Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019


Status
Not open for further replies.
S

SHILLINGS

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
134
Points
250
S

SHILLINGS

Senior Member
Joined Oct 24, 2013
134 250
Now Confimed: Tundu Lissu kuwasili nchini tarehe 07.09.2019 baada ya mabadiliko ya ratiba.
------

Shujaa Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kutua nchini siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12 na kupokelewa na viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama 9 vya upinzani ambavyo vimedhibitisha kushiriki kwenye mapokezi hayo. Baada ya kupokewa Mhe. Tundu Lissu anafikia kwenye moja ya hoteli mashuhuri jijini Dar-es-salaam na kuzungumza na Watanzania.

Moja ya ajenda kuu ni mweleko wa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii lakini vilevile atajikita katika mwelekeo ya nchi kwenye diplomasia ya kimataifa. Baada ya tarehe 09.12.2019 kunatarajiwa na kuwa na misa ya shukrani ambayo inatarajiwa kufanyika jijini Dar-es-salaam ikiongozwa na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali. Katika hatua za sasa maandalizi yanaendelea kuhakikisha kunakuwepo na usalama wa kutosha nchini kwa uangalizi wa vyombo vya kimataifa.
 
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,174
Points
2,000
Age
24
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,174 2,000
Mkuu hizo ni tetesi au ndoto?
 
K

KIBST

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2017
Messages
501
Points
1,000
K

KIBST

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2017
501 1,000
Huyu akirudi hapa NCHINI atatangaza kugombea URAIS na hii ni baada ya kuwa tayari AMEISHA FANYA MAZUNGUMZO NA WATU/MATAIFA BAADHI YENYE MASLAHI NA NCHI YETU....hivyo huyu jamaa anakuja KUWA MPIGANIA MASLAHI YA MATAIFA YA NJE NA SI YA WATANZANIA.....na mkubali mkatae LISSU ni chambo kwa ajili MABEBERU....
 
shebination

shebination

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Messages
284
Points
1,000
Age
25
shebination

shebination

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2016
284 1,000
Namshukuru mungu hajanipa roho mbaya na ya kikatili wasiwasi wangu ni kwamba wale walio taka kumuuwa bado wako salama hawajakamatwa je unadhani atakuwa salama?
Acha uoga Kama Yesu angewahofia waliomsurubisha asingefufuka
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top