Tundu Lissu kurejea nchini

Tundu Lissu kurejea nchini

Lissu bhana kaona hapati airtime kaona acha aongee kidoogo,mwambieni sasa hivi tuko kwenye mjadala wa kitaifa kuhusu makontena
 
Aendelee kubwabwaja safari hii watatoboa mdomo asilaumu mtu, siasa zenu za magharibi mlete dunia ya 3huko jiwe halijaribiwi.
Acha ushamba wako, Mungu aliyemlinda mwanzo sasa kaamua kumlinda mara 100 na yeyote atayepanga kumdhuru malaika watamuonyesha mapema.
 
TUNDU LISSU NI MTANZANIA PEKEE NINAYEMWAMINI KULIKO MTU YEYOTE YULE, HAKIKA NINAKUOMBEA KWA MUNGU AKULINDE UWE SALAMA KUTUTUMIKIA WATANZANIA WENZIO, ANAYEITAFUTA ROHO YAKO NA AENDELEE KUPOTEZA NDUGU ZAKE.
 
Lissu bhana kaona hapati airtime kaona acha aongee kidoogo,mwambieni sasa hivi tuko kwenye mjadala wa kitaifa kuhusu makontena
Kontena zipi? Kwani hujui kuwa ile ya kontena ni Sinema feki? Mpango vs Bashite wamekaa wakabuni Sinema ya kuwahadaa watanzania ili Serikali ionekane ipo fear kwa kila upande bila kujali cheo, watanzania wa sasa wameamka wanajua maigizo yote ya CCM na Serikali yao.
 
Anatangaza kurudi ili kupima ubaya wenu na roho zenu mbaya kumbuka wapo watu wazuri miongoni mwenu wanampatia taarifa zote na akirejea ataanika kila kitu Live bila chenga.
Tunasubiri Tangazo la tatu na la mwisho ...
 
TUNDU LISSU NI MTANZANIA PEKEE NINAYEMWAMINI KULIKO MTU YEYOTE YULE, HAKIKA NINAKUOMBEA KWA MUNGU AKULINDE UWE SALAMA KUTUTUMIKIA WATANZANIA WENZIO, ANAYEITAFUTA ROHO YAKO NA AENDELEE KUPOTEZA NDUGU ZAKE.
Le mutuz na kikundi chake wazee wa ile Nissan nyeupe hawana raha kutwa wapo kwa waganga wa kienyeji wakiamini huko pengine watanusurika kutajwa live pindi Lisu akirejea nchini.
 
Huyo Bashite+LeMutuz+Muroooo

Hao matumbo moto hivi sasa, kwa kuwa mbaya wao anarudi.....
Wana wasiwasi sana hawana Aman mioyoni mwao wanahaha kila kona ndiyo maana Bashite kaamua kutengeneza Sinema feki ya kontena ili kuwahadaa watanzania waone kuwa hayupo juu ya sheria kama ilivyozoeleka sasa.
 
Kikundi chote cha Nissan Nyeupe wapo hoi kimawazo, hawapati usingizi hawana raha moyoni ingawa Le mutuz anajitutumua kuzurula kwenye Bar na club usiku na mchana lakini 9 na 10 amejaa hofu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom