masluphill
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 540
- 259
Lissu bhana kaona hapati airtime kaona acha aongee kidoogo,mwambieni sasa hivi tuko kwenye mjadala wa kitaifa kuhusu makontena
Kwa watu wa makamo watakumbuka jina la Oscar Kambona aliyekuwa Katibu Mkuu wa TANU enzi hizo. Alifungasha mizigo yake na kwenda kuishi Uingereza kwa miaka kadhaa. Baadaye kwa kupima upepo akatangaza anataka kurudi Tanzania. Mwalimu alipoulizwa kuhusu hilo akajibu kwamba Oscar hakuniaga wakati anaondoka. Sasa anasema anataka kurudi muulizeni yeye. Mimi hakuniuliza mawazo yangu kama arudi au la. Muda si muda kweli akarudi na kuanzisha chama cha upinzani. Akaitisha mkutano wa waandishi wa habari atangaze hadharani namba za akaunti za benki za Mwalimu na Rashidi Kawawa. Mkutano ukaendelea kwa masaa na kila wakati waandishi wa habari wanamkumbusha suala la akaunti. Hakuna akaunti yo yote iliyotajwa. Ilikuwa ni uzushi tu. Baada ya hapo akaugua na kufa na chama chake kikafia mbali. Tuone na Lisu mambo yatakuwaje.
Hatuhitaji wasaliti abskie huko huko
Amesaliti nini? acha kutapika barazani.
Wajanja watawasimamisha tena mita 200 juani eti mnalinda kura. Fanyeni kazi Watz, punguzeni siasa.Magufuri vs Lissu uchaguzi mkuu 2020..patachimbika
Rwanda au Uganda kunakufaa
Please do not insult MandelaTundu Lissu ni Mzee Mandela wa kizazi hiki, kwa hiyo hawezi kubaki ughaibuni wakati ana nchi yake ambayo amezaliwa na anawawakilisha wananchi waliomchagua katika ubunge, kule Singida Mashariki
Lissu hana shida ya kujiunga CCM, na CCM nao hawamtaki . Anakuja chamani kwake anapohitajika sana.TAARIFA ZINADOKEZA ATAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA KUJIUNGA CCM RASMI
Siku atakapo tua tu uwanja wa ndege nadhani watamkamata kwamba ameruka dhamana ya kesi zake zile na kumweka lock up
Kushinda wewe hili jiti linavyozidi kuzama maungoni mwako linavyokutoa akili?
Waliwezaje kumkosa mwaka Jana, pale walipowakodisha "triggers" mashuhuri ili wamwue??This time hawatamkosa. Kumbuka binadamu kajifunza kulenga bila kukosa. Nohofia maisha yake. Kama kuna uwezekano apewe ulinzi kama anaopewa mwandishi wa vitabu Salman Rushed wa kitabu cha Satanic verses.
Scotland yard wamepewa kazi ya kumlinda na kuangalia usalama Rushed tangu alipohukumiwa kifo na Ayatollah huko nchini Iran miaka ile 1980. Lissu anahitaji ulinzi tuacheni mambo ya masihara kwenye maisha ya mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawa Jeshi la Polisi la IGP Sirro lililozuia wananchi wasivae T/Shirt zilizoandikwa PRAY FOR LISSU, ndilo unalolitaka limwachie Lissu afanye siasa kwa Uhuru??..ubaya wowote ule dhidi ya Tundu Lissu utazidi kumjengea imani kwa wananchi.
..kumdhibiti, wanatakiwa wamuache huru afanye siasa bila usumbufu wowote.
..wahakikishe hakuna anayemdhuru kwa namna yoyote ile.
..vilevile waitishe uchunguzi huru kuhusu shambulizi lake, na kuhakikisha taarifa ya uchunguzi inawekwa wazi, na wahusika wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
..Wakifanya hayo, watakuwa wamemzima kabisa Tundu Lissu.
KabisaSiku atakapo tua tu uwanja wa ndege nadhani watamkamata kwamba ameruka dhamana ya kesi zake zile na kumweka lock up
Katu malaika mkuu hawezi shuka chini..ubaya wowote ule dhidi ya Tundu Lissu utazidi kumjengea imani kwa wananchi.
..kumdhibiti, wanatakiwa wamuache huru afanye siasa bila usumbufu wowote.
..wahakikishe hakuna anayemdhuru kwa namna yoyote ile.
..vilevile waitishe uchunguzi huru kuhusu shambulizi lake, na kuhakikisha taarifa ya uchunguzi inawekwa wazi, na wahusika wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
..Wakifanya hayo, watakuwa wamemzima kabisa Tundu Lissu.