Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

Mzungu... aisee kwenye Inshu za kumwendekeza MZUNGU Mie sijawahi kuwa muumini wa Hilo! Siasa ni Akili safi ya kuinasa mioyo ya watu wako Sio kulalamika Kwa Watu ambao Hao Ndio wameunda siraha dhaifu za Uoga hizi ambazo waafrika tunauana kama Kuku..!
 
My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….

MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
 
xOKMOlj.gif
downloadfile-6.gif
 
Hiyo advice mpe Rais Magufuli, aache kutugawa. Aheshimu Katiba na utawala bora. Period!!!
 
My take its for Tindu to calm down heal well and come home THANK GOD FOR RECOVERY na kuendelea kuwatumikia wananchi badala ya midahalo hiyo against our and his Government kama ni cost za matibabu can be refunded kwa kukaa round table sio kwa kashfa mitandaoni….

MY HUBLE ADVICE TO THE LEARNED PERSON..Tindu Lissu
Mwenzako anatumia nguvu nyingi kujaribu kuepuka viporo vya kesi dhidi yake vinavyomsubiri Kisutu. Hatokusikia.
 
Kupitia makamanda wetu wa CHADEMA nchi yetu itajulikana ktk jumuiya ya kimataifa na ulimwengu kufahamu kile kinachoendelea Tanzania.

Awamu ya 5 iliamua kwa makusudi ya kiuovu kabisa kuufunga mlango wa kimataifa ili jumiuiya ya kimataifa isijue kinachoendelea nyuma ya mlango uliofungwa.

Kamanda Tundu Lissu ataandikwa kama mmojawapo wa watu mashuhuri waliopata fursa ya kufanya discussion/ muhadhara maalum ktk chuo kikuu cha George Washington University chenye orodha ndefu ya wageni mashuhuri waliotoa muhadhara kama kina Francis Fukuyama - ' Identity' , Jason Stanley - 'How Propaganda works' na ' How Fascism Works ', Bernie Sanders, John Kerry - 'Every Day is Extra ', Mark Leibovich - 'The Big Game ' kwa kutaja kwa uchache.
John Kerry akitoa mhadhara chuo kikuu cha George Washington university :

John Kerry has devoted his life to public service. Since he testified in front of Congress as a decorated young Vietnam veteran disillusioned with the war, he’s placed himself at the heart of American political life, serving as a five-term Senator and as Barack Obama’s second Secretary of State. Every Day Is Extra is a moving, candid account of his time in politics, and a forceful testimony about the importance of diplomacy, leadership, and collaboration in the face of the myriad challenges the United States faces today.
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom