minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali[/red]
Unaona ulivyo kuwa mwehu. Sio camera tu pamoja na kuondolewa walinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa CCM walimpa Tenda kubwa ya kusaka watetezi mitandaoni Le mutuz lakini akala pesa zote na michepuko na matokeo yake akaenda kuokoteza vilaza vijana wajinga wajinga akawalundika gheto kwake akiwakaririsha upumbavu wake wanakuja kusumbua watu mitandaoni, cheki watetezi wa CCM wote hawana hoja wamekariri vitu vinavyofanana toka kwa Le mutuz na cyprian Musiba. ni aibu kubwa chama kikubwa kama CCM kumtegemea kubwa jinga Le mutuz awatetee mitandaoni matokeo yako ni aibu kubwa