john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Kitu msichokijua lissu anaandaliwa kuwa mwenyekiti wa chama just wait and see jamaa yupo vizuri upstairs, he is smart, intelligent and he never give up on things he believes
No sio chuki Mimi nimeweka unafiki pembeni kabisa Leo!!mtoa mada ana chuki binafsi na lissu.hana hoja zaidi ya mipasho..
Nasikitika sana!! Tungekuwa na watu wengine kama 100 kama huyu jamaa tungeenda mbali kama taifa!!Nakupongeza mtoa mada@technically, TUNDU LISSU NDIO MPINZANI PEKEE ambae naona anaweza kuwasumbua CCM ana hoja za maana kwenye kusimamia mambo ya msingi kijamii na kiuchumi...natamani JPM angemuona au angefanya nae kazi tungesonga zaidi ya hapa tulipo lakini nakuombea TUNDU LISU ipo siku JPM atakuona na atakuita na atafanya kazi na wewe. Sio hao akina mbowe wafanyabiashara wa kujenga magorofa dubai kwa kukwepa kulipa kodi za watanzania eti wanajiita wanasiasa.
Fisadi ni fisadi tu,hakuna cha unafuuKama unamaanisha ufisadi kwa maana ya ufisadi, basi huyu unayemwita fisadi ana unafuu kuliko mafisadi wote nchini mwetu
angekua kule kijani angekua ashaanguka na ndegeKweli Lisu ni mtu mwenye uelewa na sio mnafiki kama CDM.mim nadhani aliingia Cdm kimakosa atafute mahali sahihi pakufanyia kazi coz hawa cdm hawana malengo na maendeleo ya nchi.Lisu no binge LA MTU ILA TANZANIA IMESHINDWA KUMTUMIA.
Nawewe ni fisadi kama sikoseiFisadi ni fisadi tu,hakuna cha unafuu
Kwa taarifa yako Mimi sio mnafiki kama ilivyo wewe kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!!
Kweli Lisu ni mtu mwenye uelewa na sio mnafiki kama CDM.mim nadhani aliingia Cdm kimakosa atafute mahali sahihi pakufanyia kazi coz hawa cdm hawana malengo na maendeleo ya nchi.Lisu no binge LA MTU ILA TANZANIA IMESHINDWA KUMTUMIA.
Wewe ndio upo kushoto hapa tunaongelea personal confidence sio vyama vyama peleka huko !!!!nilikuwa nishakubaliana na wewe toka mwanzo wa post ila ulipokubaliana na huu upuuzi hapa chini:-
basi nikashtuka na kutambua kumbe ni unafiki mtupu. yaani unakubali kabisa chama ni kinafiki? au kwa sababu kunawanafiki ndani yake? je kwa style hiyo utakubaliana na hoja kwa ccm ni cha wapenda rushwa eti kisa tu ndani yake kuna waliopata madaraka kwa rushwa?!
Tundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea
Mkuu kwani si ungekuja na tofauti zao !!!Hivi tundulissu unafanaisha na mr push shap mbona hata kidogo hawa fanani
Tundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea
Ivi MTU akiwa fisadi akaacha kwako bado unamhesabia ivyo ivyo?Na mbona kwenye Ilo chama mafisadi Hata hawahesabiki Na bado unakuwa nao??? Break please..umekazanaaaaaa Fisadi Fisadi..Haya alipotoka Ufisadi uliongezeka ama iliisha au kwa kuwa wengine bado wapo Na Hata kama alisema ndio..huyo bwana keshatoka sio Fisadi..Ni sawasawa Na MTU mdhambi akiokoka Hutakata.Ukomee kumkazania Lowassa Fisadi kuanzia Leo..Kitendo cha kutoka huko yupo Huru Na Safi.Ole wako uendeleze propaganda zako..Ivi unajua Maana ya ufisadi Basi huko kuliko Hata we Ni Fisadi Maana wamejaaa Na wanendelea kutumbuliwa..Umwache El wetu.Tundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea
Wewe ndio upo kushoto hapa tunaongelea personal confidence sio vyama vyama peleka huko !!!!
kwenye hiyo post yangu kuna sehemu umeona nimezungumzia CCM au chadema??
Sijaongelea vyama nimeongelea MTU!!!
Sawa mkuuWewe ndio upo kushoto hapa tunaongelea personal confidence sio vyama vyama peleka huko !!!!
kwenye hiyo post yangu kuna sehemu umeona nimezungumzia CCM au chadema??
Sijaongelea vyama nimeongelea MTU!!!
Asante kwa kuelezaambacho hujaelewa ni nini labda?! nimesema umekubaliana na jamaa aliyeleta uchama na comment yake nikaweka, kipi hujaelewa?!
Mkuu pole pole!!Ivi MTU akiwa fisadi akaacha kwako bado unamhesabia ivyo ivyo?Na mbona kwenye Ilo chama mafisadi Hata hawahesabiki Na bado unakuwa nao??? Break please..umekazanaaaaaa Fisadi Fisadi..Haya alipotoka Ufisadi uliongezeka ama iliisha au kwa kuwa wengine bado wapo Na Hata kama alisema ndio..huyo bwana keshatoka sio Fisadi..Ni sawasawa Na MTU mdhambi akiokoka Hutakata.Ukomee kumkazania Lowassa Fisadi kuanzia Leo..Kitendo cha kutoka huko yupo Huru Na Safi.Ole wako uendeleze propaganda zako..Ivi unajua Maana ya ufisadi Basi huko kuliko Hata we Ni Fisadi Maana wamejaaa Na wanendelea kutumbuliwa..Umwache El wetu.