Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

GENERAL
Salutatio
Honourable
Member picture
1755.jpg

First Name:Tundu
Middle Name:Antiphas Mughwai
Last Name:Lissu
Member Type:Constituency Member
Constituent:Singida Mashariki
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone:+255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth


EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Mahambe Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY
Ilboru Secondary School
O-Level Education19831986SECONDARY
Galanos Secondary SchoolA-Level Education19871989HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamLLB19911994GRADUATE
University of Warwick, UKLLM19951996MASTERS DEGREE



CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No.IssuedExpires
No items on list



EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Singida West Constituency20102015
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Director of Researcher20032008
The World Resources Institute (WRI), USAResearcher19992002
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Researcher19981999
D'Souza ChambersAdvocates19941997
Bondeni Secondary SchoolTeacher19901991



POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
CHADEMADirector of Law2004
NCCR-MageuziMember of Parliament Candidate1995



PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
No items on list



SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list



RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list



Hapo juu nimeamua kuweka CV ya Mh.Lissu kwa manufaa ya umma.Kwa ufafanuzi mfupi,LL.B. ni Legum Baccalaureus,yaani Bachelor of Legal Science(Shahada ya Kwanza ya Sheria) na LL.M ni Legum Magister,yaani,Masters of Laws(Shahada ya Uzamili-ya pili ya Sheria).Nawasilisha...
 
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, Jumamosi jioni, alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Serikali na taasisi za kijamii, kwenye Makao makuu ya Jimbo kuu la Milano. Anasema, hiki ni kielelezo cha heshima kwa Vatican na viongozi wake na kwa namna ya pekee, kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki. Amewapongeza wote kwa kazi zao wanazotekeleza kwa ajili ya mafao ya: kiraia, kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa Milano na vitongoji vyake.

Ameelezea umaarufu wa Mtakatifu Ambrosi aliyekuwa kiongozi na mshauri wa mikoa ya Liguria na Aemilia, kiasi cha kuujenga mji wa Milano kuwa makao na rejea kwa nchi nyingi za Ulaya. Ni kiongozi aliyesimamia haki na akaendeleza utume huu hata pale alipoteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Milano kinyume kabisa cha utashi wake. Alikuwa ni kiongozi aliyetekeleza majukumu yake kwa umakini mkubwa, akakabiliana na changamoto zote katika uongozi wake kwa hekima na busara ya hali ya juu; akavuka vikwazo na kuponya kinzani na utengano wa kijamii.

Ni kiongozi aliyejiaminisha kwa Mwenyezi Mungu katika utekelezaji wa majukumu yake ndani ya jamii. Hali kama hii inaweza kuonekana kuwa ni jambo la kufikirika kwa baadhi ya watu wa Karne ya ishirini na moja, lakini huu ni ukweli unaofumbata kiini cha maisha yake na msingi thabiti wa maisha ya kijamii. Hakuna mtu yeyote duniani anayeweza kujidai kuwa ni mungu; kumbe hakuna mtu anayeweza kumtawala mwingine; daima alipenda kuwakumbusha viongozi wa nyakati zake kwamba, wao pia ni binadamu wanakarama na mapungufu yao.

Baba Mtakatifu anasema, kiongozi anapaswa kuwa mkweli anapotekeleza dhamana yake katika maisha ya hadhara; daima akisimama kidete kulinda na kutetea mafao ya wengi; akijifunga katika kifungo cha upendo unaomsukuma kutetea uhuru wa kweli, unaonesha tofauti ya kiongozi mchapakazi na yule mbabaishaji. Viongozi wa kweli na wachapakazi wanapenda na kuthamini uhuru lakini wababaishaji wanapenda kutumikiwa.

Baba Mtakatifu anafafanua kwamba, uhuru si zawadi kwa watu wachache, bali ni haki kwa wote, ambayo viongozi wa kijamii wanapaswa kuitekeleza katika majukumu yao kwa wale wanaowaongoza. Uhuru ni wajibu shirikishi, kielelezo makini cha Serikali yoyote ile. Viongozi wanapaswa kuwahakikishia raia wao uhuru utakaowawezesha kushirikisha mang'amuzi yao kuhusu maisha ya pamoja, kwa kuheshimiana, huku wakiongozwa na sheria, daima wakitafuta mafao ya wengi.

Sheria za nchi hazina budi kuendana na sheria asilia zinazoheshimu na kuthamini utu wa mwanadamu na kwamba, hiki ni kiini cha maisha adili. Serikali inapaswa kujitoa kwa ajili ya huduma kwa raia wake na kwa kila mtu, kwa kuzingatia mafao yake msingi: kwa kuanzia haki ya maisha ambayo kamwe hapaswi kupokonywa na kwamba, sheria hizi zinapaswa pia kusaidia familia kutekeleza wajibu na dhamana yake ndani ya jamii.

Serikali zinapaswa kutambua na kuthamini utambulisho wa familia inayoundwa kati ya Bwana na Bibi, tayari kushiriki mpango wa Mungu katika kazi ya uumbaji; wazazi wakitekeleza majukumu yao ya malezi kwa watoto kadiri ya mfumo wa elimu wanaoutaka.

Serikali itashindwa kutenda haki kwa familia, ikiwa kama familia hazipewei nafasi ya kuchagua mahali pa kuwafundishia watoto wao kwa ajili ya mafao ya Jamii nzima. Serikali ipo kwa ajili ya kutetea mafao ya wengi ndiyo maana inaweza kushirikiana na Kanisa kufikia lengo hili, kila upande ukitekeleza majukumu yake bila kuingiliana.

Baba Mtakatifu anakumbusha kwamba, Kanisa limechangia mengi katika ustawi na maendeleo ya watu, lina uzoefu na mang'amuzi makubwa, kumbe linaweza kuendelea kuchangia katika kuimarisha mafao ya wengi; kwa kushirikisha Mafundisho, Mapokeo, taasisi na utume wake unaojikita zaidi katika huduma kwa mtu mzima: kiroho na kimwili.

Baba Mtakatifu anakamilisha hotuba yake kwa viongozi wa Milano kwa kusema kwamba, anayetaka kuwa kiongozi bora, lazima ajitahidi kujenga upendo na raia wake, kwa hali hii, kamwe kiongozi hatagubikwa na woga wala wasi wasi. Upendo ni jambo linalopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza. Siasa ikitekelezwa kwa umakini mkubwa inaweza kuwa ni kielelezo cha upendo.
 
1. University of Dar Es Salaam LLB (1991 -1994)

2. D'Souza Chambers Advocates (1994- 1997)

3. University of Warwick, UK LLM (1995-1996)

4. Director of Law CHADEMA - 2004 - TODATE

5. Member of Parliament Candidate - NCCR-Mageuzi- (1995- Todate)

6. The Parliament of Tanzania Member - Singida West Constituency (2010-2015)
 

Attachments

  • TUNDU LISSU MEMBER OF PARLIAMENT CV.pdf
    115.2 KB · Views: 607
1. University of Dar Es Salaam LLB (1991 -1994)

2. D'Souza Chambers Advocates (1994- 1997)

3. University of Warwick, UK LLM (1995-1996)

4. Director of Law CHADEMA - 2004 - TODATE

5. Member of Parliament Candidate - NCCR-Mageuzi- (1995- Todate)

6. The Parliament of Tanzania Member - Singida West Constituency (2010-2015)

Furaha yangu nikuona mwanadamu anamtetea mwanadamu mwenzake!hivi leo tunapoongea hapa kuna watu wapo pembeni na sio pembeni ni ndani ya hii migodi na wamekataliwa hata kupewa hizo fidia za zulumati na wanaambulia kutishwa na kubandikwa vyesi vya mauaji...nampongeza mh.lissu kwa kutambua utu wa bibadamu!
 
1. University of Dar Es Salaam LLB (1991 -1994)

2. D'Souza Chambers Advocates (1994- 1997)

3. University of Warwick, UK LLM (1995-1996)

4. Director of Law CHADEMA - 2004 - TODATE

5. Member of Parliament Candidate - NCCR-Mageuzi- (1995- Todate)

6. The Parliament of Tanzania Member - Singida West Constituency (2010-2015)

Furaha yangu nikuona mwanadamu anamtetea mwanadamu mwenzake!hivi leo tunapoongea hapa kuna watu wapo pembeni na sio pembeni ni ndani ya hii migodi na wamekataliwa hata kupewa hizo fidia za zulumati na wanaambulia kutishwa na kubandikwa vyesi vya mauaji...nampongeza mh.lissu kwa kutambua utu wa bibadamu!
 
Imefikia hatua tanzania haiitaji kiongozi mwenye sifa nzuri au msafi km mimi, ispokuwa inahitaji mabadiliko ambayo haijalishi yataletwa na nani, ndani ya chama cha mapinduzi hawezi kupatikana hivo vyama vya upinzani peke yao ndio wenye uwezo huo na si vinginevyo. So stay calm and accept changes
 
Back
Top Bottom