Tundu Lissu na hoja za kutaja watu majina

Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
"Umesahau malipo ya matibabu nakutotembelewa na Viongozi wa binge"
 
Mk54! Unatia aibu! Wewe nani ku kushauri haya yote?
 
Kuna watu wanatumiwa lakini hawajitambui. Niliwahi kuuliza hivi yale yalompata TL yangempata ndugu yako na akapona - kweli ungeendelea kumsakama na maneno kama haya ya mtoa mada???
 
Well put. Hili umeliweka vyema, hata hizo porojo zinazowekwa na wabungenwa CCM kuwa ulikuwa ni Mpango wa Chadema, hili pia serikali iachane nalo, it won’t make any sense.

Serikali inapaswa kutoa uthibitisho dhidi ya shambulio la Lissu ikiwa ni pamoja Na kumuita Officially ili kutoa ufafanuzi.

NimeeleZa hapo juu , waswahili wanasema Kukaa Kimya Nalo Ni jibu ,

Hakika hili linatia shaka as in why serikali ipo kimya, hata kama ni kwa lengo la kumkomoa juu ya siasa zake , lakini
Kwenye siasa hili halipaswi kukaliwa kimya.
Unataka waseme nini hao serikali?? Yote yanayoongelewa na Lisu ndio ukweli mwenyewe.
Kuwa alitakiwa akifa apelekwe kijijini faster kuzikwa Haina ubishi hadi risala mlishaandaa. Mungu akasema no MaTaGa mkachemka.
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Chuki uliyonayo si ƴa ƙawaida! Kaa utulie utafakari, halafu uvae viatu vƴa TL! Then come anɗ tell us again! I dont think you will say the same things!
 
Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali, (WEWE NA AKINA NANI? MAANA WENGINE USIWASEMEE)

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika. (MUNGU WAKE AMEONEKANA KWENYE HIZO RISASI, ANGEEPUSHA TUKIO ZIMA UNGEJUAJE UKUU WA MUNGU WAKE? Rejea Daniel Meshaki na Abednego walivyotupwa kwenye Tanuru la Moto na Simba - walikutana na Mungu wao ndani ya tatizo)
 
Hayo yote ni dalili za kuweweseka; kosa limeshafanyika !! suala hili lipo kimataifa kufanya lolote juu yake ni kuzidi kujianika zaidi; na kumpatia political mileage nyingine.
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Wewe mbweha mbumbumbu zuzu juha kilaza ulianza vizuri mada lakini katikati ukavuta Bangi na kuanza upumbavu wako kitendo cha kutetea cctv camera kung’olewa tayari umejipoteza sifa na kuwa mmoja wa watetezi watesi wa CCM waliojitoa fahamu kuandika ujinga wao mitandaoni wakizani watanzania ni wapumbavu kama wao, wewe mbona baada ya kumshambulia ulikimbilia morogoro kwa mganga wa kienyeji? Wewe na Bashite pamoja na wenzako Le mutuz, cyprian Musiba, jerry muro na Heri kisanduku mjiandae kupelekwa ICC The Hague kabla mipango yako ya kijinga ya kumpora passport haijakamilika, mungu yupo hata wewe muuaji upo na shetani lakini pia humuomba mungu usijulikane lakini sasa tumekujua endelea na njama zako utafeli walikuwepo wenye roho mbaya kama za Bashite na mtukufu na cyprian Musiba leo wapo wapi? Wapo wapi akina Chiluba, Abacha, Bokassa, Sadam Hussein, Gadafi, mabutu, Iddy Amin dada na yule msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu
 
Hayo yote ni dalili za kuweweseka; kosa limeshafanyika !! suala hili lipo kimataifa kufanya lolote juu yake ni kuzidi kujianika zaidi; na kumpatia political mileage nyingine.

CCM wote wamepigwa Sindano ya Ganzi na Bashite wamepigwa ndumba za kutosha hawataki kumkanya au kumkataza ikibidi wamfukuze kwani bila Bashite na kikundi chake kwenda Dodoma kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko Marekani na mjadala huu usingekuwepo mitandaoni sasa, chanzo cha yote ni Bashite.
 
Furahaa yako ingetokea kama dereva angepigwa risasi ? au wezi wakiingia kuiba lazima vitu vilivyoibiwa lazima ziwe za watu wote waliokua ndani ?

Utetezi wa ki-CCM juu ya kisingizio cha Dereva ni utetezi wa kishamba shamba toka kolomije na chato Safari hii CCM wamejilundikia vilaza mpaka aibu, hawataki kujua cctv camera zilifikaje kwa Bashite hawataki kujua walinzi wa Getini walikuwa wapi? Watesi huko CCM wote wamevuta Bangi wamejitoa fahamu zote
 
sasa familia iwekwe chini ya ulinzi kwa sababu zipi?

CCTv nani mwenye uwezo wa kuziondoa tofauti na serikali yenyewe

Kama ni CDM serikali inasubiri nini kukamikisha uchunguzi na kuwaumbua cdm maana vyombo vyote vya dola viko chini yao..

Hivi kweli kwa mazingira yote hayo bado akili zenu ni ngumu kumfahamu aliyelenga kuua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akishajibu hilo la dereva wake kutokupatwa na risasi hata moja, mtamuuliza ni kwanini hakufa palepale eneo la tukio.
Sasa swali la kwa nini dereva hakupigwa risasi,nadhani shooters wako kwenye nafasi nzuri kujibu.
 
Majibu yote ni, Hakumpi uhalali wa kuishutumu dola.

Kama yeye anamjua amuweke bayana.
Uhalali upi? Ujue wewe ni mbumbumbu kiasi cha kutisha sana kwani hujui kuwa endapo lile Tukio lingefanywa na watu wengine walinzi wa Getini wangefungwa na cctv camera zisingeng’olewa na Bashite kwenda kuzificha nyumbani kwake, Serikali hii dhalimu ya kionevu ingekamata watu kama kuku mda huu kungekuwa na watu wengi jela lakini kwa kuwa Tukio ulifanya wewe na Bashite imekuwa kimya na sasa Dr mollel kaanza propaganda za kishamba toka kolomije akizani watanzania ni wapumbavu kama yeye.
 
Nyerere alikikuta Kiswahili tayari kinazungumzwa. Hakuonganisha chochote.

Very Intellegency
Inshu siyo kiswahili watu kuwa na lengo moja. Hata kama walikuwa na mapungufu yao lakini kwakiasi kikubwa walifanikiwa. Lakini sisi sasa hivi tumekuwa "Mansenal" sijui nimepatia hilo neno yaani tumekuwa na tabia ya umalaya Malaya in nyerere's voice. Hatuwezi kufika tuambiane ukweli tuachane na ushabiki usio na tija kwa manufaa ya Taifa na siyo Matumbo yetu.
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
shida yako ninmiradi yake,wivu wa kijinga.
 
Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali[/red]

Unaona ulivyo kuwa mwehu. Sio camera tu pamoja na kuondolewa walinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa swali la kwa nini dereva hakupigwa risasi,nadhani shooters wako kwenye nafasi nzuri kujibu.

Kwani kila Tukio la mashambulizi watu wote hujeruhiwa? Target ilikuwa Tundu Lisu na kumbuka washambuliaji wenyewe ambao ni Heri kisanduku na cyprian Musiba walishambulia kwa papara pupa na hataka wakakimbia, pia muulize Heri kisanduku ni kwa nini hakumpata Dereva kwenye shabaha zake
 
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.

NATHUBUTU KUSEMA HUU NI MOJA YA UZI MBOVU KUPATA KUTOKEA TANGU MWAKA HUU 2019 UANZE.
 
Back
Top Bottom