DaaahAkiingia ccm hutaona pafom yake tena. Walid kaburu yuko wapi kina lamwai na ngaawia nawasomi wengine. MF: mlezi wa vyama kwasasa heshima yake yakijaji ikowapi
Ya kweli hayo??Lissu anayemelea ukatibu,kuna genge limemwambia aanze kutroti
Hii sema sema yake ni kutamani kiti cha mashiji,ameshaonekana kaelemewa
Amejitaidi kufanya selikari iongeze bidii ya kazi zake!!Wewe ni kikombe na sio kabombe.
Anayembeza Lisu ni taahira pekeee, ccm wanamfahamu vyema kuwa sio mtu wa kubeza.
Kama ni kwa habari ya tumbo angebaki kuwa wakili na sio kuwa mwanasiasa.
Lisu ameacha kazi zenye fweza na sio siasa mkuu.
Ufike wakati tuache mahaba ya uchama tuongee kweli
Huyu lisu pia amewafanya mawaziri wawe makini kwani hapendi majibu mepesiAmejitaidi kufanya selikari iongeze bidii ya kazi zake!!
Ndugu zangu,
Niliongelea kumpoteza kijana mashuuri aliyekuwa mwiba Zitto Kabwe baada ya kushindwa anakosoa na ni kwa wakati gani. Mbowe yeye alishapotea baada ya kuacha kutumia ubongo wake kufikiri na kuanza kuwaruhusu wakina Sumaye na Lowassa wawe washauri wake baada ya yeye kama mwenyekiti kuwaelekeza nini cha kufanya kupitia katiba ya chama na nchi.
Aliyebaki sasa Mwenye misimamo isiyoyumba na anayeweza kuendana na kasi ya magufuli ni Tundu Lisu tofauti yake na wenzake ni kuwa. Lissu ni msomi aliyebobea katika sheria ni mtu anayejisomea sana vitabu na kujua mambo mengi zaidi. Ni mtu anayekosoa kwa kutumia vipengele vya sheria tofauti yake na wapinzani wengine ni kuwa anaweza kulisema jambo na akalisimamia kulingana na wakati.
Yupo mbele zaidi ya wenzie ambao hawajui wafanye nini na ni kwa wakati gani? Mfano Rais yupo Kahama anaongelea mambo ya migodi na madini lakini mwenyekiti wa CHADEMA yupo Dar bado anaongelea mambo ya kuhamia Dodoma anapanga maandamano sijui (UKUTA)
This means he is out of time!
Ukitaka kuwa mpinzani mzuri be Smarter, Be on time, Talk correct things. Nimemfuatilia Rais magufuli kwa muda mrefu toka akiwa mbunge huyu sio mwanasiasa kabisa. Kama ni siasa wanamlazimisha afanye siasa lakini huyu ni mtu asiyependa unafiki, mkali mpaka wengine wanamuita ni dikiteta .
Lissu na yeye ukimwangalia utagundua the same characters with Magufuli
Lissu hupenda mambo yafanyike na yakamilike at 100% hataki unafiki katika kufanya jambo nafikiri mliofuatilia bunge la katiba mtakubaliana na mimi kuwa alikuwa yupo tayari kufukua hata makaburi ili tu punda afe lakini mzigo ufike.
Tatizo ninaloliona ni kuwa baadhi ya watendaji wa Rais Magufuli hasa bungeni hawapo tayari kuwatumia watu walio makini zaidi kuwashauri kufanikisha mambo yao. Ingawa mimi namsaport Magufuli lakini Tundu Lissu ni mashine nyingine hatari katika Taifa la Tanzania.
This man you can't compare with some one other than Magufuli
Ningependa pia 2020 nione battle ya hawa watu wawili ambao wote ni mashine zenye uwezo mkubwa.
Asantee.
Huyu jamaa tukisema pembeni unafiki uwa namwelewa sana!!Hata Jakaya Kikwete analijua ili anafaa kugombea uraisi 2020 amuachie Zitto hapambane na magu yeye agombee 2025
Kwani wewe ni mpinzani??Kwenda kule, kwani wewe ni nani wa kuwaamulia watanzania kuhusu mpinzani halisi.
Lissu yupo na Knowledge+vision hivi vitu ni zaidi ya kusoma darasani!!Kuna watu walilazimisha kusoma sheria lakini vichwa vyao avikua tayari bahati nzuri wakamaliza elimu ya vyeti lakini vichwani wa mtupu na kuna wengine walisoma sheria na vichwa vilikua tayari ata wasingepata vyeti a.k.a makaratasi lakini wanaweza mfano tundulissu huyu jamaa atari
Sasa wewe hapo CCM imeingiaje??MaCCM bana...
A. K. A Chama cha Magwangala!
Ha ha ha! Mimi ni mtanzania brother.Kwani wewe ni mpinzani??
Kama wewe ni mtanzania tupo sawa!!Ha ha ha! Mimi ni mtanzania brother.
Huyu mtu(TL) alifaa 2015 sema gear zikabdilishiwa Angani....mtu asiyepepesa jicho....asiyeogopa kitu akiwa na Sheria...asiye yumba.....hata ngosha anamfahamu vzuri si saizi yake...Saizi ya ngosha ni Mboe .Ndugu zangu,
Niliongelea kumpoteza kijana mashuuri aliyekuwa mwiba Zitto Kabwe baada ya kushindwa anakosoa na ni kwa wakati gani. Mbowe yeye alishapotea baada ya kuacha kutumia ubongo wake kufikiri na kuanza kuwaruhusu wakina Sumaye na Lowassa wawe washauri wake baada ya yeye kama mwenyekiti kuwaelekeza nini cha kufanya kupitia katiba ya chama na nchi.
Aliyebaki sasa Mwenye misimamo isiyoyumba na anayeweza kuendana na kasi ya magufuli ni Tundu Lisu tofauti yake na wenzake ni kuwa. Lissu ni msomi aliyebobea katika sheria ni mtu anayejisomea sana vitabu na kujua mambo mengi zaidi. Ni mtu anayekosoa kwa kutumia vipengele vya sheria tofauti yake na wapinzani wengine ni kuwa anaweza kulisema jambo na akalisimamia kulingana na wakati.
Yupo mbele zaidi ya wenzie ambao hawajui wafanye nini na ni kwa wakati gani? Mfano Rais yupo Kahama anaongelea mambo ya migodi na madini lakini mwenyekiti wa CHADEMA yupo Dar bado anaongelea mambo ya kuhamia Dodoma anapanga maandamano sijui (UKUTA)
This means he is out of time!
Ukitaka kuwa mpinzani mzuri be Smarter, Be on time, Talk correct things. Nimemfuatilia Rais magufuli kwa muda mrefu toka akiwa mbunge huyu sio mwanasiasa kabisa. Kama ni siasa wanamlazimisha afanye siasa lakini huyu ni mtu asiyependa unafiki, mkali mpaka wengine wanamuita ni dikiteta .
Lissu na yeye ukimwangalia utagundua the same characters with Magufuli
Lissu hupenda mambo yafanyike na yakamilike at 100% hataki unafiki katika kufanya jambo nafikiri mliofuatilia bunge la katiba mtakubaliana na mimi kuwa alikuwa yupo tayari kufukua hata makaburi ili tu punda afe lakini mzigo ufike.
Tatizo ninaloliona ni kuwa baadhi ya watendaji wa Rais Magufuli hasa bungeni hawapo tayari kuwatumia watu walio makini zaidi kuwashauri kufanikisha mambo yao. Ingawa mimi namsaport Magufuli lakini Tundu Lissu ni mashine nyingine hatari katika Taifa la Tanzania.
This man you can't compare with some one other than Magufuli
Ningependa pia 2020 nione battle ya hawa watu wawili ambao wote ni mashine zenye uwezo mkubwa.
Asantee.
Kama unamaanisha ufisadi kwa maana ya ufisadi, basi huyu unayemwita fisadi ana unafuu kuliko mafisadi wote nchini mwetuTundu Lissu ni mchumia tumbo,kigeugeu na msanii kama walivyo chadema wengine
Ni hatari kwa mwanasheria kama Lissu,kuandaa orodha ya mafisadi,kuisambaza nchi nzima kwa miaka 8,halafu mmojawapo katika orodha unampokea unamnadi agombee urais,
Mambo haya kwa mwanasheria anaejitambua angelazimisha hilo fisadi lisafishwe kwanza na mahakama,,halafu ndio angekubali kulipokea