Wengine walikuwa na akili ndogo km yeye,wengine walikuwa na hofu, wengine hawakubaki na ndugu tena, wengine waliona afadhali maisha ya ikulu kwani siku moja watachangia kurudisha ndugu zao na sultani zenj, wengine walikuwa malaya, etc ila inawezekana wote hawakupenda sana kuzaa nae.Sidhani kama itakuwa sahihi kusema hivyo, mbona wengine wamezaa nae? Fadya, Nasreen, Helemu na Bi Fatma mwenyewe. Inawezekana yule mmoja ilikuwa ni bahati mbaya tu.
Karume senior kauawa kwa umajununi wake, wala si habari za siasa.
Kamuua baba yake Humudi halafu kampa Humudi cheo kwenye intelligentsia.
Humudi akampigilia risasi mbali kwenye kikao cha bao.
Sheikh Thabit Kombo Jumaa akaambulia za mguu. Mpaka anafariki alikuwa anachechemea kutokana na risasi za Humudi siku aliyouawa Karume.
Karume was Nyereres man, therefore was at no.risk of being ousted politically. Kwa sababu Zanzibar (angalau Unguja, Pemba is another matter) alikuwa na support na bara alikuwa na support.
Hii hadithi ni ya zamani na ni ya ukweli kabisa kutoka vyanzo vinavyoaminika.Sii wengi wanaozungumzia sababu ya Karume kumuua baba yake Humudi, ila habari zisizothibitishwa zinaeleza kuwa Baba yake Hamud ni asili ya Kiarabu, Karume akamhitaji binti yake aolewe kinguvu na mmatumbi, Baba Mtu akagoma, Karume akamuua Baba na kumtwaa binti kinguvu, akamuoa, akamzalisha kisha kumtelekeza!,hivyo Hamudi alikuwa ni shemeji yake Karume!.
Niliwahi kusikia mama mmoja akihojiwa Clouds alijitaja yeye ni mke wa rais, niliuliza humu, Mke wa "President"Ashiriki Shindano Clouds!.
Wanzanzibar, hawakujibu chochote.
Baadaye nikasoma mahali humu humu jf kuwa Karume alikuwa na wake 6!, nikauliza humu Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6?!, sikujibiwa!.
Pasco
Mkuu Andate, hoja yao ni kuwa baada ya muungano, inteligensia ilikuwa ni ya muungano, na kwa inteligensia ya enzi ya Nyerere, haiwezekani awe hakuujua huo mpango, aliujua ila hakuuzuia!, na ndio maana ukimuondoa Kasim Hanga na Twala, wengine wote Nyerere ama aliwapa safe passage kama kina Babu, au aliwakabidhi kwa marafiki zake kama Col. Mahafudha, alimkabidhi kwa Samora na nadhani alifia Msumbiji na sijui kama mwili ulirudishwa!.Waeleze waelewe wameng'ang'ana Nyerere kamuua Karume bila kujua undani wa sakata zima.
Mama wa kiswahili.Waswahili huwa hawakosi shida ktk kuunganisha matukio,kupata bigger picture au maan apana ktk makakusanyiko wa mambo.Ndio maana hamtokaa mjue kwanini huw amanpigwa mabao kirahisi sana.Nadhani hukumbuki wasomi wangapi walikabidhiwa kwa mabalozi ktk sehemu hatari kwao kifikra na mitazamo in a long run.Huyo mzee sasa hivi ukimwambia atoke hapo wakati anaona maendeleo yamemfikia anaweza kushangaa na kuwasifu waliomfikisha hapo kuwa wameona mbali.Ni km wewe nikikupatia mbakaji atakayekukunja vyema kwa muda fulani unaweza anza kumpenda na baadaey kumwonea wivu .Ndio maana spies au wafanyakazi wa jamii ktk sehemu hatarishi nao huwa hutakiwa kuwa na uangalizi. Otherwise hata mtwara wanaweza isisfu CCM kuwa iliona mbali na kuwafungia mtwara hadi gesi na vingine kugundulika.CCM nao wanadhani walivyoiba hela za korosho walifanya jamboa jema sana.
Waeleze waelewe wameng'ang'ana Nyerere kamuua Karume bila kujua undani wa sakata zima.
Mkuu serikali 3, kwenye kila jambo kuna pande tatu, negativity, positivity and the real truth, the plain truth.Undani wa sakata zima hadi sasa hutegemea masikio yako yanapenda kusikia stori zenye ladha ipi. Wapo akina Pasco, wapo akina FaizaFoxy, wapo akina Ritz na yupo yule mzee Mohamed Said. Hawa ladha ya stori zao haifanani. Angalau Faiza, Ritz na Mzee Mohamed Said wanafanana kwenye maudhui kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Karume. Na mimi nakubaliana nao. Akina Pasco wana i spin historia.
Labda nimuuluze Pasco, Karume hakuponzwa na kauli yake kuwa 'MUUNGANO NI KAMA KOTI'? Wanasema hiyo kauli ilimuudhi sana nyerere....
Nani kakuambia kuwa mwanafunzi kilaza anaweza discredit shule kirahisi kwa vile kashindwa soma?Ndizo akili zenu wehu nyie.Sisomeki nikajipange au wewe ndio ukajipange ili uje ukiwa unaweza soma?Nania kakuambia nimeandika ili ujifunzie hapa kusoma na pia uielewe mada hapa hapa.Nimeandika nikijua kusoma na kuelewa ni basic requirement.Wapuuzi wa kiswahili,ndio maana hawana effort popote,wakishindwa soma wanataka mwandishi akajipange,wakati wao ni shemu ndogo na isiyo muhimu ktk hadhira lengwa.Husomeki kajipange upya.
Aisee hiyo ilikua 2014,leo mmoja wa hao uliowataja anaweza kuwa yupo UKAWA.Rafiki aweza kuwa mpinzan na vice versaMkuu,
Watakuja hapa akina MSALANI ifweero, utaifakwanza, Weston Songoro laki si pesa, Lizaboni, Simiyu Yetu kutoa ufafanuzi wao.
Hawa ni Nyumbu wa Lumumba
Huyo ni MSALANI. Kabadilisha jina anajiita Musa Allan.Aisee hiyo ilikua 2014,leo mmoja wa hao uliowataja anaweza kuwa yupo UKAWA.Rafiki aweza kuwa mpinzan na vice versa
Hii timu ilisambaratika mara baada ya Lowassa kujiunga ChademaMkuu,
Watakuja hapa akina MSALANI ifweero, utaifakwanza, Weston Songoro laki si pesa, Lizaboni, Simiyu Yetu kutoa ufafanuzi wao.
Hawa ni Nyumbu wa Lumumba