Tundu Lissu kurejea nchini

Tundu Lissu kurejea nchini

Waliwezaje kumkosa mwaka Jana, pale kuwakodisha "triggers" mashuhuri ili wamwue??

Vivyo hivyo kwa sasa, ndiyo hawawezi kabisa, kwa kuwa yeye mwenyewe anajua anawindwa..........

Na dunia inajua anawindwa........

Kwa hiyo kama ambavyo malaika wa Mungu walimlinda na wauaji wale wa mwaka Jana, hawa wa sasa wasithubitu hata kidogo kutaka kuchukua maisha ya Lissu, kwa vile wataumbuka vibaya........
Ikishajulikana huwa ni vigumu kukudhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ubaya wowote ule dhidi ya Tundu Lissu utazidi kumjengea imani kwa wananchi.

..kumdhibiti, wanatakiwa wamuache huru afanye siasa bila usumbufu wowote.

..wahakikishe hakuna anayemdhuru kwa namna yoyote ile.

..vilevile waitishe uchunguzi huru kuhusu shambulizi lake, na kuhakikisha taarifa ya uchunguzi inawekwa wazi, na wahusika wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.

..Wakifanya hayo, watakuwa wamemzima kabisa Tundu Lissu.
Mkuu si umeona yule mwanahabari ndo anashitakiwa kwa kumkaba polisi principle ni huwezi kujichunguza na kujiwajibusha
 
Kutokana na taarifa iliyotolewa asubuhi hii na shirika la utangazaji la BBC, amenukuliwa mwanasiasa maarufu wa Chama cha Chadema, Tundu Lissu, akisema kuwa hivi sasa ameshatoka hospitalini na anatarajia kurejea nchini wakati wowote kuanzia sasa

Ikumbukwe kuwa Tundu Lissu alinusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi zisizopungua 30, mwezi September mwaka jana huko jijini Dodoma na watu wasiojulikana

Amekuwa akitibiwa nje ya nchi jijini Nairobi na baadaye nchini Ubelgiji kwa takribani miezi 11 hivi sasa

Alipoulizwa na mtangazaji Zuhura Yunus, kuhusu usalama wake akirejea nchini Tanzania kwa sasa, mwanasiasa huyo alijibu kuwa ni kweli analazimika kuchukua tahadhari kubwa sana ya usalama wake atakaporejea nchini kwa kuwa wale waliotaka kumwua hadi leo hawajapatikana

Akiongelea hali ya kisiasa hapa nchini, alijibu kuwa wapinzani nchini Tanzania, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchni cha Chadema, kwa sasa wanafanya kazi zao katika mazingira magumu sana ambayo hayajawahi kutokea tangu turejee katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, kwa kuwa viongozi wakuu wote wa Chadema wanasumbuliwa na kesi zisizo kuwa na mwisho karibu kila siku katika Mahakama zetu nchini, ambapo inawapa wakati mgumu sana kuwatumikia wananchi wao waliowachagua katika majimbo yao

Mwenyezi Mungu mjalie na umkinge na watesi wake Tundu Lissu, ambaye ndiye shujaa wa kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
Mwenzake Mbowe hataki kesi ziishe haraka anataka ziende taratibu.
 
akija asitembee tena kindezi kama alivyofanya kipindi kile. aweke cover. kama mbwai na iwe mbwai...
 
Mwenzake Mbowe hataki kesi ziishe haraka anataka ziende taratibu.
Nani kakwambia kuwa Mbowe anapenda kesi??

Si ulimsikia mwenyewe Jana akilalamika kuwa hizo kesi zinawafanya wao kama wabunge wa wananchi wakose muda wa kiwatumikia wananchi waliowachagua??
 
Wajanja watawasimamisha tena mita 200 juani eti mnalinda kura. Fanyeni kazi Watz, punguzeni siasa.
Bila siasa hata hiyo kazi yako ingekuwepo???"wajanja"wana mwisho kama Laurent Gbagbo
 
Ushaanza muharisho mapema yote hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kabla Tundu Lissu hajatua nchini, tayari vitanda havilaliki.......

Vipi ukisikia ndege iliyomleta shujaa wetu Tundu Lissu ishatua uwanja wa ndege wa JK Nyerere, si watatamani hata ardhi ijifunue ili wajitumbukize ndani??
 
Kutokana na taarifa iliyotolewa asubuhi hii na shirika la utangazaji la BBC, amenukuliwa mwanasiasa maarufu wa Chama cha Chadema, Tundu Lissu, akisema kuwa hivi sasa ameshatoka hospitalini na anatarajia kurejea nchini wakati wowote kuanzia sasa

Ikumbukwe kuwa Tundu Lissu alinusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi zisizopungua 30, mwezi September mwaka jana huko jijini Dodoma na watu wasiojulikana

Amekuwa akitibiwa nje ya nchi jijini Nairobi na baadaye nchini Ubelgiji kwa takribani miezi 11 hivi sasa

Alipoulizwa na mtangazaji Zuhura Yunus, kuhusu usalama wake akirejea nchini Tanzania kwa sasa, mwanasiasa huyo alijibu kuwa ni kweli analazimika kuchukua tahadhari kubwa sana ya usalama wake atakaporejea nchini kwa kuwa wale waliotaka kumwua hadi leo hawajapatikana

Akiongelea hali ya kisiasa hapa nchini, alijibu kuwa wapinzani nchini Tanzania, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchni cha Chadema, kwa sasa wanafanya kazi zao katika mazingira magumu sana ambayo hayajawahi kutokea tangu turejee katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, kwa kuwa viongozi wakuu wote wa Chadema wanasumbuliwa na kesi zisizo kuwa na mwisho karibu kila siku katika Mahakama zetu nchini, ambapo inawapa wakati mgumu sana kuwatumikia wananchi wao waliowachagua katika majimbo yao

Mwenyezi Mungu mjalie na umkinge na watesi wake Tundu Lissu, ambaye ndiye shujaa wa kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
Tunamsubili kwaham KAMANDA wetu aje Mungu kayaonyesha maajabu kwa wasiojulikana
 
Tunamsubili kwaham KAMANDA wetu aje Mungu kayaonyesha maajabu kwa wasiojulikana
Kwa kweli kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu, kwa hili tukio la kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 tena kutoka bunduki ya kivita na akapona, ni dhahiri amedhihirisha uwepo wake!
 
Kwa kweli kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu, kwa hili tukio la kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 tena kutoka bunduki ya kivita na akapona, ni dhahiri amedhihirisha uwepo wake!
Mungu yupo, tena shetani anasema kabisa hakika yupo ila ubishi tu wa wanadamu.
 
..kumlinganisha Tundu Lissu na Oscar Kambona ni kutojitendea haki wewe mwenyewe, kabla hata ya sisi wasomaji wako.

..Kambona alikaa ughaibuni muda mrefu, na hakuwa akijishughulisha na habari za Tanzania, kiasi kwamba wananchi walimsahau.

..Mazingira ya Tundu Lissu kuondoka nchini ni tofauti kabisa na yale ya Oscar Kambona.

..Ushawishi wa Tundu Lissu ktk siasa za Tanzania ni mkubwa kuliko wa wanasiasa wengi walioko Tanzania sasa hivi.[/QUOTELete historia hiyo kwa urefu
 
Acha ushamba wako, Mungu aliyemlinda mwanzo sasa kaamua kumlinda mara 100 na yeyote atayepanga kumdhuru malaika watamuonyesha mapema.
We bwege sana tena bwege plus,mungu gani unamwongelea?hiyo dunia ya 3 hakuna mungu pumbavu weye, ningekua mimi Tundu Lissu sirudi kokote acheni ujinga uliokubuhu mnamwonea huruma mnamponza.
 
Nani kakwambia kuwa Mbowe anapenda kesi??

Si ulimsikia mwenyewe Jana akilalamika kuwa hizo kesi zinawafanya wao kama wabunge wa wananchi wakose muda wa kiwatumikia wananchi waliowachagua??
Nilimsikia anasema zinaendeshwa haraka haraka.
 
Back
Top Bottom