hatutaki kupotoshwa nimekuwa nikisema lissu ni mpotoshaji watu wamekuwa hawanielewi´.....mikutano mingi ya hadhara lisu huwa anaseña si muumini wa mwalimu,kampeni zake,na hata ndani ya bunge na juzi bunge la katiba...kwasababu anachukia villagelization sasa hata kama yeye hapendi si busara kuendelea kupotosha uma....nitampinga lissu hadi kifo changu kwa sababu ni mchochezi na mtu asie na mapenzi mema na taifa letu.Kwa nini ma ccm huchukizwa sana Tundu Lissu akiwaweka uchi kuhusu mzee Jumbe?
Kwa kifupi tu, Jumbe alikuwa anauhoji muungano, akawa anatayarisha namna ya kumuingia Nyerere kuhusu Zanzibar kuwa na madaraka zaidi kwa mujibu wa matakwa ya Wazanzibari, wakati anaandaa makaratasi yake, sekretari wake akayaona na kumtaarifu Seif Sharif Hamad. Seif akamtuma Sekretari wa Jumbe kuiba makaratasi yake na kumpelekea Nyerere. Nyerere akambana Jumbe na kumlazimisha kujiuzulu.
The details and narrative varies according to different sources, but that is the main story.
Ndiyo maana mpaka leo kuna vikao vya Seif Sharif na Nyerere havijulikani walizungumza nini.
Ndiyo maana Tundu Lissu anapenda kumtumia Jumbe kama shujaa aliyediriki ku question uongozi wa Nyerere kuhusu Muungano.
Historia si moja, siku hizi kuna internet hata wewe unaweza kuandika unachojua.
Ukikalia kulia lia "wame spin" bila.ya kuelezea historia halisi kwa mujibu wako unapunguza nafasi ya ukweli kwa mujibu wako kujulikana.
hatutaki kupotoshwa nimekuwa nikisema lissu ni mpotoshaji watu wamekuwa hawanielewi´.....mikutano mingi ya hadhara lisu huwa anaseña si muumini wa mwalimu,kampeni zake,na hata ndani ya bunge na juzi bunge la katiba...kwasababu anachukia villagelization sasa hata kama yeye hapendi si busara kuendelea kupotosha uma....nitampinga lissu hadi kifo changu kwa sababu ni mchochezi na mtu asie na mapenzi mema na taifa letu.
Ahaaaa.... Seif amekana lakini mkuu Kiranga
Ndio maana tumewaletea wajuvi wa Mambo mtudadavulie. Kuna kitu kizito kilifichwa wakati wa makubaliano ya muungano, hicho kitu lazima kilichangia kifo cha Karume Senior. Ma nahisi ndicho hicho kilichomsibu Jumbe...
Nimemsikia Shujaa Tundu Lissu mara kwa mara akihusisha Muungano na Kuwekwa kizuizini Aboud Jumbe.
Eti Nyerere, mwasisi wa CCM ndie aliyempiga BAN mzee Jumbe.
Mohamed Said na Yericko Nyerere na Pasco naombeni mje hapa tuungane na wadau wengine tuwekewe ukweli huu hasa kwa kizazi cha 1980's ambao wengi hawajui nini kilitokea kwa Jumbe na kwa nini Tundu Lissu ameishikia bango sana hiyo
je tundu lissu yupo sahihi kwa mtazamo wako shujaa kiranga
Ndio maana tumewaletea wajuvi wa Mambo mtudadavulie. Kuna kitu kizito kilifichwa wakati wa makubaliano ya muungano, hicho kitu lazima kilichangia kifo cha Karume Senior. Ma nahisi ndicho hicho kilichomsibu Jumbe...
Karume senior kauawa kwa umajununi wake, wala si habari za siasa.
Kamuua baba yake Humudi halafu kampa Humudi cheo kwenye intelligentsia.
Humudi akampigilia risasi mbali kwenye kikao cha bao.
Sheikh Thabit Kombo Jumaa akaambulia za mguu. Mpaka anafariki alikuwa anachechemea kutokana na risasi za Humudi siku aliyouawa Karume.
Karume was Nyereres man, therefore was at no.risk of being ousted politically. Kwa sababu Zanzibar (angalau Unguja, Pemba is another matter) alikuwa na support na bara alikuwa na support.
tupe mfano wa maswali hayo ambayo unahisi anauliza?? Je vp mtazamo wako kwa mwl.nyerere in relation to lissuMuungano wa Tanzania unahitaji kupigiwa kura ya maoni na Watanzania wote. Bila hivyo ni batili. Kwa sababu hata mabaraza ya wawakilishi yote hayajaupitisha.
Baraza la Mapinduzi ni party Politburo, si baraza la Wawakilishi.
Tundu Lissu anauliza maswali fulani ambayo utamaduni wetu wa "funga bakuli mwanaharamu apite" hauruhusu kuuliza.
Nimemsikia Shujaa Tundu Lissu mara kwa mara akihusisha Muungano na Kuwekwa kizuizini Aboud Jumbe.
Eti Nyerere, mwasisi wa CCM ndie aliyempiga BAN mzee Jumbe.
Mohamed Said na Yericko Nyerere na Pasco naombeni mje hapa tuungane na wadau wengine tuwekewe ukweli huu hasa kwa kizazi cha 1980's ambao wengi hawajui nini kilitokea kwa Jumbe na kwa nini Tundu Lissu ameishikia bango sana hiyo
Aisee! Hii historia inachanganya sasa. Si akina Mohamed Said wanasema Karume alitofautiana na kina Mohamed Babu ambaye alikuwa swaiba wa Nyerere? Si ishu ilikuwa kuhusu muungano ndo nyerere akatuma mtu kumuua Karume?
Kwa mujibu wa kamanda Lissu, huyo mzee amepigwa BAN asiongee na media wala asiandike kitabu wala kutembelewa.
Aisee! Hii historia inachanganya sasa. Si akina Mohamed Said wanasema Karume alitofautiana na kina Mohamed Babu ambaye alikuwa swaiba wa Nyerere? Si ishu ilikuwa kuhusu muungano ndo nyerere akatuma mtu kumuua Karume?
Eh tumbaku ya leo kali kweli! Kama alivyosema Kiranga, in hindsight Karume alifanya kosa kubwa sana kumpa cheo cha jeshi Humudi wakati alimuua baba yake. Kuna waarabu wana visasi kweli kweli na huyu ni mmoja wao.
Inasemekana Humudi alisema kama mara mbili hivi kwamba atamuua Karume, lakini father K alidhania ni utani tu.
Jamaa alipiga trenchcoat lake ndani ameficha mtutu, akaingia pale Kisiwandui - laa haulaaa! iliyobaki ni historia.
HOJA HOJA HOJA HOJA tu ndiyo itakusaidia kupambana na LISSU kitu ambacho najua huna unaendeshwa na uhafidhina usiojua sababu ya uhafidhina!!hatutaki kupotoshwa nimekuwa nikisema lissu ni mpotoshaji watu wamekuwa hawanielewi´.....mikutano mingi ya hadhara lisu huwa anaseña si muumini wa mwalimu,kampeni zake,na hata ndani ya bunge na juzi bunge la katiba...kwasababu anachukia villagelization sasa hata kama yeye hapendi si busara kuendelea kupotosha uma....nitampinga lissu hadi kifo changu kwa sababu ni mchochezi na mtu asie na mapenzi mema na taifa letu.
Mkuu,
Watakuja hapa akina MSALANI ifweero, utaifakwanza, Weston Songoro laki si pesa, Lizaboni, Simiyu Yetu kutoa ufafanuzi wao.
Hawa ni Nyumbu wa Lumumba