Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

Ndugu zangu,

Niliongelea kumpoteza kijana mashuuri aliyekuwa mwiba Zitto Kabwe baada ya kushindwa anakosoa na ni kwa wakati gani. Mbowe yeye alishapotea baada ya kuacha kutumia ubongo wake kufikiri na kuanza kuwaruhusu wakina Sumaye na Lowassa wawe washauri wake baada ya yeye kama mwenyekiti kuwaelekeza nini cha kufanya kupitia katiba ya chama na nchi.

Aliyebaki sasa Mwenye misimamo isiyoyumba na anayeweza kuendana na kasi ya magufuli ni Tundu Lisu tofauti yake na wenzake ni kuwa. Lissu ni msomi aliyebobea katika sheria ni mtu anayejisomea sana vitabu na kujua mambo mengi zaidi. Ni mtu anayekosoa kwa kutumia vipengele vya sheria tofauti yake na wapinzani wengine ni kuwa anaweza kulisema jambo na akalisimamia kulingana na wakati.

Yupo mbele zaidi ya wenzie ambao hawajui wafanye nini na ni kwa wakati gani? Mfano Rais yupo Kahama anaongelea mambo ya migodi na madini lakini mwenyekiti wa CHADEMA yupo Dar bado anaongelea mambo ya kuhamia Dodoma anapanga maandamano sijui (UKUTA)

This means he is out of time!
Ukitaka kuwa mpinzani mzuri be Smarter, Be on time, Talk correct things. Nimemfuatilia Rais magufuli kwa muda mrefu toka akiwa mbunge huyu sio mwanasiasa kabisa. Kama ni siasa wanamlazimisha afanye siasa lakini huyu ni mtu asiyependa unafiki, mkali mpaka wengine wanamuita ni dikiteta .

Lissu na yeye ukimwangalia utagundua the same characters with Magufuli
Lissu hupenda mambo yafanyike na yakamilike at 100% hataki unafiki katika kufanya jambo nafikiri mliofuatilia bunge la katiba mtakubaliana na mimi kuwa alikuwa yupo tayari kufukua hata makaburi ili tu punda afe lakini mzigo ufike.

Tatizo ninaloliona ni kuwa baadhi ya watendaji wa Rais Magufuli hasa bungeni hawapo tayari kuwatumia watu walio makini zaidi kuwashauri kufanikisha mambo yao. Ingawa mimi namsaport Magufuli lakini Tundu Lissu ni mashine nyingine hatari katika Taifa la Tanzania.

This man you can't compare with some one other than Magufuli

Ningependa pia 2020 nione battle ya hawa watu wawili ambao wote ni mashine zenye uwezo mkubwa.

Asantee.
hii upo too personal,
 
Wanafiki kazini. Mmechokonoa mkaona kimya, saivi mnaanza maneno yenu ya kichonganishi na kujifanya mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwaiyo mnataka aamie huko!!!!!
Nani mnafiki kwani ukisema ukweli unakuwa mnafiki daaah Tanzania yangu!!!!
 
Imagine Magu President Lisu Prime minister
 
Tundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea
Wewe ni mnafiki kweli
 
Ndugu zangu,

Niliongelea kumpoteza kijana mashuuri aliyekuwa mwiba Zitto Kabwe baada ya kushindwa anakosoa na ni kwa wakati gani. Mbowe yeye alishapotea baada ya kuacha kutumia ubongo wake kufikiri na kuanza kuwaruhusu wakina Sumaye na Lowassa wawe washauri wake baada ya yeye kama mwenyekiti kuwaelekeza nini cha kufanya kupitia katiba ya chama na nchi.

Aliyebaki sasa Mwenye misimamo isiyoyumba na anayeweza kuendana na kasi ya magufuli ni Tundu Lisu tofauti yake na wenzake ni kuwa. Lissu ni msomi aliyebobea katika sheria ni mtu anayejisomea sana vitabu na kujua mambo mengi zaidi. Ni mtu anayekosoa kwa kutumia vipengele vya sheria tofauti yake na wapinzani wengine ni kuwa anaweza kulisema jambo na akalisimamia kulingana na wakati.

Yupo mbele zaidi ya wenzie ambao hawajui wafanye nini na ni kwa wakati gani? Mfano Rais yupo Kahama anaongelea mambo ya migodi na madini lakini mwenyekiti wa CHADEMA yupo Dar bado anaongelea mambo ya kuhamia Dodoma anapanga maandamano sijui (UKUTA)

This means he is out of time!
Ukitaka kuwa mpinzani mzuri be Smarter, Be on time, Talk correct things. Nimemfuatilia Rais magufuli kwa muda mrefu toka akiwa mbunge huyu sio mwanasiasa kabisa. Kama ni siasa wanamlazimisha afanye siasa lakini huyu ni mtu asiyependa unafiki, mkali mpaka wengine wanamuita ni dikiteta .

Lissu na yeye ukimwangalia utagundua the same characters with Magufuli
Lissu hupenda mambo yafanyike na yakamilike at 100% hataki unafiki katika kufanya jambo nafikiri mliofuatilia bunge la katiba mtakubaliana na mimi kuwa alikuwa yupo tayari kufukua hata makaburi ili tu punda afe lakini mzigo ufike.

Tatizo ninaloliona ni kuwa baadhi ya watendaji wa Rais Magufuli hasa bungeni hawapo tayari kuwatumia watu walio makini zaidi kuwashauri kufanikisha mambo yao. Ingawa mimi namsaport Magufuli lakini Tundu Lissu ni mashine nyingine hatari katika Taifa la Tanzania.

This man you can't compare with some one other than Magufuli

Ningependa pia 2020 nione battle ya hawa watu wawili ambao wote ni mashine zenye uwezo mkubwa.

Asantee.
Leo naona umerudi ktk hali ya kawaida ya kufikiri kwa kutumia kichwa badala ya tumbo..
Keep on..
 
Tundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea
Anzisha bendi ya taarabu, mbona wimbo ni mmoja tu? Hakuna hata kibwagizo! Siku nyingine weka kibwagizo katika wimbo wako.
 
Najisikia aibu sana kuona Lissu anapigania demokrasia halafu sisi wengine wote tumekaa kimya, shame on me, ila ipo siku nitazinduka tu.
 
Demokrasia gani anakosa Lissu kila siku anatukana na kupata dhamana na hakomi! Hiyo ndio demokrasia unayotaka apewe? Atukane wenzake kutwa kucha asiguswe! Ukichaa wenu unaongezeka.
 
Back
Top Bottom