Tundu Lissu: Mwaka 2019 ni wa kurudisha Demokrasia, Haki na Utu wetu Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

Lisu alipogundua anafuatiliwa kwa nini aliwaongoza wafuatiliaji nyumbani badala ya kwenda polisi?

Wakati uliopita ni sehemu nzuri ya kutembelea ila si mahali salama pa kuishi. Lisu anateswa na kug'ang'ania kuishi wakati ulopita. Akubali kuwa hii enzi si ya akina JK, mambo yatamuwia mepesi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu enzi hizi za Magufuli ni za wauwaji wakumbeke auwaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga
 
Hivi Lissu kutembelewa na Ndugai bado ni ishu kubwa mbaka iendelewe kuzungumziwa? Yani kwamba Ndugai ni mtu mzito kiasi hicho au ni nini maana yake . . .bado sijaelewa. Kutembelewa na spika sidhani kama it kungemake a difference ya kilichomtokea Lissu. Nadhani waliotaka kumtembelea walishafanya hivo na wale ambao hawakutaka ama hawakuweza nao hivyo hivyo. . .hamna haja kuendelea kunung'unika kwanini flani hakuja. Maisha yaendelee
Spika.PNG
 
Hahaha kesha pona sasa tatizo nini hasa?! Huku Ndugai anashutumiwa kule anatakiwa amtembelee Lisu hata sioni umuhimu wake kumtembelea Lisu.
Hii naona kama mtoto kulilia sherehe ya birthday. Haibadirishi siku hata usipoifanya sherehe.
 
Inaonyesha kuwa uhai wake hauna thamani kwa viongozi wakuu wa bunge yeye akiwa mbunge.
 
Inaonyesha kuwa uhai wake hauna thamani kwa viongozi wakuu wa bunge yeye akiwa mbunge.
Sky, nami nasema na nchi unajuwa kuwa wana CCM hasa watawala hawakutaka Lissu aishi. Ni vizuri akaachana nao na acheze kama yatima. Lissu na chama chake, wasitegemee huruma au fairness yoyote toka serikali hii na CCM yake.

Kikubwa Cdm na upinzani kwa ujumla wanatakiwa kucheza vyovyote gemu inavyokuja. Ili kulazimisha kwenda mezani. Lakini kwa kutegemea sheria hizi za kina Mutungi ni kupoteza muda na nguvu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom