Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

Demokrasia gani anakosa Lissu kila siku anatukana na kupata dhamana na hakomi! Hiyo ndio demokrasia unayotaka apewe? Atukane wenzake kutwa kucha asiguswe! Ukichaa wenu unaongezeka.

Lissu anatakiwa awe role model kwa kila mtanzania, hasa kwa ujasiri wake, only TEAM LUMUMBA will not understand this!
 
Back
Top Bottom