Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

Status
Not open for further replies.
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
 
emoji848.png
wanataka waje wauze nchi baadae hawa hatuwapi urais wa majaribio hapa tuna akili timamu
 
Hatabiriki hawa hususani kipindi hiki ambacho vitendo vya utekaji vimekithiri
wanaweza kumteka ili asigombee urais yaani chama chao mafia sana sasa hivi wamemtelekeza maana anataka kuja kugombea ila akitaka kuwa mwenyekiti lazima atekwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom