COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Japokuwa mm ni mpiga kura wa zzk huku kgm, nakiri kabisa Lissu, Mnyika na Lev. Msigwa, Mdee, Kafulila, Sakaya na Mbowe ni miongoni mwa wabunge wa upinzani niwapendao sn kwa namna wanavyowakilisha hoja zao kwa maslahi ya taifa na wapiga kura wao and they do what they know. Naskitika tu speaker anawabana.