuudhihaki uwezo wa uponyaji/wokovu wa Mungu aliye juu mbinguni ktk Jina la Yesu Kristo... Amen
Anapaswa kutubu kwa kumuhoji Mungu maswali!Hajui hata ukuu wa Mungu hujidhihirisha katika mazingira gani!

Kweli mleta mada yuko frustrated!
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Rubbish
Unamdhihaki Mungu kwa upumbavu huu
Mungu hadhihakiwi
Mungu akushushie gharika
Ungebutuliwa wewe usingeandika haya idiot!
 
ku prove unachokiita "claims" ni jukumu la nani, ndugu?
 
Back
Top Bottom