Tundu Lissu na hoja za kutaja watu majina

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,114
2,000
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
 
Ngonidema

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
2,645

Mkuu Lissu ni mwanasheria nguli,anavosema tutayataja au watatajana siyo kwenye mikutano kama vile, maswala ya kisheria yatachukua sehemu yake, sasa ni mahakama gan hatujui,kwaiyo kuwa mpole kwa muda
 
Lissu haaminiki.
 
CHANGA

Member
May 26, 2008
99
125

Namfahamu TL sana hana mradi wa aina yoyote. Hayo mabasi unayosema tafuta mwenyewe
 
ighaghe

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,842
2,000
Heshima kwako Mk54.
Nakubaliana na wewe kuhusu kufikishwa mahakamani kutoa ushahidi wake maana ni tuhuma ametoa na ni haki yake kutoa ushahidi.

Suala la Familia yake kuwekwa chini ya ulinzi itakuwa kinyume cha haki za binadamu. Kwanii iwekwe chini ya ulinzi. Kwa vigezo vipi? Wana kosa gani kwa jamhuri?

Majibu kuhusu dereva kutokupatwa na risasi akiulizwa nahisi hatakuwa na jibu lenye maana sababu alikuwa upande wa wanaoshambuliwa. Labda kama useme unahisi ni igizo alilolipanga yeye, Ila kwa hali aliyokuwa nayo wazo la igizo mm kwa upande wangu nalitoa

Kusimamisha account zake zisitoe fedha au kuingiza fedha kutampa political milage

Miradi kusimamishwa kutampa political milage

Kwanini mahakama isifanye njia ya kutafuta utaratibu official wa kumwita nchini kwa kushirikiana na nchi anazotembelea? Hakuna utaratibu wa kumuomba raia wetu kwenye nchi nyingine? Utaratibu rasmi usio wa majukwaani? Hili liambatane na uhakika wa ulinzi kwake hata kama anaituhumu serikali. Alindwe, afike mahakamani, atoe ushahidi.

TL ni nafasi nzuri sana kwa nchi yetu kuonyesha Dunia na Jumuiya ya kimataifa namna tunavyoshughulikia makosa ndani ya nchi.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,206

Raisi wenu yupi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaronk

Member
Dec 23, 2015
45
95

lazima utakuwa kibaraka wa ccm Bila Shaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shemu

Senior Member
Jan 5, 2011
110
250
Kwaakili hizi mwalimu nyerere alipata tabusa kutuunganisha hadi tukawa na lugha moja hatimae kupata Uhuru. Au watuwazamani walikuwa very intelegency na walielewa mapema zaidi ndiyo maana haikuwa wia vigumu kutupatia Uhuru. Inshu ya Lisu iko very wide and openly sasa mtu anapokuja na stories kama hii ya Mk54 unajiuliza hii ni akili, ushabiki au njaaa zetu ndiyo zinatufanya tuwe hivi? Hakika tunasafari ndefu sana kupata maendeleo hats Mh Rais hatumusaidii unafiki umetujaa mno wa Tanzania shame on Us.
 
Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,114
2,000
Heshima kwako Mk54.
Nakubaliana na wewe kuhusu kufikishwa mahakamani kutoa ushahidi wake maana ni tuhuma ametoa na ni haki yake kutoa ushahidi.

Suala la Familia yake kuwekwa chini ya ulinzi itakuwa kinyume cha haki za binadamu. Kwanii iwekwe chini ya ulinzi. Kwa vigezo vipi? Wana kosa gani kwa jamhuri?

Majibu kuhusu dereva kutokupatwa na risasi akiulizwa nahisi hatakuwa na jibu lenye maana sababu alikuwa upande wa wanaoshambuliwa. Labda kama useme unahisi ni igizo alilolipanga yeye, Ila kwa hali aliyokuwa nayo wazo la igizo mm kwa upande wangu nalitoa

Kusimamisha account zake zisitoe fedha au kuingiza fedha kutampa political milage

Miradi kusimamishwa kutampa political milage

Kwanini mahakama isifanye njia ya kutafuta utaratibu official wa kumwita nchini kwa kushirikiana na nchi anazotembelea? Hakuna utaratibu wa kumuomba raia wetu kwenye nchi nyingine? Utaratibu rasmi usio wa majukwaani? Hili liambatane na uhakika wa ulinzi kwake hata kama anaituhumu serikali. Alindwe, afike mahakamani, atoe ushahidi.

TL ni nafasi nzuri sana kwa nchi yetu kuonyesha Dunia na Jumuiya ya kimataifa namna tunavyoshughulikia makosa ndani ya nchi.
Well put. Hili umeliweka vyema, hata hizo porojo zinazowekwa na wabungenwa CCM kuwa ulikuwa ni Mpango wa Chadema, hili pia serikali iachane nalo, it won’t make any sense.

Serikali inapaswa kutoa uthibitisho dhidi ya shambulio la Lissu ikiwa ni pamoja Na kumuita Officially ili kutoa ufafanuzi.

NimeeleZa hapo juu , waswahili wanasema Kukaa Kimya Nalo Ni jibu ,

Hakika hili linatia shaka as in why serikali ipo kimya, hata kama ni kwa lengo la kumkomoa juu ya siasa zake , lakini
Kwenye siasa hili halipaswi kukaliwa kimya.
 
Tyetyetye

JF-Expert Member
Dec 3, 2014
900
1,000
Sote tunajua kinachoendelea kwenye Mitandao na tunajua kuwa serikali inalifuatilia hili kwa makini sana.

Katika Mahojiano yake na watanzania wanaoishi Marekani, kuna baadhi ya maswali magumu aliulizwa juu ya Uthibitisho wa tuhuma anazosambaza juu ya serikali ya Magufuli, hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendeleza tuhuma zake.

Kinachoendelea kwenye hoja za TL ni Claims ambazo hazijawa proved to be true. Ikiwa TL ataacha kuja na claims na badala yake kutuletea Proof katika Kaliba hii , sisi sote tutamsapoti.

Lakini pia kuna taarifa zinasambaa kuwa TL alitaka kuuliwa na Chadema, hii pia kwa upande wangu ni Claims , serikali inapaswa kutuletea majibu yatakayotoa uthibitisho juu ya claim hii na sio kuendeleza siasa za hovyo, watanzania wa sasa sio wale wa zamani. Aidha, Lissu anakuwa maarufu kwa kipindi kifupi bila sababu za msingi na huyu mtu analeta sintofahamu nyingi katika nchi hii ya Maziwa na Asali.

Kimsingi kukaa kimya kwa serikali ndiyo sababu kubwa inayompa huyu mtu nguvu ya kuaminisha umma kuwa jaribio hilo lilikuwa ni inside job. Lissu anapaswa kujibiwa na kutulizwa vinginevyo hatari ni kubwa mbeleni.

Aidha, amekuwa akizungumzia sana majina ya watu.

1. Amemtaja Dr Mpoki, KM Afya ambae uteuzi wake ulisitishwa hivi karibuni na kuambiwa atapangiwa kazi nyingine, Mpoki ni very gentleman na ni mfanyakazi mzuri sana. Lissu anasema Mpoki ndiyo aliyesisitiza kuwa ni lazima apelekwe Nairobi kwa Muktadha kuwa hali ya utoaji Huduma za Afya Muhimbili ni Majanga, kauli kama hii Haiwezi kupendeza machoni mwa Rais, Hivyo kupitia maneno yake anakuwa anachonganisha viongozi wetu ambao kimsingi walikuwa Na lengo zuri la kuokoa maisha yake.

2. Anasema kuna usalama anampa Habari kuwa alitakiwa akifa apelekwe Itigi moja kwa moja , kuwa kauli hiyo ilitolewa Na Rais, hizi zote ni claims na hakuna usalama anaempa Habari Lissu ni muongo na anajaribu kuwachongamisha watu ndani kwa ndani , hili serikali inabidi iliangalie kwa jicho la 3.

Kuondolewa kwa CCTV camera kwenye Compound yake haimpi uhalali wa kuishutumu serikali, kupigwa risasi katika eneo la bunge hakumpi uhalali wa kuishutumu serikali, Hivyo tunashauri yafuatayo kwa serikali,

1. Lissu akirudi tu, Ichukuliwe passport yetu kwa maana hii ni mali ya TZ na amekuwa akimkashifu Rais juu ya lugha ya kingereza , huu ni utumwa mwingine kwasababu lugha yetu pendwa ni Swahili.

2. Afikishwe mahakamani kutoa uthibitisho kuwa watu wasiojulikana ni serikali ya Magufuli

3. Atoe majibu kwanini dereva wake hakupatwa na risasi hata moja zote zimpate yeye

4. Familia yake iwekwe chini ya ulinzi kuanzia sasa mpaka atakaporudi.

5. Akaunti zake zote zisimamishwe, zisiwe na uwezo wa kutoa pesa wala kuingiza pesa mpaka atakaporudi.

6. Miradi yake yote ikiwemo na zile bus za Moshi singida zizuiwe kufanya kazi mpaka atakaporudi.

Mwisho , kwanba anasema Mungu wake alikuwa hai siku hiyo, kama Mungu wake alikuwa hai , kwanini huyo Mungu asingezuia zoezi zima la yeye kupijwa risasi Na kuachiwa mwili ulioharibika.

Kila nchi inanidhamu zake na kwa hakika Tundu analikosea taifa nidhamu.
Elimu yetu ina upungufu mkubwa, TL anaichafua serikali siyo nchi. Serikali hii itaondoka kama zilizopita lakini nchi itaendelea kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kirumonjeta

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
3,936
2,000
Maswali yako hata asiyefika darasa la saba atakushangaa,Hebu wakati mkijiandaa kwa hayo mapendekezo uliyoyataja tusaidie majibu haya,

1. Zile CCTV zenye footage ya zoezi zima la kumtoa uhai ziko wapi na nani aliyeruhusu zitolewe,
2. Nani aliyewaondoa askari magetini siku ile,
3. Kwa nini hajahojiwa mtu kutokana na tukio lile
4. Kwa nini mmegoma kumlipia matibabu
5. Kwa nini hamtaki kwenda kumhoji yeye na dereva wake(hamna nauli au ni nn)

Hayo uliyoshauri ndo hayohayo yanayosababisha mfikirie nchi inachafuliwa kumbe nyie ndo mnampa marks za bure.JIBUNI maswali hayo 5 kwa vielelezo thabiti wala hamtamsikia LISU akiongea tena vinginevyo jiandaeni kisaikolojia kwenda the Hague soon.
 
Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,114
2,000
Kwaakili hizi mwalimu nyerere alipata tabusa kutuunganisha hadi tukawa na lugha moja hatimae kupata Uhuru. Au watuwazamani walikuwa very intelegency na walielewa mapema zaidi ndiyo maana haikuwa wia vigumu kutupatia Uhuru. Inshu ya Lisu iko very wide and openly sasa mtu anapokuja na stories kama hii ya Mk54 unajiuliza hii ni akili, ushabiki au njaaa zetu ndiyo zinatufanya tuwe hivi? Hakika tunasafari ndefu sana kupata maendeleo hats Mh Rais hatumusaidii unafiki umetujaa mno wa Tanzania shame on Us.
Nyerere alikikuta Kiswahili tayari kinazungumzwa. Hakuonganisha chochote.

Very Intellegency
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,397
2,000
Furahaa yako ingetokea kama dereva angepigwa risasi ? au wezi wakiingia kuiba lazima vitu vilivyoibiwa lazima ziwe za watu wote waliokua ndani ?
 
Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,114
2,000
Maswali yako hata asiyefika darasa la saba atakushangaa,Hebu wakati mkijiandaa kwa hayo mapendekezo uliyoyataja tusaidie majibu haya,

1. Zile CCTV zenye footage ya zoezi zima la kumtoa uhai ziko wapi na nani aliyeruhusu zitolewe,
2. Nani aliyewaondoa askari magetini siku ile,
3. Kwa nini hajahojiwa mtu kutokana na tukio lile
4. Kwa nini mmegoma kumlipia matibabu
5. Kwa nini hamtaki kwenda kumhoji yeye na dereva wake(hamna nauli au ni nn)

Hayo uliyoshauri ndo hayohayo yanayosababisha mfikirie nchi inachafuliwa kumbe nyie ndo mnampa marks za bure.JIBUNI maswali hayo 5 kwa vielelezo thabiti wala hamtamsikia LISU akiongea tena vinginevyo jiandaeni kisaikolojia kwenda the Hague soon.
Majibu yote ni, Hakumpi uhalali wa kuishutumu dola.

Kama yeye anamjua amuweke bayana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom