Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Muujiza wa Lissu si bure,Muumba analipenda sana taifa letu. Hakika wengi tutakuwa salama zaidi.Utapona au utaangamia!
Karuhusiwa na daktari au kaja kwa matibabu zaidi?Jumanne, February 5, 2018 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C.
Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
Hawa jamaa kumbe ni washamba kupita kiasi. Watu wangapi wameshaongea GWU.Na White House ataenda lini?
Maana tumeambiwa kaalikwa na POTUS baada ya ile ‘performance’ yake mwenye BBC’s HARDtalk.
Kama alivyolependa Taifa la Libya, Iraq, Iran 1953 ati!Muujiza wa Lissu si bure,Muumba analipenda sana taifa letu. Hakika wengi tutakuwa salama zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuwa salama, visima vya damu vitavukwa. Taifa linalopitisha Sheria inayoshuhudiwa na bundi, utasema liko salama!!!?Muujiza wa Lissu si bure,Muumba analipenda sana taifa letu. Hakika wengi tutakuwa salama zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo advice mpe Rais Magufuli, aache kutugawa. Aheshimu Katiba na utawala bora. Period!!!My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….
MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
Mwenzako anatumia nguvu nyingi kujaribu kuepuka viporo vya kesi dhidi yake vinavyomsubiri Kisutu. Hatokusikia.My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….
MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
Endelea kututegea sikio hapahapa jfNa White House ataenda lini?
Maana tumeambiwa kaalikwa na POTUS baada ya ile ‘performance’ yake mwenye BBC’s HARDtalk.