YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Kabisa toka aondoke nchi imetulia hakuna mikelele yake ya kujiuza sura magazetini Kila siku.Mbowe upoooo ????? mgombea uenyekiti wa kiti chako huyo anarudi . Uenyekiti wako uko hatarini.Anaondoka Na drip mikononi ikiwa imeshikiliwa na mkewe kumuwahisha awahi uchaguzi mkuu wa Chadema.Ana beep na kujipigia yeye mwenyewe. Hatuna haja na siasa zake. Nchi imetulia tangu aondoke . Bora wakae huko huko.